bora jamii forum

ney kush

JF-Expert Member
Feb 16, 2012
1,373
851
MOJA KATI YA WAANZILISHI WAMTANDAO WA FACEBOOK CHRIS HUGES AOA SHOGA....... .
Baada ya mmoja wa waanzilishi wa mtandao wa kijamii wa facebook Chris Hughes kufunga ndoa ya jinsia moja na mpenzi wake wa muda mrefu bwana Sean Eldridge jumamosi iliyopita huko New York City, USA last Saturday, the social networking website chose to symbolically introdMtandso huo umeamua kuongeza kitufe kitakacho ashiria ndoa za jinsia moja kwenye relationship status za mtandao huo.
Kwa kawaida ilikua mtu akioa kwenye page yake ya facebook anaruhusiwa kubadilisha status ambapo kitufe cha facebook huwa kinaonyesha mwanaume na mwanamke lakini kwa sasa inawezakuwa mwanaume kwa mwanaume au mwanaume kwa mwanamke.
Hiki ndio kitufe walichokiongeza kwenye facebook cha ndoa ya wanaume waliooana.
Mabadiliko haya sio mapya kwenye mtandao wa facebook katika harakati za kwenda na wakati kwani2011 facebook iliongeza kitufe cha kuonyesha kwamba ndoa imefungwa mahakamani hatua ambayo ilionekana kuunga mkono ndoa za kimahakama za watu wa jinsia moja.
Pamoja na hilo facebook imekua inatoa support kwa asasi zisizo za kiserekali ambazo zimekua zikiwekakipaumbele kwenye kutetea haki za mashoga na wasagaji.
 
Huyo ndo yule aliyesema haamini kama kuna mungu au?
 
hakuna jipya chini ya jua yote hayo yalishapita katika hii dunia. tunayarudia na ukiona hivyo saa ya ukombozi inakaribia, mwenye kuamini miti, mbuzi, wanyama, biblia, na mengine mengi yote shikilia kwenye imani yako na usitetereke na vitu vya kuja vishawishi ni vingi sana siku hizi mtoto wa kiume akiwa mzuri wazazi wanaanza kuogopa maana anatazamwa na wengi wanawake na wanaume sasa hapo atafyatukaje?? tamaa ya fedha na mali zitawamaliza wengi. naamini kabisa huyo boss aliyefunga hiyo ndoa akija bongo hakuna ambae ataerusha jiwe ili ampige kwa sababu ya litabia lake zaidi mtampokea kwenye red carpet na hotel ya maana na mwisho wa siku atawaachia vidola vyake huku mkecheka cheka, SIMAMA HAPO HAPO KWENYE IMANI YAKO NA MAONI YAKO USIKUBALI KUYUMBISHWA KWA SABABU YA PESA AU RANGI ZAO MTAANGAMIA WOTE NA HAWA JAMAA HAKIKA WANATUMIA KILA AINA YA PESA MCHEZO HUU UENEE DUNIANI KOTE.
 
Back
Top Bottom