bora kupendwa kuliko kupenda!

duuh mimi hii ilishanikuta kama mara mbili ni balaa....
ya kwanza nilikuwa advance nikampenda binti mmoja kupindukia alinitesaje?.wacha kabisa nilikuwa namuwaza hadi kichwa kinauma naloweka taulo najikanda kichwa lakini wapi mtoto haelewi kabisa.
ya pili university nikampenda demu kumbe ana mtu wake duh balaa lake sasa, niliishia kushika pembe wengine wanakamua..acha kabisa usipokuwa makini na kuweza kuzikana hisia zako unapoteza malengo.

Pole mkuu, sasa baada ya hapo ikawaje, iliendelea kupenda au ulituliza boli kwanza, au ukaanza kupendwa wewe!!
 
Pole mkuu, sasa baada ya hapo ikawaje, iliendelea kupenda au ulituliza boli kwanza, au ukaanza kupendwa wewe!!

Nilituliza boli kwanza nikahangaika na masomo sasa nimeshamaliza ila sijapenda nimetokea kupendwa na kutongozwa na kama wasichana wawili hivi duh but hainishwawishi kabisa nafikiri nimewafanya vibaya kuliko hata mimi nilvyofanyiwa..am real sory 4 them sikuwa na namna ningekuwa mkarimu kidogo tu ningeweza donoa mtu kinyume na mipango yangu..but for the sake of umri na malengo sasa hivi ndo natafuta wakuoa hata kama sintampenda kama wale at the beggining ntaendelea kujifunza kumpenda.
 
Hongera kwa kumaliza shule. sasa tulia utafute mrembo wa kudumu naye. kila la kheri.
 
Hahahahah lol!

Ila aise kitu kupenda ni balaa kabisa!!! Wakati mwingine unadata tu hata kazi haziendi unamuwaza mtu tu!! Siku hizi na hizi mobile basi ukisikia ka SMS unafikiri labda ni ka huyu mpendaye sana kumbe hata SMS hatumi ni mpaka wewe umshtue!! Khaaaa! Dah!!! Mapenzi muwe wote mnapendana hata kama si katika balanced equation but at least 90% each!
 
Last edited by a moderator:
Tatizo wengi tumekuwa tukilia na kuomba mungu atupe wapenzi wema ama mke /mume mwema tena wengine wansali na kujifungia ndani wakishaoa ama kuolewa hata dk 2 kumshukuru mungu akuna...soln ya kupendana ni kushukuru pale mnapokutanishwa wapendanao else mtaishia kubadilisha nepi pale sewahaji
 
Badala yake wakiingia kwenye ndoa wanachokana na kutafuta penzi lingine lakini this time awaombi tena wananunua shida tupu
 
Nilituliza boli kwanza nikahangaika na masomo sasa nimeshamaliza ila sijapenda nimetokea kupendwa na kutongozwa na kama wasichana wawili hivi duh but hainishwawishi kabisa nafikiri nimewafanya vibaya kuliko hata mimi nilvyofanyiwa..am real sory 4 them sikuwa na namna ningekuwa mkarimu kidogo tu ningeweza donoa mtu kinyume na mipango yangu..but for the sake of umri na malengo sasa hivi ndo natafuta wakuoa hata kama sintampenda kama wale at the beggining ntaendelea kujifunza kumpenda.

uko sawa mbukoi, even me am searching girl wa kuishi naye forever, coz sasa nipo kamili.
 
uko sawa mbukoi, even me am searching girl wa kuishi naye forever, coz sasa nipo kamili.

kweli kaka but kuwa makini kwani msichana sahii kwako haji kwa sababu umekamilisha mambo yako hii kitu wakati mwingine uwa inakuja kama ajali so mshirikishe Mungu uwe makini sana pia.Am keeping you in ma prayers coz hatuwezi kuvuka hapa salama na kwa amani kwa akili zetu wenyewe tunaitaji uongozi wa Mungu katika hili.."Nyumba na mali mtu upewa na Baba yake lakini mke mwema anatoka kwa Bwana".
 
kweli kaka but kuwa makini kwani msichana sahii kwako haji kwa sababu umekamilisha mambo yako hii kitu wakati mwingine uwa inakuja kama ajali so mshirikishe mungu uwe makini sana pia.am keeping you in ma prayers coz hatuwezi kuvuka hapa salama na kwa amani kwa akili zetu wenyewe tunaitaji uongozi wa mungu katika hili.."nyumba na mali mtu upewa na baba yake lakini mke mwema anatoka kwa bwana".

uko sawa 100% you are blessed
 
umenikumbushA SHOGA yangu alipenda weeeeeee lo jamani wanaume hawa kaoa ndo anakimbizana na chuma chakavu tena chafu za mtaa na sasa wanaaishi tu hakuna penzi tena jamani maisha hayana mizani hasa kwenye kipimo cha nimpende nani
 
daaah kupenda kubaya mimi mpaka leo ninaamini mtu upenda ile kiukweli mara 1 maishani. Mimi nilimpenda sana msichana flani lakini things didnt work out mpaka leo japo nimeweza move on lakini deep inside najua I still love her badly. Ni mwaka wa pili sasa nashindwa kaa na msichana yoyte kwakuwa sijui nakuwa namcompare na huyo msichana yani daah over nimerogwa.
Hadi naamini we were born once, we live once, truly love once and die once...
yupo anayenipenda sana kama navyompenda huyo lakini sina hata chembe ya penzi juu yake na sitaki mpotezea muda wake....
 
Kupenda ndio raha jamani, tena kupenda bila sababu. Unaamua and you are on control of the show. Unaamua kuswitch on ama kuswitch off. Yaani ukiamua kununa unanuna wewe, ukiamua kucheka unacheka wewe!
kupendwa u cant control, hivyo itakuumiza.

Ni kweli kabisa, kupenda raha sana. Napenda namna ninavyompenda ninaempenda.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom