Dada kama mmeo ametumia kigezo hicho itakuwa amekosea sana, ama may be hujamuelewa vyema maelezo yake. Mtoto siku zote anachukua genes toka kwa pande zote mbili za wazazi. Huyo wa kwanza itakuwa amematch na wazazi wote wawili ndio maana hana shaka.
Ila kwa kesi yako, hata kama mtoto angezaliwa na group AB ama O, sidhani kama ingekuwa ni sahihi, na angekuwa pia na wasiwasi ingawaje ndio group zenu wazazi.
Wewe hapo fuata ushauri wa watu8, na ikithibitika hivyo, may be wewe na familia yako mnaweza kuwa case study/reference kwa vizazi vijavyo.
ntaufuata huo ushauri mkuu asenten wote