Binti anaswa akibaka kavulana

yani huyu ndo unamkuta live alafu na mwambia simama lala na wewe chini nikuonyeshe kitu unachokifanya kwa mtoto siyo mahali pake basi unaanza kumshindilia mpka nyege zote zinzmuuisha, alafu unamwambia amka twende polisi kwa kitu ulichokifanya kwa huyu mtoto
 
DAH...ANGEKUWA NI WANGU HUYO WA KIUME NINGEMUONEA WIVU SANA....kitu cha bureee!!! ninge mpa elimu ya kutumia condom!! dah..hako kabinti kapo special sana Nipeni jina lake namsubiria akikuwa na 18 yrs natangaza ndoa.
 
Sasa mtoto wa kiume mie nilijua HABAKIKI?? Maana mtoto huyo kamwezeshaje kusimaisha KAJAMBOzi kake???Dunia imekwisha sasa!!
 
Kweli dunian kuna mambo!
Mi hata sielewi huyo dada alikuwa anataka nini hapo sasa??

Inawezekana kabisa huyo dada si mzima kichwani....
 
Demu anabakaje mtoto wa kiume ? Mboo inasimamaje jamani ? Umbea , umbea . . .udaku .
 
Tunaambiwa watu wa Wizara ya Elimu wafundishe somo la mambo ya kikubwa darasani kama sehemu ya syllabus. Kipindi cha uteenage ni kigumu sana si wajuwa? Kijana mmoja alinunua hand gloves za hospitali akatamba kwamba atatumia mara kumi maana glove zina vidole 10. JKN alishasema "If you think education is expensive, try ignorance"
 
Mtoto wa kiume asibakwe kwa nn, mm mwenyewe nimecheza sana michezo hiyo na mijidada ya jirani ananifuata chekechea ananipeleka kwao anachezea tumbaku ikikubali tu anajipachika
 
source;majira
Na Masau Bwire

MSICHANA mwenye umri wa miaka 16 (jina linahifadhiwa), mkazi wa Kigogo, Luhanga, Dar es Salaam anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za 'kumbaka' mtoto wa
kiume mwenye umri wa miaka mitatu.

Msichana huyo anadaiwa kumbaka mtoto huyo mwishoni mwa wiki iliyopita ambapo alimuiba nyumbani kwao na kumpeleka kwenye pagale, nyuma ya Shule ya Msingi Kawawa.

Mama mzazi wa mtoto aliyefanyiwa unyama huo, ambaye hakutaka kutajwa jina lake alisema, wakati akifanya usafi ndani ya nyumba yake siku ya tukio saa 4 asubuhi, mtoto wake alikuwa nje akicheza na wenzake.

Alisema alipomaliza ndani alitoka nje kumchukua mwanaye huyo ili ampe kifungua kinywa, lakini hakumwona ndipo, akaanza kumtafuta zaidi ya saa nzima bila mafanikio.

Mama huyo alisema, baada ya kuhangaika kumtafuta mwanaye, akili ilimtuma kuchungulia ndani ya nyumba hiyo inayojengwa na alipofanya hivyo alikuta mwanaye amelaliwa na msichana huyo.

Alisema kuona hivyo alikwenda mbio kuita mama mwingine jirani yake ili ashuhudie kitendo anachofanyiwa mwanaye.

"Nikiwa na jirani yangu tulishuhudia msichana huyo akifanya kitendo hicho kwa mtoto wangu," alisema.

Baada ya kushuhudia yote hayo, walipiga kelele na kumkamata akiwa uchi na kumpeleka Kituo Kidogo cha Polisi Kigogo- Luhanga.

Msichana huyo alishikiliwa kwa muda katika kituo hicho kidogo cha polisi kisha akahamishiwa Kituo cha Urafiki kwa hatua zaidi za kisheria ambapo mtoto aliyebakwa akilipelekwa katika Hospitali ya Amana kupatiwa matibabu.
 
duh! Kwa nin asijiuze tu? Au ndio tuseme zilimpanda za fasta fasta?

Wanunuzi hawapo njenje, maana kina dada ukiwaomba wanadai unawaambia upumbavu ingawa wanataka, kwa hiyo jamaa wanaweza kupiga mwaka mzima anajizungusha namna ya kuanza kuomba huduma vizuri asijepigwa chini. Binti akionyesha kutaka sio sawa kwa makabila yaliyo mengi, maana kawaida dume anaanza kutasema nataka, utatungiwa nyimbo kijiji kizima usiwe na njia ya kupita bila kunyooshewa kidole kwamba unataka wanaume. Ila tena madada mizuka ikipanda ni kazi kwelikweli kuizima ukilinganisha na midume. Dada ikimfika hata akichukuwa ukili labda kujipotezea mizuka ndio kwanza inaongeza speed. Lakini mwanaume akigeuka na kuona wanaocheza mpira tayari mizuka inashuka kwa kasi. Maumbile bwana. Ndio maana wale wanangu kule unyalukoloni wanasema "Niangusage tu sambi ni sako mwenyewe"
 
Ni kweli dunia imekwisha na imepoteza hamu ya kuishi. Huyu binti aliyembaka mtoto inabidi aende lupango. Na ni vizuri tupeane feedback kuhusiana na hatima ya huyu dada mbakaji.:majani7:
 
Source: Power FM Radio
Katika kipindi cha PATAPATA leo hii asubuhi, kipindi ambacho kinarudiwa jioni kila siku saa 1.15 nimesikia simulizi ya binti mmoja mwenye umri wa miaka 16 aliyefumaniwa akikabaka kavulana kenye umri wa miaka mitatu.

Inadaiwa mama ya kavulana alishituka katoto kuyeyuka nyumbani, akakatafuta pasipo mafanikio. Baadaye akashawishiwa kuchungulia chumbani na kukuta binti wa miaka 16 akiwa kama alivyozaliwa amekalalia katoto kale. Hakufanya papara, mama yule akawaita majirania ambao walipofika wakakuta binti yuko bize. Wakakabeba kama kalivyo na kukapeleka polisi ambako wasamaria wema wakakafunika kuondoa "aibu zao"

Wachangiaji wengi walishauri kwa sms redioni kwamba binti huyo kama ameshindwa kutafuta wakubwa akamatwe na abakwe hadi kufa. Wengine wakashauri asamehewe kwa vile huenda ametumwa akafanya alivyofanya. Mtangazaji alikuwa na wakati mgumu kuzisoma sms kali zile hata akalazimika kuzisoma nusunusu akilalamika kwamba "wewe umeandika tu, lakini mimi ndiye ninayesikika hewani"


KTK nyekundu, sheria ya Tanzania inasema mtu mzima ni kuanzia miaka 18. Binti wa miaka 16 huyo bado ni mtoto. Kwa hiyo hapo ni watoto tu wamebakana na tokana na sheria hiyo hawa huwezi ukawafunga
 
Sheria za ubakaji hazitambui mwanamke/binti kubaka mbakaji huwa ni mwanaume. Sina uhakika kama vifungu vya sheria vishabadirika lo!
 
Kapewe adhabu tu movie hizi watoto wanataka kujaribu ni aibu ya aina gani kwa wazazi wake khaaaaa
 
Tunawasikia Marekani wanauana mara kwa mara kwa sababu kwao kwa sababu ya uhuru wanaolilia wanafanya kweli watoto kuiba silaha za wazazi wao na kuwatwanga nazo walimu wao na au wanafunzi wenzao wakiudhiwa, ati wanataka kulinda uhuru wao. Kumbe hizo risasi za kwenye movies sio kweli ila ni photoshopping.

Waafrika tunapenda sana kuiga, kiasi kwamba tunakuwa hovyo kuliko waigizaji wenyewe.
 
Nina imagine katoto kadogo kukandamizwa chini na msichana mdogo hivo, dunia imekwisha, mambo ya kupevuka, mwingine huku kwetu alijiingizia ndizi mbivu illikuwa patashika
 
Back
Top Bottom