Bomu na risasi za moto zilizotumika kwenye tukio la Arusha ni bidhaa za China tena ni za mwaka huu

Mkuu mbona wewe na Mungi mnahangaika sana tangia hili tukio lilivyo anza? Au ndio yale maagizo aliyo pata Ben kutoka Ujerumani? Ongezeni bidii ya kutunga uongo, bi Mkubwa atawaletea zawadi kutoka ujerumani.

Kwa sababu sasa inakera ..na imeshakuwa uovu mkuu.Pengine hujui hasira ya watanzania...ilipofikia.Barbaric CCM
 
Chama tawala nchini China kina mahusiano makubwa na CCM, si ajabu Mwigulu akaenda China na kurudi kisha yakawa yanatokea tunayoshuhudia!
 
295552_10151889896298243_871383171_n.jpg
Ile si Kofia ya Free Mason Mkuu. Ile ni Kofia ya Red Army of China. Kwa taratibu za Kijeshi ninazozijua ni kwamba Ukivaa Kofia unavaa Jamhuri ya Hiyo Kofia. Mwigulu alikuwa Arusha kwa Kazi Maalum ya Serikali ya Watu China. Hiyo Kofia aliyoivaa Mkoani Mbeya na Arusha ni Kofia ya Jeshi la China linaloitwa The Chinese Red Army.

Yuko kwenye kazi Maalum ya Jeshi la China. Mwigulu ndo huyu hapa:

View attachment 97862

Waliomtuma hawa hapa:

View attachment 97865
View attachment 97864
View attachment 97863View attachment 97866

Da! Tumekwisha.... Kumbe tatizo ni kubwa hivi?
 
Mwenzako Mungi, alikuja na kamba kuwa alikuwa anapita polisi akapewa habari wewe tena unakuja na kamba kuwa mwanajeshi kakuambia, ha ha haa ha.

kwani haiwezekani?? sio wanajeshi wote wanapenda uuaji unaofanywa na ccm na serikali yake. hilo ka ukitambua tuna ndugu zetu wa damu wanajeshi na wanaunga mkono mabadiliko, cdm chama chenye mtandao mkubwa sana pengine kuzidi ccm kwa sasa
 
Nicholas ngoja nikupe hii kutoka BoT; pale nina mshikaji wangu kinipa hii: huyu kibaraka wa wachina kumbe tatizo lake kubwa hasa ni ulimbukeni aloo Nicolas. Unaambiwa mwigulu nchemba katika malimbukeni waliobakia tanzania atakuwa anaongoza.

Tz Mao Tse Tung.JPG

Huyu bwana hajawahi kutoka nje ya Tanzania maishani mwake. Kwa hiyo yeye imekuwa singida, dodoma, dar es salaam. singida, dodoma, dar es salaam. Juzijuzi tu hapa jamaa yangu wa BoT anasema sijui kapewa hirizi na nani. Kikwete kaanza kumpandisha chati kwa sababu ambazo hata wanaCCM wengine wanashindwa kuzielewa. Bas jamaa kavimba kichwa kinataka kupasuka. Mara, kapewa katrip Sauz Afrika akatoe tongotongo. Hatujakaa sawa, China. Karudi na kikofia. Du...unaambiwa! Kavimba kichwa hasikii ushauri wa mtu yeyote. Watu wanamwimbia wewe Kikwete akitoka hautakatiza popote watu wakupishe kiti. Punguza ujinga wewe kujifanya unakontrol usalama wa taifa woooote, hasikiii!

Eti Kikwete anamwambia hakuna mwana-ccm bora kushinda Mwigulu. Eti ni mchapakazi ile mbaya. kazi yenyewe ndo hiyooo mnaiona Arusha na Mabwepande. Booooom! Watu wanakufa, hajali mradi afunge bao akasifiwe na mwenyekiti wake kwenye vikao. Ndiyo staa wa CCM huyo na kikofia chache kutoka jeshi la china. Upo?

Hatujakwisha ...tatizo ni kubw aila linatosha kabisa wachukia wachina.Tutawauzia hata mbwa zenye sumu na magonjwa wale na kufa
 
Nicholas ngoja nikupe hii kutoka BoT; pale nina mshikaji wangu kinipa hii: huyu kibaraka wa wachina kumbe tatizo lake kubwa hasa ni ulimbukeni aloo Nicolas. Unaambiwa mwigulu nchemba katika malimbukeni waliobakia tanzania atakuwa anaongoza.

View attachment 98045

Huyu bwana hajawahi kutoka nje ya Tanzania maishani mwake. Kwa hiyo yeye imekuwa singida, dodoma, dar es salaam. singida, dodoma, dar es salaam. Juzijuzi tu hapa jamaa yangu wa BoT anasema sijui kapewa hirizi na nani. Kikwete kaanza kumpandisha chati kwa sababu ambazo hata wanaCCM wengine wanashindwa kuzielewa. Bas jamaa kavimba kichwa kinataka kupasuka. Mara, kapewa katrip Sauz Afrika akatoe tongotongo. Hatujakaa sawa, China. Karudi na kikofia. Du...unaambiwa! Kavimba kichwa hasikii ushauri wa mtu yeyote. Watu wanamwimbia wewe Kikwete akitoka hautakatiza popote watu wakupishe kiti. Punguza ujinga wewe kujifanya unakontrol usalama wa taifa woooote, hasikiii!

Eti Kikwete anamwambia hakuna mwana-ccm bora kushinda Mwigulu. Eti ni mchapakazi ile mbaya. kazi yenyewe ndo hiyooo mnaiona Arusha na Mabwepande. Booooom! Watu wanakufa, hajali mradi afunge bao akasifiwe na mwenyekiti wake kwenye vikao. Ndiyo staa wa CCM huyo na kikofia chache kutoka jeshi la china. Upo?
Hizo ndizo tabia za njia ya vumbi watu wa kule Arusha wanazijua sana...si wamejaa ktk mabaa,madanguro, na kazi nyingine zisizo rasmi sana....wakiona boss anawasikiliza kidogo basi wao hufikia haraka sana kuwafitini wengine,kuwatisha etc....ndio maana alipopost ujinga nilimwambia arusha na njia ya vumbi lazima ajitume kuwaonyesha tongotongo limekwisha.
 
Back
Top Bottom