Binti mdogo kutoka Kenya akijibu kuhusu Watanzania; "I don`t like their Logic"

Japo logic ni neno pana lakini hata mimi nakubaliana na hoja katika maeneo yafuatayo:-
1. Unafiki
2. Kupindishapindisha maneno ili tu kuhalalisha jambo.
Mifano ya haya ni mingi hata humuhumu.
Mambo hayo yanaumiza sana kwa mtu ambaye anapenda kuona mtu akitumia akili na utashi kama Mungu alivyotaka hata kumtofautisha binadamu na viumbe wengine.
 
Nicholas kama mfano 'sample' wa watanzania illogic ni wewe basi kabint lako sawa. Maana hujui hata unachosema. Hukuwa hata na muda wa kupata ufafanuzi kwamba hiyo illogical observation ya hako kabinti inatokana na nini?Au illogical thinking ya wajaluo kufikiri laila atashida wakati ukabila ndio mwamuzi ndio logic yao wakenya? Au democracy na katiba nzuri inayoongozwa na ukabila can work ndio logic yao. With due respect Nicholas, alikudharau wewe na sio watanzania maana uko illogical. Maana kakuona uko illogical among many logical Tanzanians na akakuchukulia hivyo na wewe ukaamini wote tuko kama wewe, then she is right kufuatana na sample yake."Wakenya hawajatupita elimu ILA WAMECHAGUA LOGIC TUU.Sisi tumechagua ILLOGIC. Ndio maana wapo rational sisi tupo Irrational". Simple logic: if a=b and b=c then a=c, from this simple example go back to your young friend from Kenya for review.

Sio siku nyingi sana nilibahatika kuwa na mazungumzo na binti mdogo kutoka Kenya. Binti alikuwa very smart na tuliongea mengi sana. Nikamuuliza naijuaje Tanzania? Akasema mazuri mengi. Katika mengi hayo ni mazingira na vyakula,pia akajazia beuatiful people. Any way haya ni kama mafuta tuu kwa vile huwezi ringia vitu vya asili hata wanyama pori wanaweza ringa na pengine kulaumu binadamu wa kitanzania kwa vile wanaweza kuwa hawana mchango wa wanyama katika mazingira.

Baadae nikamuuliza nii hapendi Tanzania Mtoto hakusita akasema kwa namna inaonyesha yupo very honest kwenye hili "I DON`T LIKE THEIR LOGIC" . Sikushangaa sana, pengine ningekuwa na mtanzania mwigine Povu lingemtoka sana kuthibitisha anachosema huyu Binti mdogo. Issue ya Logic kwa watanzania ni kikwazo kikubwa sana. Jinsi wanajibu issue utapata huruma sana. Logic ndio inaleta shida Tanzania, logic ndio inaleta vita, logic ndio inasumbua katika kutunga sheria, logic ndio tatizo kwa watamzania waliosma na wasiosoma. Mbaya zaidi waliosoma ndio shida kabisa.

Wakenya hawajatupita elimu ILA WAMECHAGUA LOGIC TUU.Sisi tumechagua ILLOGIC. Ndio maana wapo rational sisi tupo Irrational. Ndio maana waomi wetu hata wasome vipi. Huishia kuwa kama mwandishi aliyejifunza lugha huku akiwa na alphabet iliyoondolewa herufi za msingi. Mbeleni hatojua kwanini mambo hayaendi.

Nasikia UN kuna kipindi walileta walimu wageni ktk idara nyeti za fikra. Na wengi walikuwa waki deal na Logic directly and indirectly.Tanzania ikiwa mojawapo. Nadhani walishajua nini shida yetu. LOGIC TUU. Kila mahali utasikia kuna walimu wagumu, kuna wazee wa chama wagumu, utasikia simba na Yanga kuna wanazi.Utasikia sheri aza kukufuru nyingi sana. Utasikia mengi sana.
 
Mkuu kadri miaka inavyozidi kwenda ndivyo ambavyo kasumba ya wakenya kuwa ni bora kifikra kuliko sisi watanzania inavyozidi kutoweka.

Typical mkenya anadhani kwamba anazo akili kuliko mtanzania. Na hivi ambavyo JPM anawafungia vioo na kuwakazia mazima, ndivyo ambavyo wanazidi kukasirika.

Ukweli wa maisha ni kwamba hakuna kinachobakia kilivyo milele yote, wakenya itabidi watuvumilie kwani kizazi cha vijana wa sasa wa Tanzania na wale wa miaka michache ijayo hakitavumilia mambo ya kipuuzi kutoka kwa yoyote yule.

Rais Magufuli anafanya jambo la maana sana katika kujenga kiburi miongoni mwa vijana. Anaposema tunatakiwa tuwapelekee wazungu mitumba anamaanisha tuwe na ile jeuri ya kitanzania. Kutobabaishwa na kasumba za kuwa eti wakenya ni bora kuliko sisi.

Na miaka kadri inavyosogea wakenya wengi sana watakuwa na akili kama huyo mtoto uliyekutana nae, wakishachoka kumchora rais wetu kwenye katuni zao, wataendelea kuwa na vinyongo kama huyo dogo.
Siku zote mwenye pochi ndefu katka jamii ndiye ujiona ana akili kuliko wenzake, wewe uje na PhD yako kama mfukon hakuna kitu utadharaulika tuu, ni nchi gani maskini inaheshimika zaid dunian kuliko nchi tajir? waingereza na wamerekan au wasouth wanaheshimika ni kwa sababu ya uchumi wao wala si akiri kichwani, hataivo aliyeshiba uwa na mawazo mazur kuliko mwenye njaa!!!
 
Umeongea jambo la msingi sana tofauti na hao waliokuja na matusi, ni kama wanakamilisha kuthibitisha mtazamo wa mleta mada na huyo mtoto wa Kikenya.

Kimsingi kwa muda mrefu Tanzania tuliacha tasnia ya habari kuendeshwa na wenye elimu ndogo. Na hata baada ya utandawazi zika anzishwa media nyingi ambazo wana ajiri kutokana na umaarufu wa mtu au kujuana. Wengine wa hawa watu ni wale walioshindwa hata kufuzu kusomea ualimu kwa kukosa alama nzuri ktk mitihani yao. Kumbuka hapa TZ kuna tabia ya kuchukua watu wasio na ufaulu mzuri na kuwapeleka kusomea ualimu.
Sasa ukiona mtu anakosa hadi sifa hiyo anaenda kusomea uandishi wa habari unategemea atasidia kuelimisha au kuijenga jamii yenye kutumia mantiki(logic)? Tunategemea hawa wana habari ndio watumie taaluma yao kuelimisha na kuipa uelewa/ufahamu sehemu kubwa ya jamii.
Wasiokuwa na uelewa ni rahisi kupokea rushwa na kusambaza habari ambazo ni za upande mmoja pengine usio sahihi.

Afadhari kipindi fulani cha zamani cha wazee wetu walitoka vijana waliofaulu vizuri na kusomea uandishi wa habari. Na pia sasa wanachukua vijana waliofaulu na kwenda kusomea uandishi wa habaro pale USM School of Journalism. Natumaini mambo yatabadilika miaka michache ijayo.
Kubadirka ni ndoto kwa hali hii tunayoendanayo sidhani, ebu jaribu kukaa na kijana aliyemaliza kidato cha 4 au 6 ukae naye umpime uelewa wake, unadhan aliyemaliza kidato cha 4 au 6 kwa sasa anaweza kuwa mwandishi habar ? lakn wa 1980 hadi 90 waliweza lakn kwa sasa ni bure kabsa, Kwa sasa usishangae mtu anamaliza chuo kikuu lakn hajui mkoa wa Njombe/Iringa upo upande gani mwa Tz. We kijana ana degree yake lakn mchafuuu, afya mbovu, we unadhan huyo ana elimu kichwani kweli?? au kapita tu madarasani?
 
Kuna wakati nilisikia wasichana wa kikenya wakiongea eti watanzania wakarimu sana hata kuzama chumvini anakuomba ruhusa "samahani dada naweza kuzama chumvini ?"
 
Wakenya ,waTZ wote walewale wanafanana tu

Inaonyesha namna gani ulivyo na logic ndogo mbaba mzima na ndevu zako unakalishwa na kitoto cha kike cha Kenya kinakupa tuition halafu unaleta mada cha kibinti hicho jf kisima cha great thinkers tuijadili kauli yake

No wonder alikuwa anazungumzia aina ya watu kama wewe

Grow up boy
Hii ni moja ya comment ya "irrational" and "fallacious" thinkers
 
Inaelekea ulipo kaa wanaku enjoy. HADA SASA HIVI LOGIC YAKO HAITOSHI KUKUONYESHA KUWA KM HUYO BINTI KAWEZA ONA JINSI MLIVYO WAPUMBAVU NI WAZI MPO SEHEMU MBAYA SANA? Mimi si nawajua kila siku nawapa za uso huku mnatukana hadi inatia kinyaa. dogo alikuwa kipimo tu cha degree ya uozo wa watz.
mwenzio alivyokukandia nchi yako nawe ungemkandia tu. Maana hamna namna.
 
Sio siku nyingi sana nilibahatika kuwa na mazungumzo na binti mdogo kutoka Kenya. Binti alikuwa very smart na tuliongea mengi sana. Nikamuuliza naijuaje Tanzania? Akasema mazuri mengi. Katika mengi hayo ni mazingira na vyakula,pia akajazia beuatiful people. Any way haya ni kama mafuta tuu kwa vile huwezi ringia vitu vya asili hata wanyama pori wanaweza ringa na pengine kulaumu binadamu wa kitanzania kwa vile wanaweza kuwa hawana mchango wa wanyama katika mazingira.

Baadae nikamuuliza nii hapendi Tanzania Mtoto hakusita akasema kwa namna inaonyesha yupo very honest kwenye hili "I DON`T LIKE THEIR LOGIC" . Sikushangaa sana, pengine ningekuwa na mtanzania mwigine Povu lingemtoka sana kuthibitisha anachosema huyu Binti mdogo. Issue ya Logic kwa watanzania ni kikwazo kikubwa sana. Jinsi wanajibu issue utapata huruma sana. Logic ndio inaleta shida Tanzania, logic ndio inaleta vita, logic ndio inasumbua katika kutunga sheria, logic ndio tatizo kwa watamzania waliosma na wasiosoma. Mbaya zaidi waliosoma ndio shida kabisa.

Wakenya hawajatupita elimu ILA WAMECHAGUA LOGIC TUU.Sisi tumechagua ILLOGIC. Ndio maana wapo rational sisi tupo Irrational. Ndio maana waomi wetu hata wasome vipi. Huishia kuwa kama mwandishi aliyejifunza lugha huku akiwa na alphabet iliyoondolewa herufi za msingi. Mbeleni hatojua kwanini mambo hayaendi.

Nasikia UN kuna kipindi walileta walimu wageni ktk idara nyeti za fikra. Na wengi walikuwa waki deal na Logic directly and indirectly.Tanzania ikiwa mojawapo. Nadhani walishajua nini shida yetu. LOGIC TUU. Kila mahali utasikia kuna walimu wagumu, kuna wazee wa chama wagumu, utasikia simba na Yanga kuna wanazi.Utasikia sheri aza kukufuru nyingi sana. Utasikia mengi sana.
Wewe na hako katoto ka Kike ni wakenya. Hauwezi kunidanganya. Kabla ya mahakama ya juu-(nyinyi mnaiita ya upeo) kutengua matokeo ya uchaguzi nilikuwa na tatizo kama lako. Nilidhani watanzania tunalo tatizo kubwa kufikiria na kutenda "illogically" leo hii ninauhakika wa kutosha kuwa sisi tuna nafuu na siku zisizo nyingi tutawapiku na kamwe hamtatukuta tena. Mtu mwenye akili anayeweza kukubali "IEBC" iendeshe uchaguzi kabla ya kufanyiwa marekebesho ya kuwasimamisha akina Ezra Chiroba hawezi akawa afikiria na kutenda logically! Ana tatizo kubwa na karibuni mtapoteza mafanikio yenu.
 
Mkuu kadri miaka inavyozidi kwenda ndivyo ambavyo kasumba ya wakenya kuwa ni bora kifikra kuliko sisi watanzania inavyozidi kutoweka.

Typical mkenya anadhani kwamba anazo akili kuliko mtanzania. Na hivi ambavyo JPM anawafungia vioo na kuwakazia mazima, ndivyo ambavyo wanazidi kukasirika.

Ukweli wa maisha ni kwamba hakuna kinachobakia kilivyo milele yote, wakenya itabidi watuvumilie kwani kizazi cha vijana wa sasa wa Tanzania na wale wa miaka michache ijayo hakitavumilia mambo ya kipuuzi kutoka kwa yoyote yule.

Rais Magufuli anafanya jambo la maana sana katika kujenga kiburi miongoni mwa vijana. Anaposema tunatakiwa tuwapelekee wazungu mitumba anamaanisha tuwe na ile jeuri ya kitanzania. Kutobabaishwa na kasumba za kuwa eti wakenya ni bora kuliko sisi.

Na miaka kadri inavyosogea wakenya wengi sana watakuwa na akili kama huyo mtoto uliyekutana nae, wakishachoka kumchora rais wetu kwenye katuni zao, wataendelea kuwa na vinyongo kama huyo dogo.

aisee kwani lazima umtaje huyo jamaa?! hapa tunazungumzia mambo ya logic bana
 
tatizo letu ni kushindwa kuziishi logic zetu huku tukiwa mabingwa wa kuzifafanua na kuzipangilia
Hilo ndilo tatizo baya kuliko yote pale Madokta na Maprofesa wetu wanapoongea uongo,waoga,wanafki na kujipendekeza twende kwenye zile tafiti za mashirika ya UN,ndio dunia inavyotujua matajiri maskini tunamatatizo sana vichwani mwetu.
 
Wakenya ,waTZ wote walewale wanafanana tu

Inaonyesha namna gani ulivyo na logic ndogo mbaba mzima na ndevu zako unakalishwa na kitoto cha kike cha Kenya kinakupa tuition halafu unaleta mada cha kibinti hicho jf kisima cha great thinkers tuijadili kauli yake

No wonder alikuwa anazungumzia aina ya watu kama wewe

Grow up boy
Typical

Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
 
Sio siku nyingi sana nilibahatika kuwa na mazungumzo na binti mdogo kutoka Kenya. Binti alikuwa very smart na tuliongea mengi sana. Nikamuuliza naijuaje Tanzania? Akasema mazuri mengi. Katika mengi hayo ni mazingira na vyakula,pia akajazia beuatiful people. Any way haya ni kama mafuta tuu kwa vile huwezi ringia vitu vya asili hata wanyama pori wanaweza ringa na pengine kulaumu binadamu wa kitanzania kwa vile wanaweza kuwa hawana mchango wa wanyama katika mazingira.

Baadae nikamuuliza nii hapendi Tanzania Mtoto hakusita akasema kwa namna inaonyesha yupo very honest kwenye hili "I DON`T LIKE THEIR LOGIC" . Sikushangaa sana, pengine ningekuwa na mtanzania mwigine Povu lingemtoka sana kuthibitisha anachosema huyu Binti mdogo. Issue ya Logic kwa watanzania ni kikwazo kikubwa sana. Jinsi wanajibu issue utapata huruma sana. Logic ndio inaleta shida Tanzania, logic ndio inaleta vita, logic ndio inasumbua katika kutunga sheria, logic ndio tatizo kwa watamzania waliosma na wasiosoma. Mbaya zaidi waliosoma ndio shida kabisa.

Wakenya hawajatupita elimu ILA WAMECHAGUA LOGIC TUU.Sisi tumechagua ILLOGIC. Ndio maana wapo rational sisi tupo Irrational. Ndio maana waomi wetu hata wasome vipi. Huishia kuwa kama mwandishi aliyejifunza lugha huku akiwa na alphabet iliyoondolewa herufi za msingi. Mbeleni hatojua kwanini mambo hayaendi.

Nasikia UN kuna kipindi walileta walimu wageni ktk idara nyeti za fikra. Na wengi walikuwa waki deal na Logic directly and indirectly.Tanzania ikiwa mojawapo. Nadhani walishajua nini shida yetu. LOGIC TUU. Kila mahali utasikia kuna walimu wagumu, kuna wazee wa chama wagumu, utasikia simba na Yanga kuna wanazi.Utasikia sheri aza kukufuru nyingi sana. Utasikia mengi sana.
Kama ni kweli ulikuwa unaongea na mtoto na akakuzidi maarifa kiasi cha wewe kumwamini na kuwadharau Watanzia kiasi hiki, huenda hajakuelewa kama kweli wewe ni Mtanzania.
 
Useless wakati kinachowafanya waajiriwe sio elimu ila LOGIC YAO?Na degree zenu za akina kitila zionekane km magazeti ya uhuru kwa watz.
Kwa heshima mkuu degree ya kitila hapa sio mahali pake. Kama binadamu anamaungufu yake lakini sio kila mahali atakuwa point ya reference.
No offence given.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom