wakubwa naleta mezani matatizo mawili,lakwanza komputa nimeinstal antivirus ikascan baada yamuda ikarestart halafu inaonyesha blue screen haina chochote,pili nina simu yangu nadhani virus wameila kwasababu baadhi ya folder hazifanyi kazi mfano draft meseji,na simu haina uwezo wakuweka antivirus,nifanyeje?je nikiiformat niktaka kuinstall program upya nifanyeje?aina ni sony ericson p1i,Wakubwa ushauri wenu ni wamuhimu sn