Bora sauti za mziki kuliko mahubiri ya dini

Maleven

JF-Expert Member
Sep 8, 2019
624
2,774
Unapokua unatafuta utulivu ubaki wewe na akili yako au upunzike ulale, unaweza fanya hivyo kwenye mziki kuliko kwenye mahubiri ya dini.

Sababu ni kua, mziki ni flow ambayo unaweza kui ignore lkn haya mahubiri yana interfere sana na mawazo yako.

Kama hujakutana nayo huwezi kuelewa
 
Hahahahaa hasa wanapoanza vitisho! Unajiona jehanam hii hapa kabisa! Hahahaha 🤣
 
Muziki ndio Rafiki WA kweli Tu, ila sio bongofleva ya inama uweke sijui mate iteleze, that's nonsense! Kuna nyimbo unasikiliza unajikuta uko ulimwengu flani hivi......
 
Kila ktu hapo kna umuhimu wake kwa nyakati tofauti acha ujinga wewe, bnafs huwa naskiliza mpk maombi yan sauti za watu wakiomba naskiliza. Kuna nyakati nahtaji mahubiri kuna nyakati nahtaji nyimbo.
 
Mahubiri mengi yanamtizamo hasi kabisa na vitisho , jambo ambalo linakumaliza kabisa ile nguvu yako ya asili .
 
Tena sauti za mziki zina mafundisho, huburudisha, mf. Bar kuna mziki mzuri unaovutia wengi, utakutana na watu wa aina mbalimbali ambao sio wanafiki kama mambo ya dini. Mziki kwa umbaaaaali huku mnapeana maarifa jinsi ya kupambana na maisha.
 
Hivi unajua nyimbo za Zabron Singers zinapigwa mpaka Bar
 
Back
Top Bottom