bora kupendwa kuliko kupenda!

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,779
Kama aujawahi kupenda basi usithubut
twakimu zinaonyesha wengi waliopoteza maisha na wengine wanaendelea kuumia ni kwa ajili ya kupenda sasa zamau yako kuomba Mungu upendwe kabla ujapenda
 
mapenzi kizunguzungu, bora urogwe kuliko kuwa muhanga wa mapenzi
 
Wapi banaaa!!!...kupenda na kupendwa ni vitu ambavyo vinaenda sambamba kimoja kisipokuwepo basi kingine hakina maisha marefu.

 
Last edited by a moderator:
nakubaliana na muanzisha mada.ila kwa upande mwengine,wote mkipendana kunakuwa na raha fulani.lakini umpende mtu weee yeye hajali,ni kama mateso ya kila siku
 
kupendwa rahaaaa............... kama anakupenda kuwa mstaarabu tu. utafaidijeeee,,,,,,,,,,,,,,,,,,


kupendwa ndio huku kupendwa kuheshimiwa
kupendwa ndio huku alokupenda ametulia
sio awe zumbukuku kutwa kiguu na njia
 
Kupenda ndio raha jamani, tena kupenda bila sababu. Unaamua and you are on control of the show. Unaamua kuswitch on ama kuswitch off. Yaani ukiamua kununa unanuna wewe, ukiamua kucheka unacheka wewe!
kupendwa u cant control, hivyo itakuumiza.
 
Ila aise kitu kupenda ni balaa kabisa!!! Wakati mwingine unadata tu hata kazi haziendi unamuwaza mtu tu!! Siku hizi na hizi mobile basi ukisikia ka SMS unafikiri labda ni ka huyu mpendaye sana kumbe hata SMS hatumi ni mpaka wewe umshtue!! Khaaaa! Dah!!! Mapenzi muwe wote mnapendana hata kama si katika balanced equation but at least 90% each!
 
Inawezekana hujui au unadanganya,hakuna matatizo yoyote kwenye kupenda.Hao wanaokufa kwa kujiua hawapendi wala hawajui kupenda ni nini.Kupenda ni raha sana.Huwezi kufananisha kupenda na kupendwa.Kwenye kupenda ndipo kulipo na maana nzima ya maisha!
 
Inabidi mpate maudhui ya kidarasa kuhusu hii mada

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
duuh mimi hii ilishanikuta kama mara mbili ni balaa....
ya kwanza nilikuwa advance nikampenda binti mmoja kupindukia alinitesaje?.wacha kabisa nilikuwa namuwaza hadi kichwa kinauma naloweka taulo najikanda kichwa lakini wapi mtoto haelewi kabisa.
ya pili university nikampenda demu kumbe ana mtu wake duh balaa lake sasa, niliishia kushika pembe wengine wanakamua..acha kabisa usipokuwa makini na kuweza kuzikana hisia zako unapoteza malengo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom