Binti anaswa akibaka kavulana

Lekanjobe Kubinika

JF-Expert Member
Dec 6, 2006
3,020
577
Source: Power FM Radio
Katika kipindi cha PATAPATA leo hii asubuhi, kipindi ambacho kinarudiwa jioni kila siku saa 1.15 nimesikia simulizi ya binti mmoja mwenye umri wa miaka 16 aliyefumaniwa akikabaka kavulana kenye umri wa miaka mitatu.

Inadaiwa mama ya kavulana alishituka katoto kuyeyuka nyumbani, akakatafuta pasipo mafanikio. Baadaye akashawishiwa kuchungulia chumbani na kukuta binti wa miaka 16 akiwa kama alivyozaliwa amekalalia katoto kale. Hakufanya papara, mama yule akawaita majirania ambao walipofika wakakuta binti yuko bize. Wakakabeba kama kalivyo na kukapeleka polisi ambako wasamaria wema wakakafunika kuondoa "aibu zao"

Wachangiaji wengi walishauri kwa sms redioni kwamba binti huyo kama ameshindwa kutafuta wakubwa akamatwe na abakwe hadi kufa. Wengine wakashauri asamehewe kwa vile huenda ametumwa akafanya alivyofanya. Mtangazaji alikuwa na wakati mgumu kuzisoma sms kali zile hata akalazimika kuzisoma nusunusu akilalamika kwamba "wewe umeandika tu, lakini mimi ndiye ninayesikika hewani"
 
Mh! huyo binti alikuwa na kijela mbayaaaaaaaaa inatokea sana hiyoooo huyo tu kafumwa lkn madem wengi hufanya hivyooo
 
Iwe fundisho na chanagamoto kwa wazazi kuwapeleleza watoto wao ni nini "dada" zao wanawafaniya, maana mabinti wa kazi katika nyumba nyingi wanaitwa dada hata watoto wanaolelewa hawafahamu majina yaoo.
 
Hivi kosa la ubakaji si miaka 30 kule nyumbani kwa Babu Seya? Au hii inawahusu akina siye tu?

Kama sheria ni msumeno basi inabid hata kwenye hii issue ifanye kazi yake!!
 
mimi nina swali nani kamfunza huyu binti haya mambo kwa sababu lazima amejifunza mahali labda kuna mkubwa anamfanyia yeye sa na yeye akaona ajaribu, watafute aliyemfunza binti ili naye aende jela. ila kama kajifunza kwenye muv basi yatakuwa makubwa
 
Source: Power FM Radio
Katika kipindi cha PATAPATA leo hii asubuhi, kipindi ambacho kinarudiwa jioni kila siku saa 1.15 nimesikia simulizi ya binti mmoja mwenye umri wa miaka 16 aliyefumaniwa akikabaka kavulana kenye umri wa miaka mitatu.

Inadaiwa mama ya kavulana alishituka katoto kuyeyuka nyumbani, akakatafuta pasipo mafanikio. Baadaye akashawishiwa kuchungulia chumbani na kukuta binti wa miaka 16 akiwa kama alivyozaliwa amekalalia katoto kale. Hakufanya papara, mama yule akawaita majirania ambao walipofika wakakuta binti yuko bize. Wakakabeba kama kalivyo na kukapeleka polisi ambako wasamaria wema wakakafunika kuondoa "aibu zao"

Wachangiaji wengi walishauri kwa sms redioni kwamba binti huyo kama ameshindwa kutafuta wakubwa akamatwe na abakwe hadi kufa. Wengine wakashauri asamehewe kwa vile huenda ametumwa akafanya alivyofanya. Mtangazaji alikuwa na wakati mgumu kuzisoma sms kali zile hata akalazimika kuzisoma nusunusu akilalamika kwamba "wewe umeandika tu, lakini mimi ndiye ninayesikika hewani"
ingekua wa kiume kafanya hivyo tungesema hayo??

Usawa ni pamoja na haya

HUyo binti afunguliwe shitaka la kubaka minor na afungwe miaka inayoendana na shitaka
 
Source: Power FM Radio
Katika kipindi cha PATAPATA leo hii asubuhi, kipindi ambacho kinarudiwa jioni kila siku saa 1.15 nimesikia simulizi ya binti mmoja mwenye umri wa miaka 16 aliyefumaniwa akikabaka kavulana kenye umri wa miaka mitatu.

Inadaiwa mama ya kavulana alishituka katoto kuyeyuka nyumbani, akakatafuta pasipo mafanikio. Baadaye akashawishiwa kuchungulia chumbani na kukuta binti wa miaka 16 akiwa kama alivyozaliwa amekalalia katoto kale. Hakufanya papara, mama yule akawaita majirania ambao walipofika wakakuta binti yuko bize. Wakakabeba kama kalivyo na kukapeleka polisi ambako wasamaria wema wakakafunika kuondoa "aibu zao"

Wachangiaji wengi walishauri kwa sms redioni kwamba binti huyo kama ameshindwa kutafuta wakubwa akamatwe na abakwe hadi kufa. Wengine wakashauri asamehewe kwa vile huenda ametumwa akafanya alivyofanya. Mtangazaji alikuwa na wakati mgumu kuzisoma sms kali zile hata akalazimika kuzisoma nusunusu akilalamika kwamba "wewe umeandika tu, lakini mimi ndiye ninayesikika hewani"

Hako kabinti 16yrs kalikuwa na usongo kweli yawezekana tayari kamesha anza hata kupata siku zake.

Je kalikuwa ka house girl au katoto ka jirani???
 
mimi nina swali nani kamfunza huyu binti haya mambo kwa sababu lazima amejifunza mahali labda kuna mkubwa anamfanyia yeye sa na yeye akaona ajaribu, watafute aliyemfunza binti ili naye aende jela. ila kama kajifunza kwenye muv basi yatakuwa makubwa

Atakuwa amejifunza kupitia kwa wazazi wake unakuta wazazi wamepanga room 1 wanaishi na watoto wao humo humo wazazi wakipatwa na kiu wanategea watoto wamelala kisha wanaanza kujiexpress kumbe sometimes watoto wanakuwa hawajalala wapo macho wanajifanya wamelala wanaanza kula chabo kupitia kufua shuka kisailensa
 
Hako kabinti 16yrs kalikuwa na usongo kweli yawezekana tayari kamesha anza hata kupata siku zake.

Je kalikuwa ka house girl au katoto ka jirani???

Siku hizi ndugu yangu utakuta katoto ka miaka 9 kanaboyfriend kwa hiyo miaka 16 mi sishangai maana dunia ya leo sio ile ya Mwl. na tunakoelekea hata SODOMA NA GOMOLA hawakufikia
 
Huyo atakua aliangalia movie za ngono somewhere, akashawishika kufanya! na bahati nzuri alimpata mtoto maana angekutana na kijeba angekua anabakwa yeye! lakini sheria ni sheria tu..
 
Siku hizi ndugu yangu utakuta katoto ka miaka 9 kanaboyfriend kwa hiyo miaka 16 mi sishangai maana dunia ya leo sio ile ya Mwl. na tunakoelekea hata SODOMA NA GOMOLA hawakufikia

Inasikitisha kuna jamaa angu alikuwa na uhusiano na dada mmoja kuna siku alienda kwa yule dada akamkosa akamkuta mdogo wake wa kika ana umri wa miaka 14 jamaa akaomba mzigo kale katoto kakakubalia jamaa anadai alishangaa kuona yule binti anajua mchezo kuliko dada mtu
 
Dunia hii imepoteza umaarufu wake, Dunia hii imepoteza hamu ya kuishi, Watu wengi wameiharibu dunia hii kwa matendo yao.
 
Inasikitisha kuna jamaa angu alikuwa na uhusiano na dada mmoja kuna siku alienda kwa yule dada akamkosa akamkuta mdogo wake wa kika ana umri wa miaka 14 jamaa akaomba mzigo kale katoto kakakubalia jamaa anadai alishangaa kuona yule binti anajua mchezo kuliko dada mtu

Fidel,

Huyo binti lazima atakuwa ndo kaingia form 1....Mweleze jamaa yako aogope sana uniform...zitamfikisha pabaya!
 
Back
Top Bottom