Bomu na risasi za moto zilizotumika kwenye tukio la Arusha ni bidhaa za China tena ni za mwaka huu

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
62,203
128,036
Pin ya bomu na maganda ya risasi yaliyookotwa katika uwanja wa soweto Arusha na wanajeshi yamegundulika kuwa ni toleo la kisasa mno na pia ni bidhaa za kiwanda cha China na zimezalishwa mwaka huu ktk kiwanda husika.
Bidhaa hizi zimekutwa zote zimetengenezwa katika kiwanda kimoja na ni bidhaa zilizowekwa serial numbers za mwaka huu na zinafuatana kwa kupishana degits chache sana, jambo ambalo linadhihirisha kuwa mtupaji/watupaji wa bomu na mpigaji/wapigaji wa risasi za moto ni kundi moja au ni mtu moja.

Mwanajeshi mmoja aliyekuwepo kwenye operation husika ametonya kuwa uchunguzi huu ulifanyika kwa maamuzi yao binafsi baada ya kushangazwa na aina ya Pin inayodhaniwa kuwa imesalia baada ya bomu husika kulipuka kuonekana kuwa ni unique sana tofauti na aina za mabomu waliyoyazoea na wanayoyamiliki kama jeshi. Wamegundua mabaki ya silaha hizi ni bidhaa mpya ambazo bado hazijawahi kutumika katika majeshi ya TZ(hasa bomu husika).

Waliamua kukagua maganda ya risasi za moto na pin husika na kuchukua serial numbers wakaingia kwenye search engines na ndipo wakagundua kuwa bidhaa hizo ni za mwaka huu na zimezalishwa ktk kiwanda kimoja cha serikali ya China.

Mytake:

Mwenye akili haambiwi tazama, naamini hili halitakuwa ktk sehemu ya report ya jeshi itakayotolewa.

Source:
Mwanajeshi aliyenyetisha hili kwa askari polisi waliokutana usiku wa manane Arusha mjini wakati wakifanya doria.
 
Hayandio makbliano na miktaba baina yaserikali ya ccm na rais wa china vilee:shock:!!!!
 
Sasapicha inaanza kuonekana maana kuna Kiongozi wa juu wa Chama fulani alikuwa ziarai China hivi karibuni. Nadhani sasa kuna uwezekano wa kujua mbivu na mbichi. Hakuna siri itakayofichika wenye kufunga, nakukesha kwa maombi endeleeni kufanya hivyo ili shetani aaibishwe.
 
Pin ya bomu na maganda ya risasi yaliyookotwa katika uwanja wa soweto Arusha na wanajeshi yamegundulika kuwa ni toleo la kisasa mno na pia ni bidhaa za kiwanda cha China na zimezalishwa mwaka huu ktk kiwanda husika.
Bidhaa hizi zimekutwa zote zimetengenezwa katika kiwanda kimoja na ni bidhaa zilizowekwa serial numbers za mwaka huu na zinafuatana kwa kupishana degits chache sana, jambo ambalo linadhihirisha kuwa mtupaji/watupaji wa bomu na mpigaji/wapigaji wa risasi za moto ni kundi moja au ni mtu moja.

Mwanajeshi mmoja aliyekuwepo kwenye operation husika ametonya kuwa uchunguzi huu ulifanyika kwa maamuzi yao binafsi baada ya kushangazwa na aina ya Pin inayodhaniwa kuwa imesalia baada ya bomu husika kulipuka kuonekana kuwa ni unique sana tofauti na aina za mabomu waliyoyazoea na wanayoyamiliki kama jeshi. Wamegundua mabaki ya silaha hizi ni bidhaa mpya ambazo bado hazijawahi kutumika katika majeshi ya TZ(hasa bomu husika).

Waliamua kukagua maganda ya risasi za moto na pin husika na kuchukua serial numbers wakaingia kwenye search engines na ndipo wakagundua kuwa bidhaa hizo ni za mwaka huu na zimezalishwa ktk kiwanda kimoja cha serikali ya China.

Mytake:

Mwenye akili haambiwi tazama, naamini hili halitakuwa ktk sehemu ya report ya jeshi itakayotolewa.

Source:
Mwanajeshi aliyenyetisha hili kwa askari polisi waliokutana usiku wa manane Arusha mjini wakati wakifanya doria.

matokeo ya safari za kinana na team yake na baadaye mwigulu imeanza kutoa majibu
 
Mwenzako Mungi, alikuja na kamba kuwa alikuwa anapita polisi akapewa habari wewe tena unakuja na kamba kuwa mwanajeshi kakuambia, ha ha haa ha.
 
Last edited by a moderator:
Mwigulu, Kinana, Nape wote walikuwa China juzi Tu hapa na hizo ndio zawadi walizopewa baada ya kukabidhi mikataba 17 kwa wachina. Wachina wanajua kuwa ili wafaidi rasilimali zetu lazima CCM iendelee kubaki madarakani hivyo watawapa kila aina ya silaha. Tumekwisha watanzania, its Syria in the making
 
Pin ya bomu na maganda ya risasi yaliyookotwa katika uwanja wa soweto Arusha na wanajeshi yamegundulika kuwa ni toleo la kisasa mno na pia ni bidhaa za kiwanda cha China na zimezalishwa mwaka huu ktk kiwanda husika.
Bidhaa hizi zimekutwa zote zimetengenezwa katika kiwanda kimoja na ni bidhaa zilizowekwa serial numbers za mwaka huu na zinafuatana kwa kupishana degits chache sana, jambo ambalo linadhihirisha kuwa mtupaji/watupaji wa bomu na mpigaji/wapigaji wa risasi za moto ni kundi moja au ni mtu moja.

Mwanajeshi mmoja aliyekuwepo kwenye operation husika ametonya kuwa uchunguzi huu ulifanyika kwa maamuzi yao binafsi baada ya kushangazwa na aina ya Pin inayodhaniwa kuwa imesalia baada ya bomu husika kulipuka kuonekana kuwa ni unique sana tofauti na aina za mabomu waliyoyazoea na wanayoyamiliki kama jeshi. Wamegundua mabaki ya silaha hizi ni bidhaa mpya ambazo bado hazijawahi kutumika katika majeshi ya TZ(hasa bomu husika).

Waliamua kukagua maganda ya risasi za moto na pin husika na kuchukua serial numbers wakaingia kwenye search engines na ndipo wakagundua kuwa bidhaa hizo ni za mwaka huu na zimezalishwa ktk kiwanda kimoja cha serikali ya China.

Mytake:

Mwenye akili haambiwi tazama, naamini hili halitakuwa ktk sehemu ya report ya jeshi itakayotolewa.

Source:
Mwanajeshi aliyenyetisha hili kwa askari polisi waliokutana usiku wa manane Arusha mjini wakati wakifanya doria.

Daudi Mchambuzi
nakuamini sana na maneno yako huwa hayaendi bure.
 
Mwenzako Mungi, alikuja na kamba kuwa alikuwa anapita polisi akapewa habari wewe tena unakuja na kamba kuwa mwanajeshi kakuambia, ha ha haa ha.
Naona mko bise kuwatetea mtawatetea sana, Ila kwa Huku Arusha hata Mtoto Mdogo anajua ni nani aliye husika,
 
Mwigulu na ile kofia yake ya Freemason aliyotokanayo china huenda alikuja na hizi bidhaa na ilikuwa lazima atoe kafara ya Damu ya waTanzania
 
Hivi mwigulu nchemba alianza kwanza kwenda JKT ndipo akaenda china? au alianza kwenda china ndipo akaingia JKT?

napata picha silaha hizi bila shaka zimeletwa na nchemba ili kutekeleza mpango wake wa kuhakikisha anayeikataa ccm anakufa.
 
Hapa d. mchambu ungepata fursa ya kupata hz pin nasi 2fanye ka mchezo kaku gugo kidogo
 
Back
Top Bottom