Bomu lalipuka kwenye mkutano wa CHADEMA Arusha, watu kadhaa wahofiwa kupoteza maisha!

Nchi ipo katika hali tete ya kiusalama,
Nashauri kila mkusanyiko mikubwa hasa ya CDM screening ifanyike kwa kila anayeingia,

Mkuu unamwambia anaetega mabomu afanye screening kwani wakati hilo linalipuka alikuwa likizo wajibu wake nini?mishahara analipwa ya nini?
 
ccm hawawezi kutega hayo mabomu ,ili waachive nini?tena siku ya mwisho wa kampeni...mbona unakua na haraka kulaumu kabla,au unahusika mkuu?
mmetengeneza matukio mengi sana ya uongo na kizandiki ikiwa ni pamoja na filamu za kigaidi ili tu CDM waonekane wabaya kwa wananchi, mli-achieve nini?!!. Hakika Magamba mwisho wenu umekaribia na kadri mnavyozidi kufanya huu ujinga wenu ndivyo chuki dhidi yenu inavyozidi kuongezeka!
 
Huwezi kuiondoa ccm ktk tukio hili...ccm inawauwa wakristo wasio na hatia.. Walianza kule zanzibar, mchungaji mwanza, mwangosi,kibanda,dk ulimboka,kanisani olasati, na sasa mkutano wa chadema!
 
View attachment 97760View attachment 97761
attachment.php
attachment.php



attachment.php

attachment.php

attachment.php


attachment.php


damu za watu hawa zitamlilia mungu


Hakika zitamlilia. Inaumiza sana kuona ndugu zetu wasio na hatia wanachinjwa namna hiyo kisa udiwani na umeya. Ikifika kwenye ubunge na urais je?
Eeh Mungu utusaidie.
 
Kwa hiyo ulitaka nani afanye uchunguzi?
Ukase ukijua hao wanaopanga haya mauaji iko siku mmoja wao ataimba tu. Subiri wanyimwe malipo au wazungushwe utasikia tu.

Mwisho wa mpangaji wa haya mauaji utafika tu siku moja

Unakumbuka wale mliotengene9a nao mkanda wa lakatare je mliwalipa? Unataka kujifanya humjui aliyepanga haza mauaji? Mikono ya Mwingulu haiko salama. Damu 9a wana arusha zitamlilia sana
 
Kwa nini bomu lilipuke baada ya mkutano na siyo kabla au wakati wa mkutano?.

Kwa nini bomu lisubiri mpaka viongozi wa CHADEMA wamalize kuwapa wananchi ujumbe wa uchaguzi na jinsi ya kupiga kura ndiyo bomu lilipuke?. WHY?.

Nini kilichoko nyuma ya hii SIRI ya kisiasa?.

Kuna maswali ambayo ukiangalia kifikra unapata jibu pamoja na kwamba uchunguzi ni muhimu sana.

Kama ni mhudhuriaji wa mikutano ya chadema utajua kwanini huyo mtu alirusha bomu wakati wa kuchangisha/kutoa sadaka kwani kipindi ndo kunakuwa na watu kutembeatembea hivyo inakuwa rahisi kwake kusogea karibu na pia kuwa rahisi kwake kukimbia baada ya kufanya uharifu.
 
Tatizo watu wako fasta sana kwa judgement, em kueni kama watu wenye akili bna, mnajiita Great thinkers kwa judgement ya fasta hivyo?? Hawa watu wanavyofanya hivi nao pia sio mbwa, ni binadamu na wanafikiria, wanajua watatwist vipi ili watu mfikirie kulingana na wanavyotaka kufikiria, hapa ni kuumiza kichwa na kutafuta clues nini kinaendelea hapa, hamna ku-judge chama flani mara CCM mara CDM, hamuwezi kujua usijekuta hii iko nje kabisa ya haya makundi, umiza kwanza kichwa sio unakuja na conclusion kisa ushabiki wako wa chama flani, tatizo wabongo ni full kufuata mkumbo tu, huyu akisema hivi hata bila kufikiria kila mtu ukimbilia huko hata bila kujiuliza mara mbilimbili..
Mtu kuona tu heading na kisa ilikua ni mkutano wa CDM basi tayari kichwani ashaweka CCM, mnadhani na wao ni wajinga kuchukua actions ovyo-ovyo? mtu akitaka kufanya ubaya hasa watu wenye akili zao wanafikiria kwanza effects na kama plan iki-fail itatokea nini sio kukurupuka. What am saying hakuna anayejua ukweli ni nini except waliofanya hicho kitendo wenyewe, na tatizo la bongo utasikia uchunguzi unafanyika baada ya mwezi watu wamesahau kila kitu kinasahaulika. Hamna Secret Agencies za kufuatilia mambo kama haya kweli? au na zenyewe zitakua backed down na mojawapo ya vyama, Agencies kama hizo zinastahili watanzania wasio na upendeleo wa namna yoyote ambao wao ni kutafuta haki tu, that's how mambo yangeweza kufunuliwa ukweli, ila kwa sasa Bongo ni kama movie tu, tena movie za kibongo sio hata za hollywood
 
Kama ni mhudhuriaji wa mikutano ya chadema utajua kwanini huyo mtu alirusha bomu wakati wa kuchangisha/kutoa sadaka kwani kipindi ndo kunakuwa na watu kutembeatembea hivyo inakuwa rahisi kwake kusogea karibu na pia kuwa rahisi kwake kukimbia baada ya kufanya uharifu.
Hivi una uhakika gani kama bomu lilirushwa kwa mkono wakati wengine wanadai lilikuwa limepandikizwa, lakini pia kwa kutumia akili tu ya kawaida, kama watu walijaa na akasogea mpaka karibu na jukwaa kuu, ataweza kufanikiwa kukimbia tena baada ya kurusha wakati kuna watu wengi na baina yao watakuwa wanamuona wakati akirusha.

Mbona tunakuwa kama tunaazima akili za kupembua na kupambanua hata mambo ya kawaida.
 
Nape, Mwigulu, waziri anayehusika na usalama, mku wa mkoa.. hebu jitokezeni mtuambie ni nini mlichokuwa mnajadili kwenye mkutano wenu wa siri ili wananchi tujenge imani kwenu vinginevyo minong'ono inayoendelea itageuka laana kwenu.
 
Eee kweli labbda ni waarabu, hamkuona mtu kava kanzu na baraghashia akikimbia ? yaweza kuwa mwalabu yuko mpakani kwa sasa !! mmh
 
Wakuu hivi ni vitu vilivyoaandaliwa kunamtu mwingine kaposti huu eti kwenye mkutano wa chadema mbeya nao umerushiwa bomu wakuu haya mambo wanapanga na kutekeleza wao wenyewe chadema sijui wanataka jamii tuelewe nini.

Toa ushaidi sisi tunao cos ni victims

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Tupo hapa hospitali ya mount Meru, mtoto moja Amiri Ally is unconscious, anahitaji maombi yenu watanzania, hali yake siyo nzuri ameumia sana sehemu ya kichwani. Muda huu anatolewa hapa kupelekwa seliani.
Mwingine sharifa jumanne naye anatarajiwa kupelekwa seliani kwa matibabu zaidi.

Ee Mungu utisaidie wanao
 
Ndugu yangu najua unalipwa, ila huu upuuzi unaouongelea hapa mungu atakuadhibu huko kaburini. Jifariji kwa njaa zako ila siku yakimpata ndugu yako hizo huku saba hazitakisaidia.

Nadhani una hajaya kufikiria unachoandika kabla hujaandikia. Sijawahi na sitawahi kupewa buku saba na mtu yoyote kwa ajili ya kusaliti Watanzania wanaotaka mabadiliko. Tanzania inahitaji mabadilikona upepo wasiasa za Arusha unaonyesha kabisa CCM imelemewa. Kwa akili ya kawaida tu mtu hawezi kulipua nyumba yake. Lile bomu kwa vyovyote ni njama ya mtu ambaye yuko nje ya CHADEMA aliyetumiwa ili watu waone kuwa CHADEMA ni chama cha fujo. Lakini yana mwisho. Hamas kule Palestina walihusishwa na ugaidi, lakini wakashinda, CUF walihusishwa na fujo lakini wanaongoza Zanzibar, CHADEMA wanaharibiwa sifa na nguvu kutoka nje lakini watashinda
 
Mimi naona uchunguzi unatakiwa, na kukurupuka kwamba CCM ndio waliotega bomu, au CHADEMA ndio waliotega bomu, kabla ya uchunguzi hakufai.
Uchunguzi upi mkuu wakati bomu la Olasiti Polisi walishampa Cardinal majibu kabla ya uchunguzi,wakakamatwa watu ambao sio,kwa jeshi hili hili la matukio ya Dr.Ulimboka,Kibanda,Mwangosi na matukio ya kidini tusitegemee jipya kabisa,najiuliza sisi watanzania viongozi wetu wanatuonaje mpaka kila kinachotekea ni mwendo wa kauli tu,kulaani sijui tuko pamoja,ikipita siku kila kitu kinafutwa tunaanza moja,toka arudi Kibanda hakuna tamko toka serekalini,hivi mpaka lini hawa watu watacheza na maisha yetu ili hali na wao ni binadamu kama sisi?
NAWASILISHA:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom