Bongo Ndio Hii, Watoto wa Taifa la Kesho

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
404066_432003750181416_926443100_n.jpg
 
Maisha bora kwa kila Mtz! waache wachezee vumbi kwani wazazi wao walimchagua hendisamu!! bless them!! sorry for being horrible! Mungu ibariki Tz. Nina uchungu sana na nchi yangu lakini sijui nianzie wapi ili kuokoa hii nchi inayoangamizwa na ufisadi kila kukicha.:sad:
 
Mkuu wa nchi yao amempelekea picha ya serengeti sheikh Said kule Muscat, akimaliza kushangaa kasri atakuja kuwaletea maisha bora aliyoagiza
 

Kuna Watanzania bado wako katika siasa ya Ujamaa na kujitegemea wakati wengine wako katika siasa ya Kujamiiana na kujimegea
 
Back
Top Bottom