Boom langu nimeamua kununua mzigo na kuweka ndani nikimaliza chuo nifungue duka langu

Michael Mlay

Member
Aug 24, 2022
45
47
Habari zenu wanajamii Forums

Mimi ni mwanachuo wa chuo kikuu x.

Nimeona kutunza pesa sio kazi rahisi sana, hivyo nimeamua Kila boom nitakalopata nanunua mzigo mfano pochi.

Nguo halafu naweka ndani Ili mpaka namaliza chuo teyari nitakuwa na mzigo wa kutosha kuanzisha biashara yangu.

Naombeni maoni YENU wadau Kwa hili wazo langu
 
Habari zenu wanajamii forum
Mimi ni mwanachuo wa chuo kikuu x ,nimeona kutunza pesa sio kazi rahisi sana, hivyo nimeamua Kila boom ntakalopata nanunua mzigo mfano pochi,nguo alafu naweka ndani Ili mpaka namaliza chuo teyari ntakuwa na mzigo wa kutosha kuanzisha biashara yangu.Naombeni maoni YENU wadau Kwa hili wazo langu
Jambo Zuri, ila be self discipline about that, kwa sabababu inaweza kutokea passi ndefu bumu likakata ukauza kila kitu. Au hata kuingia madeni.
 
Habari zenu wanajamii forum
Mimi ni mwanachuo wa chuo kikuu x.

Nimeona kutunza pesa sio kazi rahisi sana, hivyo nimeamua Kila boom nitakalopata nanunua mzigo mfano pochi.

Nguo halafu naweka ndani Ili mpaka namaliza chuo teyari ntakuwa na mzigo wa kutosha kuanzisha biashara yangu.

Naombeni maoni YENU wadau Kwa hili wazo langu
Dogo wewe una PHD ya upuuzi.

Kwanza unataka kufanya kitu ambacho hukijui, hapo tu ushafeli tyr na hata ukipewa mtaji wa 100m huwezi toboa na biashara.

Pili nasema hujui biashara sababu lengo la biashara ni kununulia chini uuze juu, sasa wewe unatunza stock? Ambazo mostly value inashuka?

Acha upuuzi kula raha, soma faulu mitihani uje uajiriwe, biashara sio za wapuuzi kama wewe. Wewe una damu ya kuajiriwa

Nyambaf……
 
Habari zenu wanajamii forum
Mimi ni mwanachuo wa chuo kikuu x.

Nimeona kutunza pesa sio kazi rahisi sana, hivyo nimeamua Kila boom nitakalopata nanunua mzigo mfano pochi.

Nguo halafu naweka ndani Ili mpaka namaliza chuo teyari ntakuwa na mzigo wa kutosha kuanzisha biashara yangu.

Naombeni maoni YENU wadau Kwa hili wazo langu
Ni wazo lenye mashiko, ila changamoto ya vitu huwa vina fasheni yake, sasa we runda mzigo ndani bila kusoma alama za nyakati utakosa mwana na maji ya moto

Wengi huenda na fasheni, kuna muda ukishapita bidhaa fulani huwa zinakuwa yeboyebo hata bure mtu wa town hanunui labda mbwinde huko ndani ndani

Mfano ni zile sendoz za manyoya😂, pata picha mtu angezilunda geto miaka mitatu iliyopita je leo angeuza kweli??? So akili kumkichwa na kila la heri kwenye mishe yako
 
Habari zenu wanajamii Forums

Mimi ni mwanachuo wa chuo kikuu x.

Nimeona kutunza pesa sio kazi rahisi sana, hivyo nimeamua Kila boom nitakalopata nanunua mzigo mfano pochi.

Nguo halafu naweka ndani Ili mpaka namaliza chuo teyari nitakuwa na mzigo wa kutosha kuanzisha biashara yangu.

Naombeni maoni YENU wadau Kwa hili wazo langu
Kwann usianze kuuza now hata kwa wanachuo wenzako au free time unatembeza?? Siku utamaliza chuo fashion ya hvo vitu vitakuwa vimepitwa na wakati na utauza kwa hasara pia vinaweza kuharibika kwa utunzaj mbovu
 
Habari zenu wanajamii Forums

Mimi ni mwanachuo wa chuo kikuu x.

Nimeona kutunza pesa sio kazi rahisi sana, hivyo nimeamua Kila boom nitakalopata nanunua mzigo mfano pochi.

Nguo halafu naweka ndani Ili mpaka namaliza chuo teyari nitakuwa na mzigo wa kutosha kuanzisha biashara yangu.

Naombeni maoni YENU wadau Kwa hili wazo langu
Sio wazo zuri.
Hizo bidhaa huwa zinapitwa na wakati
 
Back
Top Bottom