Salama wakuu,
yeyote mwenye ujanja anijuze,natumiaje bb network ku connect kwenye laptop au pc?kuna njia yeyote ile?naomba kujuzwa either kwa bluetooth au njia yeyote ile.
Natamguliza shukurani
Download Blackberry desktop manager inayo hiyo featurs tayari. Then just put APN ya network husika,baada ya hapo unaanza kusurf.Ucsahau kununua Bundles
Kama uko na CD ya iyo BB install kwa laptop au PC then kwa homepage downleft itakuonesha sehemu ya kuconnect.
Its simple like eating wali mpya no struggle in chewing
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.