Binti wa Rostam anasoma shule ada US$ 200000 kwa mwaka

Kupenge, unajua kiasi cha hela ambacho haya makampuni nya simu yanakusanya kwa siku moja?????
Umeshawahi kutafiti nchi hii inapata kiasi gani kutokana na makampuni hayo??? Sasa jaribu kuuliza mtu yeyote unaemjua anaefanya kazi huko hasa kitengo cha kumonitor hiyo minara yao atakuambia kwamba hata kama ametoa ajira bado nchi hii inanyonywa kwa kiasi kikubwa. Vile vile angalia mishahara ya watanzania walio wengi katika makampuni hayo( ukiachilia wachache ambao wana nafasi za juu ) ni mishahara ya "basi tu siku zipite" lakin sio mshahara wa kumfanya mtu apate mahitaji yake muhimu kwa urahisi ukilinganisha na kile kampuni ilichokusanya.
 
Kupenge, mbona unajaribu kumjengea kataswira flani RA? Kuwa muwazi bana!
 
Back
Top Bottom