Binti wa Rostam anasoma shule ada US$ 200000 kwa mwaka

Huo niwivu tu,nawewe kama unahela kamsomeshe wakwako hata kwa dola mil10 hakuna atakae kuzuia,kama huna mpeleke mwanao shule za kata kila ndege anaruka kwa ubawa wake.

Kama hujuwi kinachoendelea ktk nchi ya majuha ndio unaweza kucomment kama hivi. Juzi jijini hapahapa huyo unayemwona kwamba ni sahihi kutumia TAS 300,000,000 kwa mwaka kwa ajili ya school fees ya o level ana kakampuni kake kamoja kalikuwa kanadaiwa kodi TAS 70,000,000 amegoma kulipa jamaa wa TRA walipokomaa ikulu ikamkingia kifua na kodi haikulipwa. So wanao uwezo wa kulipa mil 300 kama school fees lakini hawataki kulipa kodi ya mil 70. Huu ni wizi tu hakuna lugha nyingine. Wakitaka walipe hata 1 bil school fees lakini kodi yetu watulipe jamani kutuibia mtuibie na kodi nayo msilipe? Shame on you!
 
Nawashangaa watu mnachokonoa maisha ya watu badala ya nyie kutafuta hela muwasomeshe watoto wenu shule za bei gali!!

Hivi wewew huoni tatizo hapo? Binti wa fisadi ambaye hajasafisshwa na vyombo huru anatumia pesa ambayo inaweza kujenga shule moja nzima ya kata kutomesha mtoto wake mmoja tu halafu unasema hakuna tatizo?

Kama hakuna tatizo basi mimi ndiye mwenye matatizo!
 
hehehehe.... hata mi nikiwa na mipesa hata kama ya wizi! mwanangu lazima nimepeke shule ambayo najuwa akitoka hapo she might do something for her life!
 
rostam ni nchi gani??

Mkuu mbona swali lako halieleweki? Ila kama unaulizia uraia wa RA basi nadhani unaweza kupata jibu au unalo!

Nijuavyo mimi RA ni mtanzania kwa fix ila uraia wake uko kwa waarabu!
 
Mbona watu wanaenda kutibiwa Apolo, India; Afrika ya Kusini; St.Thomas UK kwa kodi yako, hapo unasema nini!
 
Nafikiri kuna wafuasi wa rostam wanamjibia humu 7bu tatizo lipo tena kubwa hii pesa aloiba ingejenga shule bariadi,kibaha, tunduru, hai na kwengineko 7bu watu wanachojadili kw hy jamaa ni jizi na linatumia pesa ya wizi kwa cfa wakati alowaibia wanachangishwa kujenga shule za kata na ni mackini
 
Nasikitika kuwa kuna Watanzania hawana uwezo wa kuunganisha matukio na kuona kuwa hapa kuna tatizo kubwa sana tena sana!
 
......sasa huyo binti ana kosa gani? Mwache asome kwa raha zake.
No wonder kuna Mdosi mmoja alishawahi kusema kuwa "Swahili jinga kabisa... Nakula pesa yae yenyewe nacheka tu" hivi kweli how do you get aand spend all these money? Hatuna shida na shule ya huyu binti hapa najaribu kuwapa picha ni jinsi gani mtu haoni uchungu kuspend hela za bureee bila hata huruma...
 
Kama hujuwi kinachoendelea ktk nchi ya majuha ndio unaweza kucomment kama hivi. Juzi jijini hapahapa huyo unayemwona kwamba ni sahihi kutumia TAS 300,000,000 kwa mwaka kwa ajili ya school fees ya o level ana kakampuni kake kamoja kalikuwa kanadaiwa kodi TAS 70,000,000 amegoma kulipa jamaa wa TRA walipokomaa ikulu ikamkingia kifua na kodi haikulipwa. So wanao uwezo wa kulipa mil 300 kama school fees lakini hawataki kulipa kodi ya mil 70. Huu ni wizi tu hakuna lugha nyingine. Wakitaka walipe hata 1 bil school fees lakini kodi yetu watulipe jamani kutuibia mtuibie na kodi nayo msilipe? Shame on you!

Ni bora umesema wewe jiulize mtu anayeweza kutumia TZS 300m kwa school fees ya mwanae je ana fedha kiasi gani no wonder kusikia kuwa BWM ana utajiri wa US$ 70m na bado tutakenua meno na kuchekelea kweli Mitanzania ndio tulivyo...
 
attachment.php

Binti wa Rostam Aziz

Ama kweli ukila na kipofu usimshike mkono, fisadi namba moja nchini kwa kweli anafaida sana hela zetu walala hoi maana binti yake anasoma shule moja binafsi na ghali sana huko Swiss amabapo ada yake kwa mwaka ni dola 200,000 na yupo O-level hebu fikiria kwa miaka minne RA atatumi kama dola 1m ghama jumla ya gharama ya kusomesha binti yake huyo. Shule yenyewe inaitwa Lo Rosey ni miongoni mwa shule ghali duniani na hata ukiangali kwenye mtandao wa Forbes shule ghali sana kwa amerika wanalipa around 50,000-80,000US$ kwa mwaka sasa hiii ya Swiss ni mara tatu yake kweli fedha ya ufisadi ni tamu sana....
Kama ni kweli inavyo onyesha kwenye hiyo shule, sasa jamani huyo mjamaa ana fedha kiasi gani?????????????
Jamani inabidi kupambana kweli kweli kukomboa nchi yetu, huyo jamaa na wenzake wa vijisenti ni wauaji wa Watanzania. Weka mambo yote hadharani kama weak leaks, watu waone wawaambie Watanzania wote ili watu wachukue hatua!!!!!!!!!
Huu ni utumwa katika nchi yetu, walianza na pembe za ndovu na watumwa, dhahabu, almassi sasa mifedha wanajizolea bila huruma, tuwatimue na kuchukua mali zetu!!!!!!!!!!!!
 
fungueni kwenye yutube muone familia ya gbagbo inavyokula bakora.
mwache ale ikifika siku na saa atajibeba.
 
Kama hujuwi kinachoendelea ktk nchi ya majuha ndio unaweza kucomment kama hivi. Juzi jijini hapahapa huyo unayemwona kwamba ni sahihi kutumia TAS 300,000,000 kwa mwaka kwa ajili ya school fees ya o level ana kakampuni kake kamoja kalikuwa kanadaiwa kodi TAS 70,000,000 amegoma kulipa jamaa wa TRA walipokomaa ikulu ikamkingia kifua na kodi haikulipwa. So wanao uwezo wa kulipa mil 300 kama school fees lakini hawataki kulipa kodi ya mil 70. Huu ni wizi tu hakuna lugha nyingine. Wakitaka walipe hata 1 bil school fees lakini kodi yetu watulipe jamani kutuibia mtuibie na kodi nayo msilipe? Shame on you!
Timu nzima ni ya wezi tu, hukuna cha ikulu wala nini, maana walitakiwa kuwa huyu jamaa halipagi kodi. Marekani swala la kodi ni kupelekwa jela tuu hata lkama ni nani. Ndio maana tunakazania katiba mpya haitakuwa na misamaa ya kodi!!!!!!!!
 
Hapa ishu ni nini?
Issue ni image ya chama.

Wakati kina Mukama wanateuliwa majuzi walitoa hotuba nzito nzito, kina Chiligati na Mnauye na Kikwete etc. Common thread ya ujumbe wao ilikuwa wanataka CCM kirudi kuwa "chama cha wanyonge." Wakati wanajenga CCM, tokea TANU, tokea TAA, tokea Uhuru, Watanganyika, weusi walikuwa karibu wote masikini, wote, wakajiita wanyonge. Image ya chama cha wanyonge ndio iliyojenga chama nchi nzima kwa sababu kilionekana chama kinacho akisi picha ya Watanganyika, sasa wanasema wanataka kurudi huko.

Kumbe wanyonge wa CCM ni watu tofauti, hakuna shule ya sekondari Igunga, Tabora inayomtosha mtoto wa mbunge, hakuna shule Tanzania, hakuna sekondari Afrika inayomtosha mtoto wa kiongozi wa CCM, hakuna shule ya kawaida UK, Uswisi n.k. bali mtoto wa mbunge anasoma shule ambayo hata Malia na Sasha, watoto wa Rais wa mabepari wa Marekani hawawezi kusoma, hicho ni chama cha wanyonge?

Chama cha Mapinduzi kinajiuza kama chama cha watu wasiopenda kujilimbikizia mali. Basi angalau wangejilimbikizia mali halali. Mali za wizi. Wanajenga image ya chama kiongo na kinafiki.
Mnyonge anaidai nchi umeme wake?
 
Back
Top Bottom