vodafone blackberry storm 9500 for sale

Kweli

JF-Expert Member
Jul 14, 2007
1,152
302
Ninauza Blackberry storm 9500 vodafone kutoka UK, imeshatumika, nimeitumia hivi karibuni nilipokuja likizo Bongo lakini bado iko katika hali nzuri, bei ni shs 350.000 tu. Ni simu na charger tu hakuna Box wala accessories.
Kama unahitaji unaweza kuwasiliana nami kwa njia ya PM ama piga simu 0773168728.
 
Kuna yule bwana anayeona shida kupress herufi Z kwenye

simu yake wakati wa kuandika sms (maana anaona uvivu kugonga mara 4 ili

kuipata Z), HAYA SASA SIMU HIYO HAPO, kitu soft touch...

ha ha haaa!..
 
Kaka naihitaji hiyo mimi..reach me through 0764890980.niwahi kabla sijamaliza mshahara.asante
 
Back
Top Bottom