Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Merry Christmas to you Paula Paul.

Anyway if you don't mind, can you please help me to find a hard copy of a book called Alex rider(it's a series) written by Anthony horrowitz.

The most lovely thing about, is that the Amazon company owned by the billionaire Jeff bezos made a action series out of it

Waiting for your reply comrade
Thank you IB.
I did enjoy them when I was younger. Download Skeleton Key PDF
 
Attachments

  • Alex Rider Book 2 - Point Blank.pdf
    1.5 MB · Views: 38
  • Alex Rider Book 1 - Stormbreaker.pdf
    1,023.6 KB · Views: 41
Paula Paul nilisoma kitabu cha eastern of eden (kutokana na ushawishi wako)
aisee sijawahi kusoma kitabu kikanishusha moyo kama hicho,
baada ya kusoma nikapoteza hamu kabisa ya kusoma vitabu, imenichukua zaidi ya miezi mitatu au minne kuwa sawa.
 
Pole sana nimehuzunika kusikia hakikuendea vizuri Olele.
Ila nina furaha kwamba sasa upo sawa.

"Timshel"
 
Asanteni sana wachangiaji wote wa mada hii pamoja na mleta , 2022 ilikua ni mwaka mzuri kwa namna moja au nyingine kupitia uzi huu tumeweza kupata vitabu mbali mbali ambavyo kwa baadhi tulivyo soma na kuvielewa vimeacha athari chanya kwenye maisha yetu.
Rai yangu tuendelee kushirikishana kile tunachokipata chenye maudhui ya mada hii, wengi wetu tunashindwa au tunakosa nafasi ya ku comment kuonyesha kile tunachokipata ila i'm sure tunapata vingi mno vizuri.
Heri na baraka kwa mwaka mpya wa 2023 ukawe mwaka mwepesi kwa kila mmoja wetu.
 
Kama unataka kuishi bila kumwa kitafute hicho
JPEG_20221231_235035_7933001058515016140.jpg
 
Huu uzi umenihamasisha sana kusoma vitabu. Mwaka ulioisha nmesoma sana vitabu vya psychology na hivi ndivo vilivokua bora zaidi;

-Feelings buried alive never dies (karol truman)
-Working with law.(raymond neff)
-Power is within you (louise hay)
-secret to teen power (paul harrington)

Cc.paula paul
 
Wakuu heri ya mwaka mpya Kuna kitabu kina itwa propaganda nilikipakuwa Hapa now sikion naweza kipata msaada tafadhar
 
Hey Paula what's up? Sijaona uzi wa vitabu ulivyosoma mwaka huu. Hebu weka list "tujimotiveti"
So another year has come. Happy new year Bookworms.

Lately I don't have that much time to read. I work 12 hours a day, 6days a week. I take one day off a week basi.

I don't find time to read. But there is no such thing as being too busy to do something right? So, I make time to read, during my lunch break and during my commute. Pia before bed for two hours or more. Na pia nimekuwa a bathroom reader mzuri sasa..Lol.

2022 nilisema nitasoma kuhusu Adventure , Astronomy and Cosmology. Nimefanikisha kusoma vichache sababu ya changamoto mbalimbali ikiwemo na muda.

1.The Siege and Conquest of the North Pole by George Bryce.
2.The grand design by Stephen Hawking
3.Pop science-Great History of Time by Stephen Hawking
4.A Universe From Nothing by Lawrence Krauss.
5.The Big Bang by Simon Sinh
6.Future of Humanity by Michio Kaku
7.Shogun by James Clavell
8. Musashi by Eiji Yoshikawa.

Tbr, Our Mathematical Universe by Max Tegmar

Vingine nilivyovisoma nimeviandika humu na vingine nimepata recommendation humu ni,
1.Angela's Ashes by Frank McCourt.
2.I am Still Alive by Kate Alice Marshall.
3.Confession of an Economic Hitman (recommended by you).
4.I have No Mouth and I must Scream by Harlan Ellison.
5.Why Has Nobody Told Me This Before by
6.Burry My heart at Wounded Knee by Dee Brown
7. Leave The World Behind by Rumaan Alam
8. The Brothers Karamazov by Dostoyevsky.
Currently reading, The Girl on the Train by Paula Hawkins.
Inawezekana kuna vingine vimesahaaulika.

2023, sijaweka bado malengo yoyote. Vipi kuhusu wewe?

Cc Step_Rocker
 
2022 I read
1. Tiny Habits BJ Fogg
2. Money Maste the Game Tonny Robbins
3. Rules of Money Richard Templar
4. Tao Te Ching (sijaelewa kbs)
5. The Psychology of Money
6. The Four Agreements Don Miguel
7. Screw it Lets Do it Richard Branson
8. Principle by Ray Dalio sikukimaliza lost interest in the middle nikakiacha.

2023 I will read
Mostly business books and habit changing books and a novel
1. Small Business Bible by Steven D. Strauss
2. Atomic Habits by James Clear
3. Compound Effect by Darren Hardy
4. Subtle Art of Not Giving a F#ck- Mark Manson
5. 7 Habits of Highly Effective People (re reading)
6.The E- Myth
7. Unscripted MJ DeMarco
8. Tuesdays with Morie
 
Back
Top Bottom