Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu simu yao haipokelewi. Mwenye namba ya CEO wao tafadhari anisaidie

Tozo

Member
Aug 23, 2021
76
154
Hii Bodi ni bora ivunjwe isukwe upya. Wakati wa marejesho ya mkopo walizidisha miezi kadhaa kunikata. Nilipofika ofisini kwao wakasema niingingie online kudai kiasi hicho kilichozidi. Wangerejesha baada ya miezi 3 ( siku 90) tangia 3 Sept 2022 nilipo jaza hizo taarifa.

Baada ya muda huo nilianza kufuatilia kwa kufika ofisini kwao. Majibu yao yakawa endelea kusubiri. Mara ya 3 nilipofika ofisini kwao wakaniambia kuna taarifa zangu (fields za kujaza) zimewekewa star ya njano inabidi uzijaze upya.

Pamoja na kuzifanyia marekebisho na kuweka kijani wakadai endelea kusubiri. Na hakuna lolote nililorekebisha zaidi ya kurudia taarifa za awali. Kama Kuna yoyote aliwahi kulipwa na hawa watu naomba ushauri lipi nifanye waweze kunilipa. Natamani kuongea na boss wa hii Bodi.
 
Bodi ya mikopo ni jipu. Nilimaliza kulipa miaka zaidi ya mitatu huko nyuma. Ila nimepata taarifa kuwa natakiwa nilipe tena retention fee ya huko nyuma. Nimeshindwa kuelewa.

Hii mifumo yetu ni majipu makubwa.

Hivi kile mama alichosema ni tofauti na hiki kinachotendeka sasa?
 
Bodi ya mikopo ni jipu. Nilimaliza kulipa miaka zaidi ya mitatu huko nyuma. Ila nimepata taarifa kuwa natakiwa nilipe tena retention fee ya huko nyuma. Nimeshindwa kuelewa.

Hii mifumo yetu ni majipu makubwa.

Hivi kile mama alichosema ni tofauti na hiki kinachotendeka sasa?
Majambazi makubwa Sana!
 
Heslb ni kikundi cha wezi. Prof. Mkenda alivyotaka kuwashughulikia wakamtengenezea zengwe eti kuna mchaga anataka akachukue nafasi ya CEO. Akaufyata.
 
Hii nchi ni ngumu sana..yaani huyu anasema hivi yule anasema vile. Huyu anatoa maelekezo haya huyu anafanya yake..hadi ninachoka. Dahhh.
 
Back
Top Bottom