SAUTI YAKO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 2,928
- 2,006
hata kama alikula vya watu kama mnavyodai,embu kuweni great thinkers nawaowajua dairy jinsi mnavyopinga maovu katika jamii.sI vizuri kuzidi kumkandamiza marehemu kwa hasira zenu binafsi za kula vya watu ,kwanza mnahumiza hisia za ndugu,rafik,na jamaa ambao wamegubikwa na huzuni huku wakiwa hawajui hatima ya mwili wa mpendwa wao.
Naungana na wale wote waloguswa na unyama huu kuhakikisha walotenda unyama huu wanatiwa nguvuni.R.I.P ASHURA
Naungana na wale wote waloguswa na unyama huu kuhakikisha walotenda unyama huu wanatiwa nguvuni.R.I.P ASHURA