Bomu la mwisho kwa Mafisadi...

Mtarajiwa

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
440
11
Wakuu,wakati wa malumbano ya Mwakyembe na Rostam,mh.Ole Sendeka aliahidi kutoa bomu la mwisho la kuwasambaratisha mafisadi.Mbona hilo bomu mpaka leo sijalisikia au ni mimi peke yangu?Mzee Ole Sendeka ahadi ni deni kama bado hujalitoa basi tafadhali fanya hima tunalisubiri manake isije ikawa na wewe umelambishwa au kutishiwa bomu na haohao unaowaita mafisadi!
 
Sendeka nae atulizane kwanza ....la sivyo ataishiwa soon...maana mwakyembe anajua kuna nini mbele na nyuma yake.....maana alijuamengi sana wakati ule wa tume.....sendeka atulie kwanza ule mzozo hauwezi kamwe......
 
Back
Top Bottom