Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2008
- 15,323
- 10,050
Kumbe nini?Kumbeeee!
Kumbe nini?Kumbeeee!
Niko hapa,na wewe unataka unisute?Huyo msutwaji mwenyewe yuko wapi,mbona mnasuta hewa?!
yani we hacha tu yani anaumia akiona watu wanapendana yeye hapendeki
huu mgongo atauweza?
Mkuu,nahisi kitu hapa,ngoja nitumie vyombo vyangu vya intelijensia.mzee mwenzangu unalo hilo.................
Lelo mbwenu!!
Duh....!!! we mkali umemjibu kila mmoja, ngoja waje na tuhuma nyingine...Panga moja mbuyu chini,nshamaliza kujibu mapigo,naingia zangu serena for a breakfast meeting.
Sielewi darling,nasikia eti sipendeki,ya kweli haya?
Halafu wewe una cheat na kongosho.
Na wewe unanikomalia?
Nimwambie rejao mambo uliyoyafanya wakati amekwenda Davos,uswiss kwenye mkutano wa G8?
Hawana lolote hawa......ila kusema kweli nimejibanza mahali namsubiria The Secretary,ninm mind ujue.Duh....!!! we mkali umemjibu kila mmoja, ngoja waje na tuhuma nyingine...
Dah.....haya bana kumbe aspirin dume la mbegu?Unapendeka kama senene, mleta mada anasumbuliwa na miwivu tu
Weee, ana jeuri ya kucheat na mie huyu?
Sili swala, nakula farasi na twiga tu
hahahaha kumbe kweli we mchonganishi.
Taratibu mkuu,watoto hawajalala!
Angalia vizee vya mfazaiko
wasije kuazirisha mwanangu.