Black and White - Hukumu ya Nguza Vicking (BABU SEA) na Wanawe

One famous lawyer once said, "it's not what you have done, but what they show you have done". Facts can be made however you want. So you always have to approach them careful. Usidhani mimi nawatetea, lakini ukumbuke how psychology plays a part katika maoni ya watu na facts zinazotolewa. Wengi wamesoma na kuona umri wa watoto, na vitendo walivyotendewa, basi, mara moja wameshatoa hukumu. Inakuwa ngumu kuona upande mwingine. but anyway...
Ivi system ya proof Tanzania ni "beyond reasonable doubt"? Na kuna trial by jury?

WoS, kwanza nakushukuru sana kwa kuleta hii taarifa nyeti hapa jamvini. Inasadia sana kupunguza akina Thomaso. Hata hivyo ninapatwa na wasi wasi na ningependa kujua baadhi ya vitu au najiuliza hivyo vitu. Kama kweli mtoto kama Gift alifanyiwa hayo mambo angawezaje kutembea hadi nyumbani na inawezekanaje afanyiwe mara kadhaa bila kuchananwa. Vinginevyo alikuwa anachezewa tu bila kuingiliwa (there was no intromission). Na kwa watoto wengine, je waliingiliwa na hakuna aliyeumizwa (physicall) kwa kuchanika? Hilo bado linanitatiza kidogo. Na kama hawa watoto walifundishwa hiyo hadithi, kulikuwa na utaratibu mzuri wa ku-scrutinise ili kuhakikisha kuwa wanaongelea yaliyotokea na si yale waliyofundishwa?
Naguswa sana kama mzazi ila hayo maswali bado yananisumbua.
 
DC,
mimi pia nilikuwa mmoja wa watu waliokuwa hawaamini kilichotendwa na Babu Seya na wanawe kwa sababu zifuatazo:
1. Kama mpenzi mkubwa wa mwanamziki Nguza, sikuamini Nguza aliyekuwa anaonekana mtu mtaratibu, mkimya na serious kwenye kazi yake angeweza kufanya kitendo kama kile
2. Sikuamini kama Nguza angeweza kabisa kushirikiana na watoto wake kufanya ufirauni kama ule kwa maana kama mzazi naamini kabisa nahitaji kuweka umbali baina yangu na watoto wangu inapofikia mambo binafsi na nyeti yanayoweza kukukwaza malezi.Mzazi yeyote anataka wakati wote kuonyesha taswira chanya kwa watoto ili watoto waweze kuiga mema na siyo mabaya.
3.Kipindi kesi inatokea, ilikuwa ni wakati Nguza na mwanaye Papii wamepata umaarufu mkubwa baada ya kuimba kwa mara nyingine na kwa pamoja wimbo wa " Seya", hii ilifanya wengi kuamini ilikuwa ni mbinu kuwaangamiza kibiashara.

Pamoja na yote haya, kesi iliendeshwa kwa usiri kufuatana na matakwa ya sheria ( in camera) ili kulinda haki za watoto waliofanyiwa kitendo.
Hata wakati kesi inaendelea na hatimaye hukumu kutolewa bado niliamini kuwa washtakiwa wamesingiziwa.

Hata hivyo sikuishia hapo..nilianza binafsi kufanya utafiti wangu... kupata mawazo ya waliohusika kwenye kesi kwa namna moja ama nyingine na hatimaye kupata hukumu yenyewe.

Tukumbuke kuwa hadi Babu Seya anakamatwa, ilishapita muda mrefu..haina maana Oct 2003 ndipo vitendo vilifanyika... ni kwamba kuwa-abuse watoto kulifanyika muda mrefu sana hadi hao watoto wakawa wamesha haribika....mtoto Gift akiwa ndiyo aliyepelekea kupeleleza na kukamatwa kwa wahusika.Hivyo hoja ya kushindwa kutembea kwa kipindi hicho naiwezi kusimama maana walishaharibiwa siku nyingi hadi kuzoea.

Kumbuka pia kuwa Gift alifikia mahali Babu Seya akampa hadhi ya kuwa "mama".na watoto wengine kuwa "watoto" hii inaashiria kukomaa katika huo mchezo.Pia ujira aliokuwa anawapa hao watoto haukuzidi sh.200/=.Mahakamani Gift alimdai Nguza sh.1,400/-kama malimbikizo! Hii itakuambia ni jinsi gani na kwa kipindi gani mchezo huo ulikuwa unafanyika kabla ya kugundulika.
Yapo mengi sana katika kesi hii.

mwisho wa yote nadhani hakuna ubishi kwamba wakina Nguza walistahili adhabu wanayoitumikia sasa.
 
WOS naona umenifungua macho kabisa.
Mi mpaka sasa hivi nilikuwa siamini lakini naona umemwaga mboga na ugali kabisa nimekuelewa haswa dah inauma na inasikitishwa naona kwa vile kesi iliendeshwa kwa siri sana ndo maana imebakia story kuwa jamaa alionewa pamoja na watoto wake. Inauma sana lakini ndo hivyo tena.
 
HUKUMU!tena naona kama ni ndogo vile!(ninaongea kama mzazi hapa)

jamani naomba mnishike nisipige mtu!.....

LOL

hehehe na wewe mbona umemtelekeza mzazi mwenzio kule kwenye thread yako. Au umesahau Yo Yo aje akukumbushe?
 
WOS,
mm baada ya kusoma, hasira zangu,baada ya kufuta machozi, nilifuta nyimbo zooote za nguza na wanawe katika laptop yangu, na CDs zoote tupa tupa...aaagh, mtu mzima kumbe alikuwa hana adabu.
then, ombi..WOS, tupatie na ile ya kwenye rufani PLZ.
 
Pole Junius,
Wenzio tulishalia hadi tukasahau na kuponda mziki wa Nguza na Papii kocha siku nyingi!
Nipe muda kuhusu ile rufaa..... tuombe uzima.
 
WOS Asante kwa hii ishu nzito..
Nimeshusha pumzi kwanza,kuisoma na kuimaliza pia kutafakari ilihitaji muda. Huyo baba na wanawe walifanya vitendo vibaya sana, pia watoto kwenye kutoa ushahidi wa kitu wanachokifahamu vizuri huwa hawadanganyi achilia mbali walichotendewa. Wanastahili hiyo hukumu hamna msamaha, mtu yoyote hata kama siyo mzazi au watoto wako lazima hali ya huzuni na huruma ikuingie kwa vitendo kama hivyo dhidi ya kina gift na wenzie.
Ni muhimu zaidi hata kwenye jamii tunamoishi sasahivi kuwa waangalifu na malezi ya watoto, hawa kina seya wapo wengi kimyakimya na kuharibu watoto wa watu.
 
Thanks WOS. In short justice was served. Mimi nilikuwa mhudhuriaji mzuri wa show zake pale Lions Hotel, na siku zote nilidhani kwamba ni mtu mwema/alionewa.

Ila ukiweza ni vema u-edit (i.e. uondoe majina ya hao watoto) halafu ui-úpload. Mzazi yeyote hatakubali identity ya mtoto wake ijulikane. Nakumbuka hata kesi iliendeshwa kwa siri ili kuwalinda.
 
...upon the next tree shalt thou hang alive, till famine cling thee !!
 
Last edited:
Wakuu wa JF,

Heshima mbele.

Kuna mjadala uliokuwa unaendelea JF kuhusu kuonewa ama kutokuonewa kwa Babu Seya na Wanawe.

Jisomeeni muamue wenyewe kama alionewa ama la!

Enjoy reading

Ndugu zangu Inatisha na kuleta shaka sana kwa kusoma maelezo yaliyopo hapa kwenye hii taarifa nyeti iliyopelekea kutoa hukumu ya babu SEYA na Familia yake.

Ni kitendo kibaya ambacho kila mwenye akili timamu lazima atakipinga kwa nguvu zote. Ila pia tusisahau sana kwamba maelezo hayo hayakutoka mbinguni na pia mashahidi wa kesi hiyo hawakuwa malaika toka mbinguni..Sitoweza kuwahukumu watuhumiwa kutokana na vielelezo vya wahukumu au mashahidi au watendwa..sitoweza kuhukumu kwasababu mtoa hukumu aliandika hivi..

Nabaki kujipa jibu kwamba kwa Tanzania chochote kinawezekana..Kama Police wanaweza kukutengenezea kesi za ujambazi,wizi na kadhalika kwanini kesi ya jinsi hii isiweze kutengenezwa ? Amini kile unachoona kina ukweli na usiamini maelezo ya kuambiwa au kusoma hasa katika kesi za kitanzania..!

Zipo kesi ngapi tanzania zenye ushahidi wa uongo ? wapo watu wangapi kwenye magereza yetu waliofungwa kwa kesi za kubambikiziwa ?

Sina jibu.

Na laani kwangu zote vitendo vya kinyama vya kuwaingilia kimwili watoto wadogo. na siwatoto wadogo tu, bali hata wale wenye kutumia uwezo wa kifedha kuwarubuni mabinti na kuwatumia kimwili..Na hukumu ichukue mkondo wake pale kwenye haki..!
 
WOS Asante kwa hii ishu nzito..
Nimeshusha pumzi kwanza,kuisoma na kuimaliza pia kutafakari ilihitaji muda. Huyo baba na wanawe walifanya vitendo vibaya sana, pia watoto kwenye kutoa ushahidi wa kitu wanachokifahamu vizuri huwa hawadanganyi achilia mbali walichotendewa. Wanastahili hiyo hukumu hamna msamaha, mtu yoyote hata kama siyo mzazi au watoto wako lazima hali ya huzuni na huruma ikuingie kwa vitendo kama hivyo dhidi ya kina gift na wenzie.
Ni muhimu zaidi hata kwenye jamii tunamoishi sasahivi kuwa waangalifu na malezi ya watoto, hawa kina seya wapo wengi kimyakimya na kuharibu watoto wa watu.

Belinda,

Umesema kweli. Watu wa aina ya Babu Seya wako wengi mitaani na wengi unakuta ni imani za kishirikina kwani haiingii akilini mtu mzima unapata starehe gani kufanya mapenzi na mtoto wa miaka sita? Ni kufuata nguvu za giza tu huko. Na tena you can imagine Baba anathubutu kuvua nguo mbele ya watoto wake mwenyewe na kushiriki nao kufanya kitendo kile kwa watoto. I am 100% conviced kwamba walikuwa wanajaribu kutekeleza matakwa ya nguvu za giza.

Je wana JF tunalo lolote la kujifunza kutokana na kesi hii? Kwa upande wangu inanikumbusha wajibu tulio nao wazazi wa kuhakikisha kwamba we protect our kids wajibu ambao wazazi wengi wameusahau. No wonder mzazi yuko ndani ya nyumba lakini mtoto hayupo na ni usiku wa saa mbili but nobody cares kuuliza mtoto yuko wapi. Mtoto anafungua mlango na kutoka bila kuaga anakwenda wapi na mzazi unaona ni sawa!!!

Tujenge utamaduni wa ku-protect watoto wetu kwa nguvu zote ili kuepuka ujinga kama huu kuwapata watoto wetu.

Tiba
 
One famous lawyer once said, "it's not what you have done, but what they show you have done". Facts can be made however you want. So you always have to approach them careful. Usidhani mimi nawatetea, lakini ukumbuke how psychology plays a part katika maoni ya watu na facts zinazotolewa. Wengi wamesoma na kuona umri wa watoto, na vitendo walivyotendewa, basi, mara moja wameshatoa hukumu. Inakuwa ngumu kuona upande mwingine. but anyway...
Ivi system ya proof Tanzania ni "beyond reasonable doubt"? Na kuna trial by jury?

Mkuu ni kweli inakuwa vigumu kuangalia upande wa hawa paedophiles akina Babu Seya, kwa vile it is beyond reasonable doubt kwamba hivi vitendo wamevifanya, sasa kwa maoni yako ulitaka mahakama ifikirie nini kwenye upande wa hawa Paedos? Kumbuka watoto hawa ni miaka 6-8 tu na wamehojiwa (cross examined) mbele ya wataalamu jee unataka tuamini wamefundishwa kudanganya majibu? kumbuka sio mtoto mmoja (maybe bright one) ambaye anaweza kukabiliana na maswali kutoka panel of prosecutor, defence lawyers na jaji, bali hawa watoto ni kumi!! na hatujui wangapi hawakujitokeza? haiwezekani watoe ushahidi wa uongo kwa hio suala la beyond reasonable doubt nina uhakika 100% the accussed are guilty as hell! jee kwa maoni yako ulitaka nini zaidi kiangaliwe? Kwa mfano mtoto maskini Gift ambaye ni mtoto wa miaka saba aliwezaje kupata Gonorrhea bila kuingiliwa ? Inasikitisha na inaniuma sana.
Justice has been served at least ingawa actually I would prefer death sentence!
 
Kazi ya defence lawyer ni kuweka doubt katika evidence inayotolewa na prosecutors. I wouldn't find it difficult kuweka doubt katika evidence hasa ya watoto. Nikiweka muda wangu katika kuangalia vitu kama medical history, muda waliokuwa shule, nk. Kwanza ni hatari kuweka watoto as witnesses. Inawezekana hawakupewa drilling ya kutosha kutoka kwa defence lawyers. Wamepewa presumption ya innocence kubwa sana.
Kuna vitu kama, mara ya kwanza kwa hili jambo kutokea, wazazi walikuwa wapi? Hawakuweza kugundua hili jambo? Au wako mbali kiasi hicho na watoto zao? Pili, kuna watu wa mitaani wengi ambao wangeweza kuona kuingia na kutoka kwao katika hiyo nyumba. Sijasoma document yote maana imekuwa ngumu ku-follow kutokana na jinsi ilivyoandikwa.
Lakini sitaki kusema mengi maana naona hapa watu wameshakuwa na ushabiki. Sitaki kuwa public enemy number one bure.

Lakini hii ndo kazi ya defence lawyers hiyo. Inasaidia katika kuleta haki na efficiency katika utendaji wa justice system. Kama kesi zikianza kufutiliwa mbali kwa kutofuata sheria, polisi bongo inge-improve sana katika mbinu za ku-collect evidence, nk. Sema hili linatokea kwa wakubwa tu...mfano kesi ya EPA. Wenye hela ndo wanafaidika na best defence lawyers. na hichi ndo inabidi tukifikirie zaidi. Jinsi ya ku-improve justice system yetu.

Kama haya yalitokea kwa hawa watoto, nawapa pole sana. Na watahitaji conselling.
 
tukumbushe kidogo 'msheria' wangu

Maumba alishitakiwa na kufungwa kwa kesi inayofanana kabisa na hii ya Nguza.. alikuwa akiwarubuni watoto kwa pipi na kuwafanyia vibaya.. ilikuwa miaka ya mwisho wa 80s.Bahati yake, SOSPA 1998 ilikuwa haijawepo... nadhani atakuwa ameshatumikia kifungo chake na kutoka.Maumba alikuwa "celebrity" kama Nguza - alikuwa mtanashati, ana mke mzuri, ana pesa na alikuwa akijulikana.
 
Kazi ya defence lawyer ni kuweka doubt katika evidence inayotolewa na prosecutors. I wouldn't find it difficult kuweka doubt katika evidence hasa ya watoto. Nikiweka muda wangu katika kuangalia vitu kama medical history, muda waliokuwa shule, nk. Kwanza ni hatari kuweka watoto as witnesses. Inawezekana hawakupewa drilling ya kutosha kutoka kwa defence lawyers. Wamepewa presumption ya innocence kubwa sana.
Kuna vitu kama, mara ya kwanza kwa hili jambo kutokea, wazazi walikuwa wapi? Hawakuweza kugundua hili jambo? Au wako mbali kiasi hicho na watoto zao? Pili, kuna watu wa mitaani wengi ambao wangeweza kuona kuingia na kutoka kwao katika hiyo nyumba. Sijasoma document yote maana imekuwa ngumu ku-follow kutokana na jinsi ilivyoandikwa.
Lakini sitaki kusema mengi maana naona hapa watu wameshakuwa na ushabiki. Sitaki kuwa public enemy number one bure.

Lakini hii ndo kazi ya defence lawyers hiyo. Inasaidia katika kuleta haki na efficiency katika utendaji wa justice system. Kama kesi zikianza kufutiliwa mbali kwa kutofuata sheria, polisi bongo inge-improve sana katika mbinu za ku-collect evidence, nk. Sema hili linatokea kwa wakubwa tu...mfano kesi ya EPA. Wenye hela ndo wanafaidika na best defence lawyers. na hichi ndo inabidi tukifikirie zaidi. Jinsi ya ku-improve justice system yetu.

Kama haya yalitokea kwa hawa watoto, nawapa pole sana. Na watahitaji conselling.

Nakubaliana na point zako ila sikubali kwamba wanasheria wa utetezi wazuri wanasaidia katika kuleta haki, hawa ndio mara nyingi wanasaidia criminals to escape justice, ilimradi uwe na pesa tu! Na kama akina Nguza wangemiliki hao Lawyers unaowataja wewe basi dhuluma kubwa ingetendeka kwenye hii kesi.
Kwa nchi ziloendelea kuna murder cases, rape cases nyingi wahalifu wameshinda kwa vile tu wana hela. Mfano wengi wanajua R. Kelly amefanya vitendo vya kuwanajisi watoto mara nyingi tu lakini kwa vile ana uwezo wa deffence team nzuri anashinda kesi na ndio anarudia kuyafanya haya mambo. Sisi bora tusielekee huko ili kuilinda jamii yetu.
 
Point mzee. Na hilo ndo nasema tulijadili. Jinsi ya kuleta haki. Jinsi ya kuimprove justice system yetu, au sio? Katika system ya sasa ivi, kama ulivyosema kuna uwezo mkubwa wa wanyonge kuonewa kwa kuwekwa ndani hovyo, au kwa kudhulumiwa hukumu. Hii hukumu ni past, tuangalie future au sio?
 
Unaonaje ndugu yangu ukaanzisha thread nyingine inayolenga kuzungumzia hiyo improvement badala ya kuihusisha na kilichojiri kwenye kesi ya Nguza?
Hii itafanya watu wachangie bila jazba... ukiiunganisha hapa nadhani kuna watu wenye kupenda kuzungumza lakini kwa hapa watanyamaza maana ni kama vile Nguza alionewa hakutendewa haki.
Samahani lakini.
 
Nimejaribu kuisoma hii doc.kwa ushahidi uliotolewa na hawa watoto ni vigumu upande wa utetezi kusema lolote linalokinzana nao.hapa mi nadhani ni mambo ya ushirikina hamna lolote
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom