Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 6,388
- 13,415
- Thread starter
- #21
Vitisho vilikuwa vingi sana. Mwanangu wa kwanza angekuwa anamaliza chuo mwaka wa tatu namuandaa na Ndoa mwakani. Ila vitisho vya wazazi kutuambia mimba ni haramu vimetutisha sana.Yaaan acha tu.. huwa nataman ningepata mtoto nikiwa form two kabisa
Wengine sijui kama tutakuja shuhudia wajukuu zetu wakipata watoto.