The secretary
JF-Expert Member
- Jan 14, 2012
- 4,149
- 2,536
Jamani huyu mtu anapenda kuchonganisha wapendanao hukimkuta kwenye thread ndo kazi yake.HUYU MR.HAPENDEKI HUYU
Hua anaangalia na aina ya ndoa za kuchonganisha!cha kushangaza yeye ndoa hana,huko unga ltd katolewa nduki huku anapambanisha watu lol!@Bishanga oa utulie!
mwacheni bishanga jamani....aliniahidi vitz mpaka leo sijapata
Hii sredi inatakiwa iwekwe kwenye sticky ili itumike kama fundisho kwa wale wote wenye tabia kama za Bishanga Abashaija...
Mods, du ze nidful...
Mapendo.
TANMO.
Heh..ngoja nikavae skin tight na dera!
Heh..ngoja nikavae skin tight na dera!
Kwa kuwa umekuta mtaji wa gazeti letu la udaku
tungeiweka kurasa za mbele.