Bomu na risasi za moto zilizotumika kwenye tukio la Arusha ni bidhaa za China tena ni za mwaka huu

Kwamba hayajawahi kutumiwa na makeshi yetu!!!!! unajua wanataka kutuma ujumbe gani hao? Hizo ni mbinu za kuchomoa jeshi la polisi katika kashfa hii. Halafu taarifa yenyewe umeipata kwa polisi wenyewe!!!!!!!!!!!! Changanya na zakwako. AU ndo mnajipanga hivyo?
 
hivi ndugu zangu, hakuna uwezekano wa haya maganda yakafanyiwa uchunguzi kwa level ya kimataifa ili kujua haya maswala vizuri!.
 
Hivi mwigulu ni nani mpaka avuruge nchi namna hii? Yeye ana thamani gani kuliko watanzania wengine? Poor lameck.
 
Mwenzako Mungi, alikuja na kamba kuwa alikuwa anapita polisi akapewa habari wewe tena unakuja na kamba kuwa mwanajeshi kakuambia, ha ha haa ha.

Hujasoma habari Mwanajeshi katonya askari.....Mungi kupata kwa askari polisi na Mleta mada kapata kwa mwanajeshi kivyake au wakiwa na police.

Mbona hii nchi kuna wanajeshi na askari polisi wasela, na uraini wapo sana wanakula kuku na watoto wa mjini?Hii ipo Arusha, Dar etc.....kuna wanajeshi wengi sana vijana wanatamani sana raia walianzishe.....Hiki chama kinachoongozwa na vichawi na waganga km babako wanaodhamini watu kuzimu kila siku watashangazwa sana.
 
Kadinali Pengo sii mtu wa kukurupuka na ni kiongozi wa kiroho. Aliposema bila kumumunya maneno kuwa Bomu lililotupwa kanisani sio masuala ya udini watu walikuja juu na kumbeza. Sasa nimejua kuwa alipata maono fulani kutoka kwa mwenye nyumba ile ya Ibada ambaye ni MUNGU MUUMBA. Naamini bomu la kanisani lilikuwa ni mkakati wa kuiogopesha Arusha. Na wahusika ndio haohao waliolipua mkutano wa Chadema. Kwa kuwa kuna tetesi nani kahusika na bomu la mkutanoni,basi huyohuyo ndiye kahusika kanisani.
Sasa bwana mkubwa unayetajwa sana funguka, Imeandikwa tubuni nanyi mtasamehewa ila mshahara wa dhambi ni mauti, waombe radhi Wanaarusha na watanzania wote kisha mrudie Muumba akusamehe hicho ulichoandaa eitha kwa kutumwa au kwa matakwa yako baada ya kusifiwa pale Dodoma kuwa wewe unaweza kuukabili upinzani kisha ukapandishwa cheo.
Nio uhakika kama kweli umahusika na huta fanya hivyo MUNGU atakuweka wazi mpaka utashangaa,ila kama huhusiki MUNGU akulinde na kukukweza zaidi. Uamuzi ni wako.
 
Hivi mwigulu nchemba alianza kwanza kwenda JKT ndipo akaenda china? au alianza kwenda china ndipo akaingia JKT?

napata picha silaha hizi bila shaka zimeletwa na nchemba ili kutekeleza mpango wake wa kuhakikisha anayeikataa ccm anakufa.

Hii ndio kazi ya china.....sasa tutashuhudia hadi snippers wa kichina mid-night.Kuliko China apoteze uranium,gold, gypsum, gas, misitu yetu ,tembo wetu, cobalt, chuma ya mchuchuma etc.....china anaweza ua raia wake kwa staili awezavyo ili haki isitolewe.
 
Kadinali Pengo sii mtu wa kukurupuka na ni kiongozi wa kiroho. Aliposema bila kumumunya maneno kuwa Bomu lililotupwa kanisani sio masuala ya udini watu walikuja juu na kumbeza. Sasa nimejua kuwa alipata maono fulani kutoka kwa mwenye nyumba ile ya Ibada ambaye ni MUNGU MUUMBA. Naamini bomu la kanisani lilikuwa ni mkakati wa kuiogopesha Arusha. Na wahusika ndio haohao waliolipua mkutano wa Chadema. Kwa kuwa kuna tetesi nani kahusika na bomu la mkutanoni,basi huyohuyo ndiye kahusika kanisani.
Sasa bwana mkubwa unayetajwa sana funguka, Imeandikwa tubuni nanyi mtasamehewa ila mshahara wa dhambi ni mauti, waombe radhi Wanaarusha na watanzania wote kisha mrudie Muumba akusamehe hicho ulichoandaa eitha kwa kutumwa au kwa matakwa yako baada ya kusifiwa pale Dodoma kuwa wewe unaweza kuukabili upinzani kisha ukapandishwa cheo.
Nio uhakika kama kweli umahusika na huta fanya hivyo MUNGU atakuweka wazi mpaka utashangaa,ila kama huhusiki MUNGU akulinde na kukukweza zaidi. Uamuzi ni wako.

Kwa mara nyingine katoliki wanoanyesha ukomavu wa hali ya juu zaidi ya hawa plana toka mzizima....Kilaini alisema Jk ni chaguo la Mungu, watu wakachanganyikiwa na kubeza, Pengo kasema bomu si masuala ya dini watu wakabeza...jana nikawaambia watu kuwa katoliki watapiga bao hapa kuwapata waou wao....watu wakabeza....JK atakufa na CCM kwa kifo cha aibu kuliko Idd Amin Dada..soon atajivua nguo na kujonyesha true face yake.Subiri wa Oman na Uchina wammpe kiburi...usishangae Kagame akaja weka utawala wake hapa.Kwani wameshamjua na Tayari wameshajiandaa .
 
Hujasoma habari Mwanajeshi katonya askari.....Mungi kupata kwa askari polisi na Mleta mada kapata kwa mwanajeshi kivyake au wakiwa na police.

Mbona hii nchi kuna wanajeshi na askari polisi wasela, na uraini wapo sana wanakula kuku na watoto wa mjini?Hii ipo Arusha, Dar etc.....kuna wanajeshi wengi sana vijana wanatamani sana raia walianzishe.....Hiki chama kinachoongozwa na vichawi na waganga km babako wanaodhamini watu kuzimu kila siku watashangazwa sana.
Mkuu mbona wewe na Mungi mnahangaika sana tangia hili tukio lilivyo anza? Au ndio yale maagizo aliyo pata Ben kutoka Ujerumani? Ongezeni bidii ya kutunga uongo, bi Mkubwa atawaletea zawadi kutoka ujerumani.
 
Ile si Kofia ya Free Mason Mkuu. Ile ni Kofia ya Red Army of China. Kwa taratibu za Kijeshi ninazozijua ni kwamba Ukivaa Kofia unavaa Jamhuri ya Hiyo Kofia. Mwigulu alikuwa Arusha kwa Kazi Maalum ya Serikali ya Watu China. Hiyo Kofia aliyoivaa Mkoani Mbeya na Arusha ni Kofia ya Jeshi la China linaloitwa The Chinese Red Army.

Yuko kwenye kazi Maalum ya Jeshi la China. Mwigulu ndo huyu hapa:

View attachment 97862

Waliomtuma hawa hapa:

View attachment 97865
View attachment 97864
View attachment 97863View attachment 97866
295552_10151889896298243_871383171_n.jpg
 
mwigulu hivi karibuni alirejea kutoka china, na alikaa huko kwa muda wa kutosha. Na tangu arejee ndiyo anavaa ile kofia. Bila mwigulu kukamatwa, tutakuwa tunadanganywa tu.

atakamatwa na nani? He is a shadow commanding officer. And china wants to protect her interests
 
Kweli JF imejaa vichwa. Shimbo amepelekwa China ili vitu vyenye ncha kali vinapatikana kiurahisi.Pia kuna uchaguzi mkuu 2015,kura za mchina zitakuwa nyingi.
Na Shimbo amepelekwa China kwa makusudi ya kuhakikisha kwamba, bidhaa hizo zinapatikana kwa wingi kwenye uchaguzi wa 2015.

Hata dikteta Bokassa alijiaminisha kwamba atafia madarakani!!
 
huyu mwanajeshi ndiye aliyepangwa na chadema kufanya hayo na kuandaliwa ripoti ya kuitoa kwenye mitandao kama hii. hiki chama hakina tofauti na mafia ni cha kujihadhari nacho sana
matokeo ya safari za kinana na team yake na baadaye mwigulu imeanza kutoa majibu
 
huyo mwanajeshi awe mshukiwa wa kwanza,aliandaliwa na chadema na kuandaliwa hiyo ripoti aisambaze kwenye mitandao kama hii
[FONT=comic sans
ms]Pin ya bomu na maganda ya risasi yaliyookotwa katika uwanja
wa soweto Arusha na wanajeshi yamegundulika kuwa ni toleo la kisasa mno
na pia ni bidhaa za kiwanda cha China na zimezalishwa mwaka huu ktk
kiwanda husika.
Bidhaa hizi zimekutwa zote zimetengenezwa katika kiwanda kimoja na ni
bidhaa zilizowekwa serial numbers za mwaka huu na zinafuatana kwa
kupishana degits chache sana, jambo ambalo linadhihirisha kuwa
mtupaji/watupaji wa bomu na mpigaji/wapigaji wa risasi za moto ni kundi
moja au ni mtu moja.

Mwanajeshi mmoja aliyekuwepo kwenye operation husika ametonya kuwa
uchunguzi huu ulifanyika kwa maamuzi yao binafsi baada ya kushangazwa na
aina ya Pin inayodhaniwa kuwa imesalia baada ya bomu husika kulipuka
kuonekana kuwa ni unique sana tofauti na aina za mabomu waliyoyazoea na
wanayoyamiliki kama jeshi. Wamegundua mabaki ya silaha hizi ni bidhaa
mpya ambazo bado hazijawahi kutumika katika majeshi ya TZ(hasa bomu
husika).

Waliamua kukagua maganda ya risasi za moto na pin husika na kuchukua
serial numbers wakaingia kwenye search engines na ndipo wakagundua kuwa
bidhaa hizo ni za mwaka huu na zimezalishwa ktk kiwanda kimoja cha
serikali ya China.

Mytake:

Mwenye akili haambiwi tazama, naamini hili halitakuwa ktk sehemu ya
report ya jeshi itakayotolewa.

Source:
Mwanajeshi aliyenyetisha hili kwa askari polisi waliokutana usiku wa
manane Arusha mjini wakati wakifanya doria.
[/FONT]
 
Kama limegundulika hilo kwanini jeshi la wananchi muogope kuweka ukweli hadharani? Mi nazani itakuwa nikulea donda ndugu.
 
Mwigulu na ile kofia yake ya Freemason aliyotokanayo china huenda alikuja na hizi bidhaa na ilikuwa lazima atoe kafara ya Damu ya waTanzania

IPOdfGYd9_QDrUrAFIIeRtVTyZpwhrNpyEXTn4MfSTU

Hii kofia ilipeanwa kama souvenir kutokana na valued purchase done in the Chinese gov firm...
 
kila anapokuwepo Mwigulu kwenye harakati za CDM, kunatokea vifo? what a coincidence?
 
Back
Top Bottom