Binti aliyepo chuo dar

JUNE John

New Member
Apr 8, 2011
3
0
Mimi ni mwanaume miaka 33. Natafuta rafiki wa kike awe mwanachuo, awe serious kwenye masomo na maisha kwa ujumbe. Lengo ni kuwa na urafiki wa kawaida, tufahamiane, tusaidiane. Huhusu sifa zangu, ani PM huko ndiko tutajadiliana zaidi sifa zake na za kwangu pia, tutaelezana ukweli ndipo tuone kama tunafaa kuwa marafiki wa kweli.

Karibuni sana
 
mmhh i was abt to pm u ...ohh so sad cz m nt univ gal..:disapointed::disapointed:
bas bwana
ngoja wale mamiss lekcha ...bt expect DRAMA.
 
if kila mwanaume atakuwa kama mleta sredi basi ukitoka chuo na bikira utakufa nayo.
 
rose mbona wanitisha. ukweli ni kuwa awe tayari kupima. Kama hayupo chuo basi awe amehitimu walau form six, awe na kazi, ila awe na muda wa kutosha. maana mie nahitaji mtu wenye muda wa kutosha. Maana mambo mazuri yanahitaji nafasi. Ndio my preference
 
wanachuo wakipewa wosia wa baba, wanaweza kutulia, maana natafuta mtu awe busy na shule(kitu muhimu maishani) lakini pia awe na muda wa kutisha kuwa nami. Si muda wote but awe na muda walau mnakutana two times a week siyo mbaya.
 
mh si kweli wanachuo haohao ndio wanaoongoza kwa mambu ya ufedhuri!
wanachuo wakipewa wosia wa baba, wanaweza kutulia, maana natafuta mtu awe busy na shule(kitu muhimu maishani) lakini pia awe na muda wa kutisha kuwa nami. Si muda wote but awe na muda walau mnakutana two times a week siyo mbaya.
 
Kuna watu wanapenda sana kujilipua,sasa wasichana wa chuo wa nini?Utawaweza weye au wataka shinikizo la damu.kabooooom!!Jilipue kaka
 
rose mbona wanitisha. ukweli ni kuwa awe tayari kupima. Kama hayupo chuo basi awe amehitimu walau form six, awe na kazi, ila awe na muda wa kutosha. maana mie nahitaji mtu wenye muda wa kutosha. Maana mambo mazuri yanahitaji nafasi. Ndio my preference



sikutish
ila tu umeandika as if wataka mademu wale wa blok A,B C WA MABIBO HOSTEL AU WALE WA HALL 3,WA cbe...
ungeandika iv nataka rafik wa kike
awe kaptia chuo au at list form6
tuwe frends ikieleweka tuanze mahusiano...awe tayar kupima...

mimi nilitaka kukupm lakin nimeishia form 4..lait km ungesema unatakla msichana aliye singo tuwe frends ikiwezekana tufanye kweli..
awe mkweli na msafi wa tabia...awe tayar kupima


umesema we una muda sana na unataka aliye na mda ..sasa lekcha ataenda sangap jaman km 24 7 utakuwa nae?

poa ...ukimpata tuambiane braza au vp swahiba wangu??:love:
 
Kila la heri mkuu, lakini kwa nini mwanachuo tu??


na inaonekana yeye kapitia chuo sasa anataka wanawake wa chuo?
we ujui walivyo?
au unataka folen kaka?ukitaka utapangshwa sana na uwe tayar kuwa TILDO NO 2.,utakuwa tax driver..
 
Jamani mi form iv nitaingia chuo baada ya miaka miwili. Utanisubiri eeeeeeeeehh!
 
Jamani
Ningependa kuku PM
lakini mi nilisoma shule za kata
elemu yangu stnd 7.,
 
Muombe Mungu sana Rafiki mzuri au mke mzuri achaguliwi kama mafungu ya nyanya au karoti..............haya ,mambo Muombe mungu akupe rafiki wa kweli au wa chuo, Bar,mama ntilie,askari,Nesi ,Dr, na si kuchagua kama mafungu ya Bilinganya.
 
Sawa mkuu, hata mimi nilikuwa natafuta mtu kama wewe.
Mi vigezo ninavyo. Kwa hio we ingia PM tu fasta fasta, tuanze mipango.
Una pesa ya kutosha lakini, manake mi hata bodi hainiangaliaga.
 
Back
Top Bottom