King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 51,678
- 68,653
Baabababaaa ,baba huyoooo baba baba huyooo babaaa!
wakati tukiendelea kupokea na kung'amua vitendo mbalimbali vya ufisadi vilivyofanywa na mapacha wawili wa wizara ya afya (blandina nyoni na dr deo mtasiwa), habari nilizozinyaka leo kutoka kwa watumishi watatu na baadae nikadhibitishiwa na mkuu wa idara mmoja ambae yupo wizara ya afya, zinasema katibu mkuu na mganga mkuu wa serikali waliosimamishwa kazi na waziri mkuu, mizengo pinda bado wapo kazini na hata leo wamekuwepo ofisini.
Habari zinasema kuwa wamekuwa katika heka heka za kuweka sawa nyaraka zao vizuri hasa zile zinahusu manunuzi. Concern yetu hapa ni kwamba imekuwaje pinda ameweza kuwadanganya madaktari kuwa mahasimu wao wakuu bi blandina nyoni na dr deo mtasiwa amewasimamisha kazi tangu mchana wa alhamisi ya tarehe 09/02/2010 wakati bado wameendelea kwenda ofisini hadi leo?
Hofu inayoibuka hapa ni kwamba kama wataendelea kwenda ofisini wakati tayari wamesimamishwa kazi na waziri mkuu katangaza kuwa wanachunguzwa na vyombo vya dola, je hawawezi kutumia mwanya huu kupika au/na kupoteza nyaraka za serikali ambazo zingesaidia katika ushahidi? Na je waziri mkuu mizengo pinda, anamdanganya nani kwamba blandana nyoni na deo mtasiwa wamesimamshwa wakati bado wanaenda ofisini tena kwa kutumia v8 za serikali?
Kama bado wako kazini basi hiyo ni kinyume na makubaliano na madaktari. Nashauri madaktari waendeleze mgomo wao waliositisha.
Wakati tukiendelea kupokea na kung'amua vitendo mbalimbali vya ufisadi vilivyofanywa na Mapacha wawili wa Wizara ya Afya (Blandina Nyoni na Dr Deo Mtasiwa), habari nilizozinyaka leo kutoka kwa watumishi watatu na baadae nikadhibitishiwa na Mkuu wa Idara mmoja ambae yupo Wizara ya Afya, zinasema Katibu Mkuu na Mganga Mkuu wa Serikali waliosimamishwa kazi na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda bado wapo kazini na hata leo wamekuwepo Ofisini.
Habari zinasema kuwa wamekuwa katika heka heka za kuweka sawa nyaraka zao vizuri hasa zile zinahusu Manunuzi. Concern yetu hapa ni kwamba imekuwaje Pinda ameweza kuwadanganya Madaktari kuwa mahasimu wao wakuu Bi Blandina Nyoni na Dr Deo Mtasiwa amewasimamisha kazi tangu mchana wa Alhamisi ya tarehe 09/02/2010 wakati bado wameendelea kwenda ofisini hadi leo?
Hofu inayoibuka hapa ni kwamba kama wataendelea kwenda ofisini wakati tayari wamesimamishwa kazi na Waziri Mkuu katangaza kuwa wanachunguzwa na vyombo vya dola, Je hawawezi kutumia mwanya huu kupika au/na kupoteza nyaraka za serikali ambazo zingesaidia katika ushahidi? Na je Waziri Mkuu Mizengo Pinda, anamdanganya nani kwamba Blandana Nyoni na Deo Mtasiwa wamesimamshwa wakati bado wanaenda ofisini tena kwa kutumia V8 za serikali?[/QUOTE
Sasa ww ulitaka waende wapi? kwani unawafuatafuata walikufanya nn Mkuu? maana huu ni uzi wa pili sasa umefungua. Kwani ata wakienda Wizarani ww kina kuuma nn? kama nilivyokwambia katika ule uzi wako wa tuhuma za majungu kuwa wameshakugundua na dawa yako inachemka kwa ajili ya majungu ambayo umeyaanzisha, wametumwa waendelee na kazi ili kuja kuwatafuta wale wote waliosambaza majungu kutokea Wizarani (Inner circle), safari hii hamtaamishwa kupelekwa Milembe, nadhani kinachofuata unakijua. Sijui ulipoanza kazi pale Wizarani walikufanyia VETTING na kama ni ndio, unajua kitakachokupata. "Majungu si Mtaji"
Wewe Karata usitishe watu hapa, inaonekana wewe ni mpambe nuksi wa Blandina na bado huamini kama ametoka, shauri yako. Sisi tunaendelea kumwaga vitu tu na wala hatuogopi vitisho vyako vya sijui vetting
Wakati tukiendelea kupokea na kung'amua vitendo mbalimbali vya ufisadi vilivyofanywa na Mapacha wawili wa Wizara ya Afya (Blandina Nyoni na Dr Deo Mtasiwa), habari nilizozinyaka leo kutoka kwa watumishi watatu na baadae nikadhibitishiwa na Mkuu wa Idara mmoja ambae yupo Wizara ya Afya, zinasema Katibu Mkuu na Mganga Mkuu wa Serikali waliosimamishwa kazi na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda bado wapo kazini na hata leo wamekuwepo Ofisini.
Habari zinasema kuwa wamekuwa katika heka heka za kuweka sawa nyaraka zao vizuri hasa zile zinahusu Manunuzi. Concern yetu hapa ni kwamba imekuwaje Pinda ameweza kuwadanganya Madaktari kuwa mahasimu wao wakuu Bi Blandina Nyoni na Dr Deo Mtasiwa amewasimamisha kazi tangu mchana wa Alhamisi ya tarehe 09/02/2010 wakati bado wameendelea kwenda ofisini hadi leo?
Hofu inayoibuka hapa ni kwamba kama wataendelea kwenda ofisini wakati tayari wamesimamishwa kazi na Waziri Mkuu katangaza kuwa wanachunguzwa na vyombo vya dola, Je hawawezi kutumia mwanya huu kupika au/na kupoteza nyaraka za serikali ambazo zingesaidia katika ushahidi? Na je Waziri Mkuu Mizengo Pinda, anamdanganya nani kwamba Blandana Nyoni na Deo Mtasiwa wamesimamshwa wakati bado wanaenda ofisini tena kwa kutumia V8 za serikali?
Achana nae huyo! Haijui JF vizuri! Uchunguzi dhidi ya hawa watumishi umeshaanza wakuu msihofu kabisa! Huwa hatumwamini J.K lakini this tym anafanya kweli! Hachomoki mtu!Wewe Karata usitishe watu hapa, inaonekana wewe ni mpambe nuksi wa Blandina na bado huamini kama ametoka, shauri yako. Sisi tunaendelea kumwaga vitu tu na wala hatuogopi vitisho vyako vya sijui vetting
Docta usijali endeleeni kutupa tiba bana! Upande wa malipo yenu sijui lakini mpaka sasa taarifa nilizonazo ni kuwa uchunguzi umeshaanza na unatikisa haswa! Nafikiri this tym J.K anafirigisa mtu!!Madaktari tunakutana tarehe 3/3/2012 kutathmini utekelezwaji wa ahadi za serikali, hii inajumuisha hatua zilizochukuliwa dhidi ya watendaji hao wakuu wa serikali...this time sitashauri tugome, kwani wanateseka waTanzania wasio na hatia ambao ni mama/baba zetu, bibi/babu zetu, dada/kaka zetu, wanetu, rafiki na majirani zetu...na hawa jamaa (serikali) hawajali kabisaaaa! This time nitashauri tuandamane na kuomba support ya wananchi na wanaharakati twende magogoni! Kama kutuua watatuua sisi kabla ya kufika hapo magogoni...
Wakati tukiendelea kupokea na kung'amua vitendo mbalimbali vya ufisadi vilivyofanywa na Mapacha wawili wa Wizara ya Afya (Blandina Nyoni na Dr Deo Mtasiwa), habari nilizozinyaka leo kutoka kwa watumishi watatu na baadae nikadhibitishiwa na Mkuu wa Idara mmoja ambae yupo Wizara ya Afya, zinasema Katibu Mkuu na Mganga Mkuu wa Serikali waliosimamishwa kazi na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda bado wapo kazini na hata leo wamekuwepo Ofisini.
Habari zinasema kuwa wamekuwa katika heka heka za kuweka sawa nyaraka zao vizuri hasa zile zinahusu Manunuzi. Concern yetu hapa ni kwamba imekuwaje Pinda ameweza kuwadanganya Madaktari kuwa mahasimu wao wakuu Bi Blandina Nyoni na Dr Deo Mtasiwa amewasimamisha kazi tangu mchana wa Alhamisi ya tarehe 09/02/2010 wakati bado wameendelea kwenda ofisini hadi leo?
Hofu inayoibuka hapa ni kwamba kama wataendelea kwenda ofisini wakati tayari wamesimamishwa kazi na Waziri Mkuu katangaza kuwa wanachunguzwa na vyombo vya dola, Je hawawezi kutumia mwanya huu kupika au/na kupoteza nyaraka za serikali ambazo zingesaidia katika ushahidi? Na je Waziri Mkuu Mizengo Pinda, anamdanganya nani kwamba Blandana Nyoni na Deo Mtasiwa wamesimamshwa wakati bado wanaenda ofisini tena kwa kutumia V8 za serikali?[/QUOTE
Sasa ww ulitaka waende wapi? kwani unawafuatafuata walikufanya nn Mkuu? maana huu ni uzi wa pili sasa umefungua. Kwani ata wakienda Wizarani ww kina kuuma nn? kama nilivyokwambia katika ule uzi wako wa tuhuma za majungu kuwa wameshakugundua na dawa yako inachemka kwa ajili ya majungu ambayo umeyaanzisha, wametumwa waendelee na kazi ili kuja kuwatafuta wale wote waliosambaza majungu kutokea Wizarani (Inner circle), safari hii hamtaamishwa kupelekwa Milembe, nadhani kinachofuata unakijua. Sijui ulipoanza kazi pale Wizarani walikufanyia VETTING na kama ni ndio, unajua kitakachokupata. "Majungu si Mtaji"
ACHA KUWATISHA WAZALENDO,ISSUE HAPO SIYO MAJUNGU,MIMI NILIDHANI UTATUAMBIA KWAMBA MAELEZO YAKE NI YA UONGO KUMBE UNALAZIMISHA YAONEKANE NI MAJUNGU TU!!
WAPO WATU WAADILIFU KATIKA OFISI ZA UMMA AMBAO HUSAIDIA HUPATIKANAJI WA TAARIFA ZA UFISADI KAMA HIZI NA MPO WACHUMIA TUMBO KAMA WEWE AMBAO MTAFANYA LOLOTE ILI KUWAKINGIA KIFUA MAFEDHULI WENZIO!!
Hapo sasa Mkuu NDIPO UTAKAPO ONA serikali yako ya wasanii, kweli hatuna serikali serious, watu wanafanya utani wanaona wenzao ni mbumbu wao ndio wajuaji!!!! Kama hayo ni kweli basi Tanzania tumekwisha!!!! Huo uchunguzi utafanyika lini Mzee Pinda????Wakati tukiendelea kupokea na kung'amua vitendo mbalimbali vya ufisadi vilivyofanywa na Mapacha wawili wa Wizara ya Afya (Blandina Nyoni na Dr Deo Mtasiwa), habari nilizozinyaka leo kutoka kwa watumishi watatu na baadae nikadhibitishiwa na Mkuu wa Idara mmoja ambae yupo Wizara ya Afya, zinasema Katibu Mkuu na Mganga Mkuu wa Serikali waliosimamishwa kazi na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda bado wapo kazini na hata leo wamekuwepo Ofisini.
Habari zinasema kuwa wamekuwa katika heka heka za kuweka sawa nyaraka zao vizuri hasa zile zinahusu Manunuzi. Concern yetu hapa ni kwamba imekuwaje Pinda ameweza kuwadanganya Madaktari kuwa mahasimu wao wakuu Bi Blandina Nyoni na Dr Deo Mtasiwa amewasimamisha kazi tangu mchana wa Alhamisi ya tarehe 09/02/2010 wakati bado wameendelea kwenda ofisini hadi leo?
Hofu inayoibuka hapa ni kwamba kama wataendelea kwenda ofisini wakati tayari wamesimamishwa kazi na Waziri Mkuu katangaza kuwa wanachunguzwa na vyombo vya dola, Je hawawezi kutumia mwanya huu kupika au/na kupoteza nyaraka za serikali ambazo zingesaidia katika ushahidi? Na je Waziri Mkuu Mizengo Pinda, anamdanganya nani kwamba Blandana Nyoni na Deo Mtasiwa wamesimamshwa wakati bado wanaenda ofisini tena kwa kutumia V8 za serikali?
Wanakabidhi ofisi wakae peke yao ndani ya hizo ofisi na kuna uchunguzi, ili waharibu ushahidi nini, waendelee kukaa ofisini kuweka mambo sawa, hiyo ni nini uhuni????Wacha kufanya wenzenu mataahira bwana huo ni ******!!!!Mambo ya serikali ni endelevu, hata mtu akisimamishwa kazi ofisi lazima ifanyekazi hivyo kama wanakwenda ni kwenda kukabidhi ofisi kwa wengine watakaochukua nafasi zao!!