Bongo Star Search mnakosa mvuto

FabNXTzqEtcgazfbjjfo

JF-Expert Member
Jan 17, 2019
1,472
1,828
Habarini za Muda Huu
Nimeona Tangazo la Kutafuta Hawa Bongo Star Search Nikabaki Nashangaa wanatafuta Comedian au Nini?

Yaani Watu wanaoonyeshwa Kwenye Tangazo ni Wachekeshaji na Watu wanashindwa Kuimba Na Waliovaa Hovyo Hovyo Tu

Sasa Badala ya Kuwaonyesha Watu wanaoimba Vizuri ili Tuone dhumuni Kubwa Lao ni Kutafuta Watu kama Hao Wao Wanaishia Kutuonyesha Upuuzi wa Washiriki..

Jitafakarini Sana Mvuto wenu wa Mwanzo Umeisha Mbele ya Macho ya Watanzania, Mtu akisikia Hata BSS anabadili Channel tu Maana Hakuna La Maana..
 
Ilishakosa mvuto muda tu

Sikuhizi hawapo kwaajili ya kujaji uwezo wa vijana kuimba na hatimaye kuibua vipaji vyao

BSS ya sasa ipo kwaajili ya kudhalilisha vijana kutokana na uwezo au muonekano wao

Aidha, BSS ya sasa inawaweka watu wasio na uwezo wa kujaji, yaani Majaji wa hovyo, sasa kama Mpishi Shilole naye ni Judge unategemea nini?
 
Bongo we kuwa maarufu tu .........
 
Mzungu kichaa aliona mbali aliwachana kinomanoma wakamchukia na wao walianza kumjibu shombo. Hilo tangazo lao ni kama wanasaka komediani. Wamepoteza mvuto ndio maana wanaonesha upuuzi wao kwenye tv ndogo isiyo na coverage
 
Habarini za Muda Huu
Nimeona Tangazo la Kutafuta Hawa Bongo Star Search Nikabaki Nashangaa wanatafuta Comedian au Nini?

Yaani Watu wanaoonyeshwa Kwenye Tangazo ni Wachekeshaji na Watu wanashindwa Kuimba Na Waliovaa Hovyo Hovyo Tu

Sasa Badala ya Kuwaonyesha Watu wanaoimba Vizuri ili Tuone dhumuni Kubwa Lao ni Kutafuta Watu kama Hao Wao Wanaishia Kutuonyesha Upuuzi wa Washiriki..

Jitafakarini Sana Mvuto wenu wa Mwanzo Umeisha Mbele ya Macho ya Watanzania, Mtu akisikia Hata BSS anabadili Channel tu Maana Hakuna La Maana..
Bado ipo? kitambo sana Jk akiwa Raisi ndio nilikuwa naifuatilia
 
Kwanza pale ni upuuzi tu unafanyika kwanza ma jaji wote ni wahuni hakuna mtu mwenye hekima pale wanajifanya masela na wajuaji kumbe ni masela mavi.Hata vijana nao wanaokwenda kwenye mashindano hayo nao ni wapuuzi tu huwezi kwenda kwa watu wajinga wajinga km wale eti ukizani ndo utatoboa.
 
Kaendaga harmonise walijifanya kumponda, Sasa hivi katoboa kuwapita hao majaji shombo kujifanya wametoboa Maisha.
 
Mara ya mwisho kiangalia kuna jamaa mmoja alishinda alikuwa anaitwa Jumanne Iddy.. Sijui alikujaga kupoteleaga wapi aisee, Nakumbuka alijinyakulia Gari lake saafi kabisa na akapewa offer ya kurekodi na kushiot video Benchmark production.. Zamani mambo yalikuwa mazuri sana
 
Kipindi kilichokuwa kizur ni maishaplas peke yake cha masudi kipanya sijui nini kiliyokea ikaja kufa. Hiv vipindi vya BSS siku hizi ni vya ajabu sana. Haya kunakipindi kingine cha huyu Idris wale sijui watu wa namna gani wamewekwa nyumba moja kipo kama big brother amna kitu mule zaid ya kutongozana. Maisha plus ile ndo kuna challenge na moja niliyoipenda ni ile ya kuchonga furniture yoyote ile alafu kuiuza atakae huza zaid ndio anapata mask nzuri sana ile very talented 👌
 
Back
Top Bottom