Hii Bodi ni bora ivunjwe isukwe upya. Wakati wa marejesho ya mkopo walizidisha miezi kadhaa kunikata. Nilipofika ofisini kwao wakasema niingingie online kudai kiasi hicho kilichozidi. Wangerejesha baada ya miezi 3 ( siku 90) tangia 3 Sept 2022 nilipo jaza hizo taarifa.
Baada ya muda huo nilianza kufuatilia kwa kufika ofisini kwao. Majibu yao yakawa endelea kusubiri. Mara ya 3 nilipofika ofisini kwao wakaniambia kuna taarifa zangu (fields za kujaza) zimewekewa star ya njano inabidi uzijaze upya.
Pamoja na kuzifanyia marekebisho na kuweka kijani wakadai endelea kusubiri. Na hakuna lolote nililorekebisha zaidi ya kurudia taarifa za awali. Kama Kuna yoyote aliwahi kulipwa na hawa watu naomba ushauri lipi nifanye waweze kunilipa. Natamani kuongea na boss wa hii Bodi.