Bishanga anapenda kuchonganisha huyooo

The secretary

JF-Expert Member
Jan 14, 2012
4,149
2,536
Jamani huyu mtu anapenda kuchonganisha wapendanao hukimkuta kwenye thread ndo kazi yake.HUYU MR.HAPENDEKI HUYU
 
Hua anaangalia na aina ya ndoa za kuchonganisha!cha kushangaza yeye ndoa hana,huko unga ltd katolewa nduki huku anapambanisha watu lol!@Bishanga oa utulie!
 
khee kumbe anavyojisifia ni uongo mi nilijua ana mke watoto,wajukuu,vitukuu na vilembwekeze kumbe hakuna kitu itabidi tumuoze ndoa ya mkeka labda gharama za harusi zinamshinda.:painkiller::boxing:
 
Hii sredi inatakiwa iwekwe kwenye sticky ili itumike kama fundisho kwa wale wote wenye tabia kama za Bishanga Abashaija...
Mods, du ze nidful...

Mapendo.
TANMO.
 
Kwa kuwa umekuta mtaji wa gazeti letu la udaku
tungeiweka kurasa za mbele.

Hii sredi inatakiwa iwekwe kwenye sticky ili itumike kama fundisho kwa wale wote wenye tabia kama za Bishanga Abashaija...
Mods, du ze nidful...

Mapendo.
TANMO.
 
Back
Top Bottom