mirindimo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2009
- 821
- 1,343
Nina jazba sana kutokana na dharau zinazooneshwa wazi wazi katika fani ya computer science na IT nafikiri umefika mda sasa na hizi fani kue na standards zinazoelekeza viwango na utaalam na kusimamia kazi zote za IT/Computer science katika organizations!!!!!!! Ndio maana mnashuhudia website zenye interface MBOVU,hakuna standard maalumu inayosimamia hivi,pia mishahara ya watu wa IT mi BOVU,na wengi wanaishia kufanya kazi za kuinstall EFD huku wachache wakifaidika!!!!!!!!!!! na mengine mengi mabovu mnayaona,mnayasikia ! kama bodi hii ipo naomba nijulishwe,kama haipo hili jopo la wataalamu linasubiri nini the world changes very fast.ound: Nawasilisha hoja.