Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,104
Looh, Wee Danyz !! yaani uzi huu ulikuwa wa majonzi na Simanzi ...Ila umebadilishwa kuwa vicheko !!!Ipo kule chit chat
masikini Wanze (marehema) !!
Looh, Wee Danyz !! yaani uzi huu ulikuwa wa majonzi na Simanzi ...Ila umebadilishwa kuwa vicheko !!!Ipo kule chit chat
Looh, Wee Danyz !! yaani uzi huu ulikuwa wa majonzi na Simanzi ...Ila umebadilishwa kuwa vicheko !!!
masikini Wanze (marehema) !!
nadhani hisia hizo zako tusizipe nafasi kuhusiana na utafutaji wa wahusika umechangiwa na kugusa familia ya RC..ila tuaminini kuwa hata wewe kama ni mlala hoi ukifanyiwa hivyo vyombo vyetu vya usalama vitakupigania kukamata watakao kufanyia hivyo.!!
Yule betty ndejembi sijui..mbona hatujasikia kukamatwa walio muua
Sasa jamanii ndio haya ya kuonana na watu hufahamiani nao et akutoe Dina, dina inageuka alinilua vyanguu unasikia nami nimetupwaa kusikojulikanaaa,,hatari sanaa
Alpigiwa simu na rafiki wa wakike wa fb aende Dar akaenda wakatekwa wote mlimani city yeye na huyo rafiki yake wakauliwa wakatupwa maeneo tofauti mmoja temeke na huyu Mwfnz akatupwa bonde la msimbazi
Dinaz, utupwe wapi na bodigadi wako, Mie ntakuwa nimepewa uji wa usingizi !??!Sasa jamanii ndio haya ya kuonana na watu hufahamiani nao et akutoe Dina, dina inageuka alinilua vyanguu unasikia nami nimetupwaa kusikojulikanaaa,,hatari sanaa
huyu ni mtu amabye marehemu ashura aliweka profile picture yake, na akaweka comment hii (hv wew huwa huna kazi ya kufanya sitaji jibizana nawe sawa mbona shuhuri unayo yako yasha kuishia hebu pita kule basi dume kaa jike toooh
akijibu mu anaejiita Pedro )
haa jamani binadamu tumekuaje? hivi wanapata faida gani sasa?
huyo kijana alikuwa boyfriend wake anaitwa benson anaishi bunju
Kama nambaye ingali hewani nadhani watu wa usalama wanaweza wakafanya trace ya location ya hao watumaji picha...
Ila si yupo Rumande? ama?
hapana hayupo lumande kwan wauwaji walikamatwa na wakakiri kuuwa watu 11 include wanza na jack.........chakuikitisha wauwaji wameachiwa
jamani wanze na jack wamejuana ktk magroup whatsapp na wanze aliwahi kumtembelea jack alipokuwa anaishi pugu.......... wanze alikuwa mtu wa bata sana ila kwa hili she is innoccent nakiri hajawakosea chochote hao wauaji ila jack ndo alimwita wanze toka baga kuja dar ili wakale bata ndo wakatekwa
I guess walikuwa wanamtaka jack peke ake ila kwakuwa kaja na mwenzake ndo wakaamua wawamalize wote
waliwaweka temeke for all that days huku wakitumia sim za walengwa kuwataarifu ndugu zao na baadhi ya clasmate wa wanze kuwa wasiwe na wasiwasi yuo salama
wanze alikuwa na comflict karibu na watu wengi kuanzia rafiki zake hadi ndugu zake (include me) ila kwa hili jack ndo kamponza kwani jack alikuwa mtu wa mishen town sana na pesa alikuwa nazo bila kujua anafanya kazi gani, evenif aliachaga clouds kitambo sana
REST IN PEACE cute odo MBELE YAKO NYUMA YETU
hapana hayupo lumande kwan wauwaji walikamatwa na wakakiri kuuwa watu 11 include wanza na jack.........chakuikitisha wauwaji wameachiwa
kuna mengi nyuma ya pazia,uchunguzi wa kina ufanyike,mtu hawezi kujakukuua from no where with no reason,anyways rip