Serikali litazameni hili, la sivyo taifa la kesho litaangamia

professional ethics

Senior Member
Dec 24, 2023
108
352
Wakuu.
Bila ya kupoteza muda, afya ya akili ni jambo la muhimu Sana katika mstakabali wa taifa la sasa na kesho.

Kama mnavyo-jua taifa la kesho ni vijana na watoto ambao wengi wao wapo kwenye tasisi za elimu yaaani shule za msingi, sekondali, vyuo vya Kati na vyuo vikuu.

Vijana na watoto Hawa wanapitia changamoto nyingi sana ambazo Zina pelekea shida Katika eneo la akili, mfano migogoro ya familia, umaskini na masuala mbalimbali ya kimila na mengine kama hayo, mambo hayo yawa waathiri sana wanafunzi, kiasi cha kuwa na makovu ya kihisia na ukosefu wa utimamu wa akili...

Wizara ya afya, pamoja na wizara ya Elimu na serikali kwa ujumla naona ni wakati sasa kuanzia kuajiri katika shule,madaktari hasa walio bobea kwenye eneo la saikolojia lengo kuu ni kusaidia kudeal, kugundua changamoto za kiakili na matibabu ya akili kwa wanafunzi on sport wakiwa mashuleni, yaani kwa kifupi Kila shule kuwa na waatalamu wa psychology apart from walimu.
 
Hakika ni jambo muhimu hili sana serikali kulipa kipaumbele. Naomba urekebishe heading hapo iwe serikali na sio selikali
 
Back
Top Bottom