BMW X5

fogoh2

JF-Expert Member
Apr 13, 2017
5,023
5,001
Gari Aina ya BMW X5 inauzwa a gari ipo kwenye Hali nzuri ,inatumiwa na Mwanamke ,inauzwa kwa kuwa haitumiki Sana hivyo kukaa bila kutumika inaweza ikasababisha matatizo madogodogo .Bei ni milioni 23 tu maongezi yapo.
Kwa waliokuwepo seriously waje PM tuyajenge.
FB_IMG_15428104616071314.jpeg
FB_IMG_15428105296158244.jpeg
FB_IMG_15428104779704178.jpeg
FB_IMG_15428105063934443.jpeg
 
Kutumiwa na Mwanamke ina maana gani, anaendesha sebuleni kwenda chumbani tu.
Asante mkuu swali kumtu sana....kuna mama namfahamu yeye anafanya kazi bagamoyo analala dsm bunju ...gari yake kila siku inakanyaga mileage zaid ya sabini..sasa nahuyu atakapo uza watasema gari ya mama
 
Mara nyingi kinamama hawapo rafu kwenye udereva huwa wanaibembeleza Sana gari ,pia kupatapata ajali sio Mara kwa Mara
 
Mkuu mimi sio mteja ila kwa ushauri tu, hiyo bei unayouza haitofautiani sana na bei ya kuaiza hiyo gari Japan, kwa namba C ungeshusha bei.Gharama za kuagiza gari kama hiyo ukilipia kila kitu ni kuanzia Mil 25+
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom