Black and White - Hukumu ya Nguza Vicking (BABU SEA) na Wanawe

Nimejaribu kuisoma hii doc.kwa ushahidi uliotolewa na hawa watoto ni vigumu upande wa utetezi kusema lolote linalokinzana nao.hapa mi nadhani ni mambo ya ushirikina hamna lolote

Hata mimi baada ya kuwaza sana nimefikia conclusion hii hii, nadhani ni kama ilivyo kwa maalbino, ni kutokana na imani potofu kwa baadhi ya wajingawajinga kama hawa kuwa wanapata kinga fulani ama kuzidisha bahati kwa kufanya vitendo vichafu na watoto wadogo.
Nafikiri hivi vitendo viko vingi katika jamii yetu ila vimejificha kwa vile tofauti na mauaji ya Albino, inawia vigumu kuwagundua kirahisi kwa vile wazazi wengi hawako makini kuwaangalia watoto wao na zaidi huko vijijini.
Labda Vyombo vya habari vianzishe kampeni ya kuwaamsha wazazi juu ya hili tatizo.
 
WOS,
mm baada ya kusoma, hasira zangu,baada ya kufuta machozi, nilifuta nyimbo zooote za nguza na wanawe katika laptop yangu, na CDs zoote tupa tupa...aaagh, mtu mzima kumbe alikuwa hana adabu.
then, ombi..WOS, tupatie na ile ya kwenye rufani PLZ.

Many thanks....naungana na wewe katika hili.....sitaki kusikia any story that will remind me of Babu Seya et al .....aargh......taenda iringa nika''jimkwawa'' kabisa...!
 
WOS,

Kumbe unaweza kazi ya ka inzi eeeeh! Ngoja tuikalie kitako.....then will be back to comment!

Wandugu imenichukua like six clean hours kuisoma vizuri kabisa hii document, na nilitaka nipate muda wa kutosha kufanya hivyo ili angalau nipate kuelewa zaidi ya kilichokuwa kinaendelea pale 607 kati ya victims na Babu Seya and others!

Kwa bahati nzuri, japokuwa mimi si mwanasheria nimeelewa vizuri sana hii judgement kiasi cha kuhama upande kutoka ''DW'' to ''PW''!

Nafikiri wengi wetu kipindi kile uchaguzi wa kuegemea upande wa Babu Seya ulitokana sana na ushabiki wa kimuziki zaidi kuliko facts za kilichotokea pale 607, wengi wetu tulikuwa hatumjui Babu Seya et al kuhusu in and out ya maisha yake zaidi ya kuwaona kny Luninga hasa pale walipotoa kibao cha Seya.....hapo walitukamata wengi sana!

Nikija kwenye judgement yenyewe, kwa tuliosoma hii kitu yote mtagundua kuwa sirahisi kufabricate story hii kwa kweli kwa sababu kwanza umri wa watoto wale ni mdogo sana kuwatengezea story then waireproduce tena kwa kuhojiwa na prosecutor...si kitu rahisi vile.....! Pili maelezo ya accussed yalikuwa yanajichanganya sana....hasa kuhusu scene 607, Albert, Elombee, bibi (mama yake Babu Seya) na mtoto....pale ambapo hawa watu wanaelezwa pamechanganywa sana! Tatu, babu seya na accussed wengine wanakiri wenyewe kuwa hawanabifu na mkubwa yeyote, wala polisi na tena Babu seya anasema hakuwahi kutembea na mke wa prosecutor yeyote na kwanza uume wake hauerect vizuri.....so hii inrule out issue ya kisasi, zaidi ya hayo wanakiri kuwa askari aliyewapekua alikuwa ''mstaarabu tu''...kama tulivyoaminishwa kabla! Nne watoto wale wote kuanzia Aza, Gift, Rehema, Asia etc walitoa ushahidi wa set ya chumba cha mauaji....kwamba kulikuwa na wadrobe, droo (ya pesa), bed, godoro.....(godoro moja kitandani na lingine limeegeshwa ukutani), pia kuta zote zilikuwa zimening'inizwa suits.....! na kwamba baada ya kumaliza kufanya ufirauni ule (hopeful mkupuo mmoja), walioshwa....na kabla ya kuvaa nguo zao waliogeshwa!

Jambo lingine ni kuwa oneday wakiwa (Gift and others) chumbani walivurumishwa na anayesadikiwa kuwa mpenzi wake na Papii Kocha...Maryam, akawatandika watoto wale na mianzi......!

Ukija kny vipimo vilivyofanywa na Dr. Petronila...utakuta diagnosis kwa kila mmoja ilikuwa either anus and vigina sexed au anus perforated au vigina with discharge au sphincter muscles lax etc......yaani shida tupu!

Defense advocate wao Nyange utetezi wake ulishindwa nguvu vibaya na evidence zilizoletwa pale na upande wa prosecutors isipokuwa kwa accussed namba tano....ambaye ni mwalimu pale Mashujaa na ndiye pekee aliyekuwa arquited kny kesi hii!

So my conclusion na msimamo wangu Babu Seya and CO walistahili ile hukumu...they molested, sodomised, brutalised, raped....etc the kids....Mimi ningekuwa ni hakimu....ningeamuru kukatwa their private parts kwanza kabla ya kuanza kutumikia jela ya maisha.....na pia mali zao zote walizochuma kipindi kile zitaifishwe na zitumike kuwatunza wale watoto walioharibikiwa sana kisaikolojia.....!

Na sijui mimi ningekuwa mzazi wa wale watoto ningefanyaje.....ngoja nisiseme tu...ila poleni sana wazazi wa watoto wale....uchungu wa mwana aujua mzazi kwa kweli!

Wakati nasoma ile document nilikuwa nakaangalia kabinti kangu ka 3yrs na kukaonea huruma sana...! nilikuwa nafikiri mambo ambayo katakumbana nayo in my absence wakati kapo na strangers huko shule, dukani, kisimani,kwa bibi yake, kny michezo yao, etc! Nikaona changamoto kubwa niliyonayo kukalinda kwa nguvu zote na kukapa uhuru wa kuniambia kila kitu hata hata huko nje wakatishie vipi nikajengee confidence ya kujakusema tu...vinginevyo kanaweza kakanifanya ''nikajimkwawa'' bure!

Pia nikawa nafikiria kina dada wazuri, warembo waliojazaa kutoka pande za Africa Sana...Ambience, Kilitime, Maeda, Club Bistro, mpaka kule kati Ohio, Jolly, Mgomeni kwa macheni mpaka kule kanda ya kati Uwanja wa fisi....mpaka kule Achimwene, Sewa, Kimboka ,Rosana pale Buguruni.... ambao miili yao iko anytime ready kwa ajili ya midudu ya aina ya Babu Seya, wako tayari hata tu wakinunuliwa bia moja...wako tayari hata kuwageuza kama kumla samaki, wanasali mchana kutwa wakiomba mijitu kama Babu Seya ijitokeze wawamegee uroda uliotukuka....lakini wapi, wao mbio na mijasho yao ya muziki kuvikandamiza vimalaika vya Mungu bila hata chembe ya huruma.....unyama gani ule jamani! Wote ni wadhambi lakini kwa hili hapana tutatoa kibanzi hiki japo kuwa kwetu kuna maboriti....potelea mbali!

Again thanks WOS kwa kuleta hii kitu hapa...umenihamisha kambi...na kuniongezea challenge ya kukalinda kabinti kangu!
 
Mkuu nilipoisoma, tulikuwa tuna exchange news na watoto wangu, nikawaambia tu kuwa kadri Mungu atakavyowajalia (mmoja ameshajaliwa a son) hasa wajukuu wa kike, kama watasafiri wazazi wote na kuwaacha watoto nitaomba waniletee wajukuuu wangu nikae nao mpaka wazazi wao warudi. Yaani ndiyo maana wakati mwingine unakuwa una kibali cha ku-own silaha halafu unaitumia visivyo, ni kama vile nikutane na babu Seya amemfanyia mjukuu au binti yangu unyama ule, ungekuta mimi ndiyo natumikia kifo cha maisha au kunyongwa kabisa. Thanks mama Eddy Layamuya.
 
Mkuu nilipoisoma, tulikuwa tuna exchange news na watoto wangu, nikawaambia tu kuwa kadri Mungu atakavyowajalia (mmoja ameshajaliwa a son) hasa wajukuu wa kike, kama watasafiri wazazi wote na kuwaacha watoto nitaomba waniletee wajukuuu wangu nikae nao mpaka wazazi wao warudi.

Mkuu wangu maane....this is the best hawa malaika wa Mungu can expect from you....vinginevyo hivi vichanga huwa vinakumbana na mengi havisemi tu!

Yaani ndiyo maana wakati mwingine unakuwa una kibali cha ku-own silaha halafu unaitumia visivyo, ni kama vile nikutane na babu Seya amemfanyia mjukuu au binti yangu unyama ule, ungekuta mimi ndiyo natumikia kifo cha maisha au kunyongwa kabisa. Thanks mama Eddy Layamuya.

Mi na uhehe wangu wala wasingepata shida...mshale tu ungetosha kuwashughulikia hao ''BOBU'' seya et al then jela ngejipeleka mwenyewe...nikaozee huko!

Ama kweli Mungu hagawi vipawa vyote.....vinginevyo ningekuwa hakimu....sijui kwa kweli!
 
Mkuu wangu maane....this is the best hawa malaika wa Mungu can expect from you....vinginevyo hivi vichanga huwa vinakumbana na mengi havisemi tu!

Mi na uhehe wangu wala wasingepata shida...mshale tu ungetosha kuwashughulikia hao ''BOBU'' seya et al then jela ngejipeleka mwenyewe...nikaozee huko!

Ama kweli Mungu hagawi vipawa vyote.....vinginevyo ningekuwa hakimu....sijui kwa kweli!

Mkuu NL, ningekuwa hakimu ningeomba wanipe special cases za kubaka, kulawiti, ujambazi ule hasa na kwa sasa mafisadi, haki za watoto na akina mama. Ni vilio, ningekuwa sitizami mtu machoni, nitavaa sun-glasses!!!
 
Belinda,

Umesema kweli. Watu wa aina ya Babu Seya wako wengi mitaani na wengi unakuta ni imani za kishirikina kwani haiingii akilini mtu mzima unapata starehe gani kufanya mapenzi na mtoto wa miaka sita? Ni kufuata nguvu za giza tu huko. Na tena you can imagine Baba anathubutu kuvua nguo mbele ya watoto wake mwenyewe na kushiriki nao kufanya kitendo kile kwa watoto. I am 100% conviced kwamba walikuwa wanajaribu kutekeleza matakwa ya nguvu za giza.

Je wana JF tunalo lolote la kujifunza kutokana na kesi hii? Kwa upande wangu inanikumbusha wajibu tulio nao wazazi wa kuhakikisha kwamba we protect our kids wajibu ambao wazazi wengi wameusahau. No wonder mzazi yuko ndani ya nyumba lakini mtoto hayupo na ni usiku wa saa mbili but nobody cares kuuliza mtoto yuko wapi. Mtoto anafungua mlango na kutoka bila kuaga anakwenda wapi na mzazi unaona ni sawa!!!

Tujenge utamaduni wa ku-protect watoto wetu kwa nguvu zote ili kuepuka ujinga kama huu kuwapata watoto wetu.

Tiba

Ni kweli kabisa hii kesi ya babu seya imetupa fundisho pia maana kuna umuhimu sana kuwaangalia watoto wadogo katika mazingira ya nyumbani.
Mtoto anaweza kuwa anafanyiwa vitendo viovu hasemi wala nini na mzazi huna habari.
Inauma sana kusikia watoto wanafanyiwa vitu hivi, tuwe macho na makini na watoto. Wengine hata wafanyakazi wa ndani wanaharibu watoto!!
As for kina babu seya, wafurahie tu maisha ya jela maana uraiani wameharibu watoto na wanastahili hiyo adhabu.
 
Wandugu imenichukua like six clean hours kuisoma vizuri kabisa hii document, na nilitaka nipate muda wa kutosha kufanya hivyo ili angalau nipate kuelewa zaidi ya kilichokuwa kinaendelea pale 607 kati ya victims na Babu Seya and others!

Kwa bahati nzuri, japokuwa mimi si mwanasheria nimeelewa vizuri sana hii judgement kiasi cha kuhama upande kutoka ''DW'' to ''PW''!

Nafikiri wengi wetu kipindi kile uchaguzi wa kuegemea upande wa Babu Seya ulitokana sana na ushabiki wa kimuziki zaidi kuliko facts za kilichotokea pale 607, wengi wetu tulikuwa hatumjui Babu Seya et al kuhusu in and out ya maisha yake zaidi ya kuwaona kny Luninga hasa pale walipotoa kibao cha Seya.....hapo walitukamata wengi sana!

Nikija kwenye judgement yenyewe, kwa tuliosoma hii kitu yote mtagundua kuwa sirahisi kufabricate story hii kwa kweli kwa sababu kwanza umri wa watoto wale ni mdogo sana kuwatengezea story then waireproduce tena kwa kuhojiwa na prosecutor...si kitu rahisi vile.....! Pili maelezo ya accussed yalikuwa yanajichanganya sana....hasa kuhusu scene 607, Albert, Elombee, bibi (mama yake Babu Seya) na mtoto....pale ambapo hawa watu wanaelezwa pamechanganywa sana! Tatu, babu seya na accussed wengine wanakiri wenyewe kuwa hawanabifu na mkubwa yeyote, wala polisi na tena Babu seya anasema hakuwahi kutembea na mke wa prosecutor yeyote na kwanza uume wake hauerect vizuri.....so hii inrule out issue ya kisasi, zaidi ya hayo wanakiri kuwa askari aliyewapekua alikuwa ''mstaarabu tu''...kama tulivyoaminishwa kabla! Nne watoto wale wote kuanzia Aza, Gift, Rehema, Asia etc walitoa ushahidi wa set ya chumba cha mauaji....kwamba kulikuwa na wadrobe, droo (ya pesa), bed, godoro.....(godoro moja kitandani na lingine limeegeshwa ukutani), pia kuta zote zilikuwa zimening'inizwa suits.....! na kwamba baada ya kumaliza kufanya ufirauni ule (hopeful mkupuo mmoja), walioshwa....na kabla ya kuvaa nguo zao waliogeshwa!

Jambo lingine ni kuwa oneday wakiwa (Gift and others) chumbani walivurumishwa na anayesadikiwa kuwa mpenzi wake na Papii Kocha...Maryam, akawatandika watoto wale na mianzi......!

Ukija kny vipimo vilivyofanywa na Dr. Petronila...utakuta diagnosis kwa kila mmoja ilikuwa either anus and vigina sexed au anus perforated au vigina with discharge au sphincter muscles lax etc......yaani shida tupu!

Defense advocate wao Nyange utetezi wake ulishindwa nguvu vibaya na evidence zilizoletwa pale na upande wa prosecutors isipokuwa kwa accussed namba tano....ambaye ni mwalimu pale Mashujaa na ndiye pekee aliyekuwa arquited kny kesi hii!

So my conclusion na msimamo wangu Babu Seya and CO walistahili ile hukumu...they molested, sodomised, brutalised, raped....etc the kids....Mimi ningekuwa ni hakimu....ningeamuru kukatwa their private parts kwanza kabla ya kuanza kutumikia jela ya maisha.....na pia mali zao zote walizochuma kipindi kile zitaifishwe na zitumike kuwatunza wale watoto walioharibikiwa sana kisaikolojia.....!

Na sijui mimi ningekuwa mzazi wa wale watoto ningefanyaje.....ngoja nisiseme tu...ila poleni sana wazazi wa watoto wale....uchungu wa mwana aujua mzazi kwa kweli!

Wakati nasoma ile document nilikuwa nakaangalia kabinti kangu ka 3yrs na kukaonea huruma sana...! nilikuwa nafikiri mambo ambayo katakumbana nayo in my absence wakati kapo na strangers huko shule, dukani, kisimani,kwa bibi yake, kny michezo yao, etc! Nikaona changamoto kubwa niliyonayo kukalinda kwa nguvu zote na kukapa uhuru wa kuniambia kila kitu hata hata huko nje wakatishie vipi nikajengee confidence ya kujakusema tu...vinginevyo kanaweza kakanifanya ''nikajimkwawa'' bure!

Pia nikawa nafikiria kina dada wazuri, warembo waliojazaa kutoka pande za Africa Sana...Ambience, Kilitime, Maeda, Club Bistro, mpaka kule kati Ohio, Jolly, Mgomeni kwa macheni mpaka kule kanda ya kati Uwanja wa fisi....mpaka kule Achimwene, Sewa, Kimboka ,Rosana pale Buguruni.... ambao miili yao iko anytime ready kwa ajili ya midudu ya aina ya Babu Seya, wako tayari hata tu wakinunuliwa bia moja...wako tayari hata kuwageuza kama kumla samaki, wanasali mchana kutwa wakiomba mijitu kama Babu Seya ijitokeze wawamegee uroda uliotukuka....lakini wapi, wao mbio na mijasho yao ya muziki kuvikandamiza vimalaika vya Mungu bila hata chembe ya huruma.....unyama gani ule jamani! Wote ni wadhambi lakini kwa hili hapana tutatoa kibanzi hiki japo kuwa kwetu kuna maboriti....potelea mbali!

Again thanks WOS kwa kuleta hii kitu hapa...umenihamisha kambi...na kuniongezea challenge ya kukalinda kabinti kangu!

Mkuu NL ahsante sana angalau wewe umeweza kumalizia kuisoma, mimi mwenzio kwa siku ya 6 sasa kila nikiisoma naishia njiani, adrenaline pumped up, ndipo nathibitisha kuwa watu wa sheria wana kazi nzito!! kuisikiliza hii in details? no no no thats too much, I can't stop crying ingawa mimi ni dume na simwagi michozi kirahisi hivyo! this is too deep son! Too much to take!! I can't comprehend why it has happened?.
Many thanks to WoS for bringing this out, it might help in raising the awareness in our community on this herrendous type of crime happening right under our noses.
 
Last edited:

Kweli,

Ukija imaliza kuisoma hiyo kitu.....usishangae adrenaline ikawapumped up sana ukapata hata kichaa.....kule mwishoni kuna maneno yanakera we acha tu!

Nakubaliana na wewe kwamba lawyers kwa kweli have hearts, yaani kukaa na kusikiliza haya maudhi kwa kweli nawapongeza sana......ila ambacho sielewi where do the defense lawyers get heart to do that in this circumstances?.....wanawezaje kuwatetea watuhumiwa wa aina hii tena publicly vile....?

Lord have mercy!
 
hehehe na wewe mbona umemtelekeza mzazi mwenzio kule kwenye thread yako. Au umesahau Yo Yo aje akukumbushe?

Fidel80 Nakushukuru sana kwa kuwakilisha mawazo yangu kwa Geof,maana hata mimi pia nilikua na mpango wa kumwuliza swali hilo.
 
wapendwa nimejaribu kudownload inagoma,natamani sana kuisoma ili nami nitoe mchango.
 
nimefanya skimming lakini kwa kweli hawa akina nguza ni MAFIRAUNI!!!!
wanafanya mambo ambayo ni machafu na hatari kwa mustakabali wa watoto wetu..
heshima kwa MAHAKAMA yetu kwa kutekeleza haki inayoonekena kwani hakimu uamuzi wake ulikuwa makini sanaaa..

sasa zile porojo mtaani ohh walitembea na demu wa kigogo mara hili ni uzushi wa kutupofusha hili haya maovu tuyaone hayapo bali yanatengenezwaaaaa...

mama lyamuya nimegundua wanaokusema vibaya ni mafisadi wa HAKI na kamwe usitishike kwani utumishi wako umetukukaaaa....

tujiangalie tusianguke kwani maovu haya ni mengi mtaani na yatubidi kuwa makini na macho zaidi kuyafumbua na kuhakikisha haki inatendeka ili yakomeeee...

siku zote watenda maovu si wakulaumiwa ila WALE WANAOONGALIA YAKITENDEKA NA KUKAAA KIMYAAA...kazi ipoo na tuifanyeee.
 
oooh kaonewa, ni fitina nk nk nk nk ......

kumbe alifanya.unajua hata hiyo hukumu haitoshi, wangenyongwa tuu.

maana bado wapo wanaishi hawa japo wako jela.

NB: kwa nini hawakutumia kiswahili kuandika hii doc? anyway mambo ya kisheria!!!
 
WoS nakuvulia kofia mama. Kudos

Hongera san ana aksante pia kusema kweli mimi ni mmojawapo wa wale waliokuwa wakiamini kuwa kesi hii ni ya kupanga na katu haina ukweli wowote. Imani yangu hii haikuwa ikichangiwa na maneno yoyote ya mtaani wala nini ila tu kwangu iliniwia vigumu kuamini kuwa Binadamu anaweza kuwa mnyama mshenzi naona hii. Ila sasa nimeamini binadamu ni kiumbe cha kuogofya sana. Dont underestimate him/her.
 
Nimeisoma kwa makini hii hukumu lakini bado najiuliza: hivi katika watoto wote hao 10 hakuna hata mmoja aliyepatiakana na shahawa zikapimwa hospitali na zikalinganishwa na za wastakiwa? Pamoja na kwamba walikuwa wanaoshwa kama walivyodai lazima kuna vijishahawa vingebaki. Kuna ushahidi wa mlezi wa mtoto mmoja alisema alimuona mtoto wake anatoka shahawa baada ya kumchunguza je daktari alipopima hakugundua hilo or what happened?
Nikiangalia wenzetu nchi walizoendelea wanavyofanya uchunguzi mpaka mtu anashtakiwa, bado nakuwa na mashaka kama kwenye nchi zetu huwa tunaproove cases beyond reasonable doubts, especially hii kesi ya babu seya. I still doubt, God forgive me if i'm wrong.
 
Maoni yangu kama mzazi pia na mwanaadam ambae angependa kuona haki inatendeka; kitendo walichofanyiwa hawa watoto (assuming kwamba facts are real and there are no fabrications) ni cha KINYAMA na kinastahili kupingwa kwa nguvu zote. Nafikiria mlio na watoto kama mimi mnajua that upendo na bond ambayo mzazi anakuwa nayo kwa mwanae. Whether ni Babu Seya na wanae waliokifanya ama whoever, hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kukubaliana na unyama huu.

On the other hand, as a nikiongea kama mtu mwenye upeo na sheria (a lawyer in that matter), hii kesi imeacha maswali mengi 'proffessionally' kuliko majibu. Inawezekana wakawa kina Nguza ndio wamefanya haya yanayosemwa hapa, but again ... the prosecution side wame act in a very weak and strange way (proffessionally). Kwa vile mimi ni Mtanzania na najua namna ambavyo such complicated matters kama kuendesha mashtaka wanaachiwa Polisi ambao upeo wao (ashakum) ni mdogo sana kisheria. I know some of these guys wanavijielimu vya kuunga unga katika sheria. Matokeo yake kesi hata kama ina merit, inaacha maswali mengi kuliko majibu.

Labda tatizo ni mfumo wenyewe.

Samahani kuhama kidogo kutoka kwenye mada ya UNYAMA wa kina Nguza. Hasira zangu siku zote ni mfumo mbovu wa kuendesha mashtaka nchini.
 
Maumba alishitakiwa na kufungwa kwa kesi inayofanana kabisa na hii ya Nguza.. alikuwa akiwarubuni watoto kwa pipi na kuwafanyia vibaya.. ilikuwa miaka ya mwisho wa 80s.Bahati yake, SOSPA 1998 ilikuwa haijawepo... nadhani atakuwa ameshatumikia kifungo chake na kutoka.Maumba alikuwa "celebrity" kama Nguza - alikuwa mtanashati, ana mke mzuri, ana pesa na alikuwa akijulikana.

Mkuu Maumba alikuwa fundi cherehani pale Kisutu stendi karibu na shule ya msingi Mtendeni,alikuwa maarufu lakini hakuwa na pesa na ndio maana alikuwa akiwadanganya wanafunzi wa mtendeni kwa pipi na ice cream.Ameshatumikia adhabu yake ya miaka saba jela na sasa yupu Tanga eneo la Mikanjuni akiendelea na taaluma yake ya ushonaji.
 
... as a nikiongea kama mtu mwenye upeo na sheria (a lawyer in that matter), hii kesi imeacha maswali mengi 'proffessionally' kuliko majibu.

... the prosecution side wame act in a very weak and strange way (proffessionally).

... Matokeo yake kesi hata kama ina merit, inaacha maswali mengi kuliko majibu.

Labda tatizo ni mfumo wenyewe.

...Hasira zangu siku zote ni mfumo mbovu wa kuendesha mashtaka nchini.

Unakandia mfumo wa sheria, na kesi ilivyooendeshwa, unajiita mwanasheria mwenye upeo, lakini hujataja hata kimoja kilichoenda mrama kisheria, unatoa toa mashutuma tu juu juu. Wanasheria wetu watupu jamani... duuuu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom