Jamani Blackberry Storm 9500 yangu kila nikicharge haingizi charge yoyote inabaki kuwaka kwenye LED red tu,mwanzoni nilifikiri huenda betri imeisha ikabidi ninunue mpya na kuweka nikajaribu kuicharge matokeo ni kuona kitaa chekundu kikiwaka lakini hakuna charge,kwa hiyo imezimika kabisa,pia naomba kama kuna mtaalamu wa ku-unlock kwani huko juu ilikuwa imesajiliwa na Vodafone na hapa bongo nikitaka kutumia internate BIS ni Vodacom pekee ambako inafanya kazi lakini mimi ningependa niitumie internate kwa kutumia Zain,kwa hali ilivyo nashindwa kujiunganisha na Zaina kwenye BIS ,lakini kwa huduma ya kupiga simu ah kote mambo ni mswano(safi)
Tafadhali kwa anayeweza aniandikia na gharama kwa mfano kucheck kabla ya matengenezo,na gharama ya ku- unlock.
Asanteni ningependa gharama ziwe kwa Tsh sababu nipo bongo bana
Tafadhali kwa anayeweza aniandikia na gharama kwa mfano kucheck kabla ya matengenezo,na gharama ya ku- unlock.
Asanteni ningependa gharama ziwe kwa Tsh sababu nipo bongo bana