Black and White - Hukumu ya Nguza Vicking (BABU SEA) na Wanawe

WomanOfSubstance

JF-Expert Member
May 30, 2008
5,457
956
Wakuu wa JF,

Heshima mbele.

Kuna mjadala uliokuwa unaendelea JF kuhusu kuonewa ama kutokuonewa kwa Babu Seya na Wanawe.

Jisomeeni muamue wenyewe kama alionewa ama la!

Enjoy reading
 
Attachments

  • HUKUMU Nguza-Vicking-RM-Court.doc
    197 KB · Views: 1,600
Asante sana WoS!

Hizi ndiyo DATAZ tunataka . . . .

Ngoja niwahi home nikaisome vizuri . . . Lazima Nitafakari! Haki Elimu!
 
dah!WOS utakuwa lawyer!umetupatia late hours lakin BRAVO!nimeshaprint nimemtuma secretary anibaindie vizuri nipeluzi,miwani ipo geto!nitakuja na comments zangu kesho
 
WOS,

Kumbe unaweza kazi ya ka inzi eeeeh! Ngoja tuikalie kitako.....then will be back to comment!
 
I just read few lines and was very disgusted, I feel like I want to vomit!!
Hakika Wanasheria na Majaji wana kazi nzito.
Put it this way laiti ingalikuwa ni mtoto wangu mimi ningekata kichwa ya babu Seya (No doubt!)
 
Mkuu Kweli, ni kitu cha kusikitisha na mzazi yeyote asingependa kusikiliza hadithi hiyo. Ila baada ya kusoma kurasa kama 4 za mwanzo, napata wasi wasi kama hii ni hukumu yenyewe kwa sababu kiingereza kilichotumika hakijakaa sawa. Ni kweli Mh. Hakimu kiingereza kinampa matatizo au hakusoma hii hukumu baada ya kuiandika?
 
Ni kweli, kunatatizo katika uandishi wake. Lakini hata hivyo kiujumla hukumu inaoneka ni real (not fabricated!),nadhani ilikuwa one ot the final final drafts.

Kweli inasikitisha sana hasa kwa mzazi. Kuna nyakati huwa nashindwa kuamini kama kweli hawa watu wanafanya huu ufirauni wakiwa na akili timamu. Sioni ni vipi Babu Seya, kama alikuwa na hamu ya mwanamke angeshindwa kumpata na kuanza kuparamia vitoto! Yaani utadhani alikuwa anatimiza masharti ya mganga wa kienyeji hivi! Whatever the case nadhani anadeserve hukumu aliyoipata.

Hii inatufundisha pia wazazi tuwe makini katika kufuatilia mienendo ya watoto wetu hata kama bado hawajavunja ungo au kubalehe. At 6 years, unaweza dhani bado ni mdogo kumbe kuna mafirauni yanamtamani! Sijui hii dunia inakwenda wapi.
 
WoS asante sana, nilliisoma jana na nimeiweka palipo salama for future reference. Ila sasa ina-miss ile maamuzi yenyewe (rulling ya hukumu) kuwa mfano: Kutokana na makosa haya, mshitakiwa wa Kwanza unahukumiwa kifungo cha maisha, mshitakiwa wa pili..... n.k. Ukipata hiyo full peperusha hapa. Basi unaambiwa mama Lyamuya siku alikuwa anasoma hiyo hukumu, alivalia Red na hakucheka na mtu tangu alipoingia ofisini akisubiri mshale wa saa ugonge. Of course huwa hacheki. Ndo hivyo tena yupo likizo ya kustaafu, na kesi zake nafikiri wameshazigawa kwa mahakimu wengine. Karibu uraiani mama!!!!
 
XXXX went on to narrate what happened one day when she came from school. That unknown day and month Baby Seya/Sea called her and gave her soda. She called her into his room. He told her to close her eyes and she did. Then Babu Seya/Sea tied a black piec of cloth over her eyes. Babu Seya/Sea undressed her, put ointment on her private parts and "akamwingizia . . . . . lake na akamwambia anyonye . . . . . Lake". He had sexual intercourse and told her to suck his . . . . . She said his . . . . was emitting whitish things which he told her to swallow. ". . . . lake lilikuwa linatoa maziwa na wadudu wadogo wadogo akaniambia nimeze".

Ooooooohhhhhhhhhhhhh !!!!!!!!!!! Imagine you are seeing it live and it it your own daughter . . . . And then you have a gun on hand . . . . .

. . . . . You have the answer as to what will happen . . . . .

Kwani, tetesi zinasemaje juu ya mwisho wa Dunia? I wonder hawa watoto wataishi vipi na bad memory . . . .
 
Duuu kumbe alipewa Principal akiwa dakika za majeruhi??hahaha balaaa....amekula akapumzike zake salama.....
 
The Hukumu was difficult to follow....very poor english! Alafu sidhani kama hii ni hukumu, bali ni finding of facts.
 
Ndugu zangu,
Habari ndiyo hiyo.Bahati nzuri nilipata bahati pia ya kuongea na jaji aliyesikiliza rufaa na hata yeye alikuwa na hasira ha huzuni sana kuhusu kilichowatokea hao watoto na hawakusita ku confirm the sentence!
Kuhusu kiingereza kuwa hakikunyooka - huo ni mtizamo wako msomaji.Hapa ishu ni je, kesi iliendeshwa kwa kufuata misingi?
Kuhusu kuwa hii siyo hukumu - rest assured kuwa it is authentic!
All in all justice was served ndugu zanguni .
Akina babu Seya na wanawe walikuwa watu wabaya na hatari kwenye jamii yenye watu/watoto maskini.Fikiria mtoto wa miaka 6,7,8 kurubuniwa na sh.50/- 200/- na big G! kwa wale mliosoma hadi mwisho - kumbuka jinsi yule mtoto Gift alivyopatwa kiwewe kumwona babu Seya mahakamani na alivyong'ang'ania babu Seya alimlipe sh.400/- na 1000/- alizokuwa bado anamdai! Loh!
 
The Hukumu was difficult to follow....very poor english! Alafu sidhani kama hii ni hukumu, bali ni finding of facts.

OK
Granted kuwa hii ni finding of facts, what are ur views re: walichofanyiwa watoto wale na wewe ungekuwa ndiyo hakimu/jaji baada ya hizo " finding of fact" ungefanya nini?
Kwanini nikaweka hii doc hapa ni kuwasaidia wale waliokuwa wanadhani ati Babu Seya na wanawe walionewa waone kilichotokea na wapate amani kuwa hakuna kuonewa.
Kama kuna ubishani wa kisheria nadhani huo umechelewa kwa maana hata High Court hukumu ya Addy Lyamuya ilikuwa upheld na akina Nguza kufungwa maisha.
 
Hii ni moja ya sababu ya kujiunga na jukwaa; kuna watu wa fani anuai, kuanzia mtoto mchanga, mama wa nyumbani, mhudumu ofisini, watu wa kada za kati hadi watu wenye nafasi zao nyeti (tafsiri ukatavyo tafsiri). WoS hongera kwa kuwa SECURITY OFFICER aka INTELLIGENCE OFFICER kwa kutumwagia jamvini nakala hii.
 
Hivi ile conspiracy theory ya Babu Seya kutembea na mke wa kigogo na huyu mkubwa kuamua kumzushia kesi na kumfunga yeye na familia yake vipi? Au ni maneno ya mitaani tu?
 
Hivi ile conspiracy theory ya Babu Seya kutembea na mke wa kigogo na huyu mkubwa kuamua kumzushia kesi na kumfunga yeye na familia yake vipi? Au ni maneno ya mitaani tu?

HAYA NI MANENO YA MITAANI!sasa hivi yamehamia kwa liyumba dhidi ya vick kamata!

kwa mujibu wa hizi findings,hawa WAKINA SEYA WANASTAHILI HIYO HUKUMU!tena naona kama ni ndogo vile!(ninaongea kama mzazi hapa)

jamani naomba mnishike nisipige mtu!.....

LOL
 
Ndugu zangu,
Habari ndiyo hiyo.Bahati nzuri nilipata bahati pia ya kuongea na jaji aliyesikiliza rufaa na hata yeye alikuwa na hasira ha huzuni sana kuhusu kilichowatokea hao watoto na hawakusita ku confirm the sentence!
Kuhusu kiingereza kuwa hakikunyooka - huo ni mtizamo wako msomaji.Hapa ishu ni je, kesi iliendeshwa kwa kufuata misingi?
Kuhusu kuwa hii siyo hukumu - rest assured kuwa it is authentic!
All in all justice was served ndugu zanguni .
Akina babu Seya na wanawe walikuwa watu wabaya na hatari kwenye jamii yenye watu/watoto maskini.Fikiria mtoto wa miaka 6,7,8 kurubuniwa na sh.50/- 200/- na big G! kwa wale mliosoma hadi mwisho - kumbuka jinsi yule mtoto Gift alivyopatwa kiwewe kumwona babu Seya mahakamani na alivyong'ang'ania babu Seya alimlipe sh.400/- na 1000/- alizokuwa bado anamdai! Loh!

One famous lawyer once said, "it's not what you have done, but what they show you have done". Facts can be made however you want. So you always have to approach them careful. Usidhani mimi nawatetea, lakini ukumbuke how psychology plays a part katika maoni ya watu na facts zinazotolewa. Wengi wamesoma na kuona umri wa watoto, na vitendo walivyotendewa, basi, mara moja wameshatoa hukumu. Inakuwa ngumu kuona upande mwingine. but anyway...
Ivi system ya proof Tanzania ni "beyond reasonable doubt"? Na kuna trial by jury?
 
asante kwa maoni na mawaidha kuhusu kesi hii.
TZ hakuna trial by jury maana tunafuata British system na at times badala ya hiyo jury tunatumia assessors ila mahakama hailazimiki kuchukua mawazo yao.
Yes in TZ std of proof in criminal cases is beyond reasonable doubt.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom