blue scree

wakubwa naleta mezani matatizo mawili,lakwanza komputa nimeinstal antivirus ikascan baada yamuda ikarestart halafu inaonyesha blue screen haina chochote,pili nina simu yangu nadhani virus wameila kwasababu baadhi ya folder hazifanyi kazi mfano draft meseji,na simu haina uwezo wakuweka antivirus,nifanyeje?je nikiiformat niktaka kuinstall program upya nifanyeje?aina ni sony ericson p1i,Wakubwa ushauri wenu ni wamuhimu sn


kama nimekusoma blue screeen unayopata wewe haitio ujumbe wowote. hakuna itu am stop error. Yaani ni blank blue screen.

I
ebu jaribu kufuata maelezo haya mara inapotokea hiyo blank blue screen.
press CTRL+ALT+DEL and go to task manager, go to processes and select explorer.exe and press end process and again press CTRL+ALT+DEL and go to task manager click on new task and typ "explorer" (not the cotes) and click ok and check.
Kwa mujibu wa maelezo ya huyu mtaalam ni inaonekana explorer. exe kwenye mashine yako imecorrupt.

II
Alternatively google articles za kurepair explorer.exe maana bila hiyo process hakuna windows wala icon wala desktop wala folder

III
Vile vile microsoft wanasema hivi na kutoa dawa yao http://support.microsoft.com/kb/318027

- Unaweza kujaribu kulog kwa username nyingine kama ipo. kama tatizo ni explorer profile ya user mmoja then user mwingine hatakuwa na shida. The unaweza kucopy profile za user ambazo wako safi kwenye profile za user mwenye shida. Kwenye hiyo link ya microsoft wameleza

Good luck
 
Jamani wakuu ninapata error hii nitafanya computer ilikuwa on nilipokuja lig in ikawa kama ime stuck

nikai restart basi arror hiyo ndio inatokea msaada hapo

Non-system disk or disk error replace and strike any key when ready?
 
Back
Top Bottom