Binti akiri kutembea na wanaume 5,000

ha ha ha ha! Madam..kuna binti wa waziri fulani hivi anamiliki bendi ya muziki nilimuuliza ana wanaume wangapi akanambia mbaka muda huo alikua nao 62 na alinihesabia..

huyo waziri ni Prof kutoka kanda ya ziwa simsikii sikuhizi na bendi yake imefulia..umenchekesha

mbaka ndo nini?
 
Eeeeeh mi Gongeo linawasha hapa manake nisha kimbiwa na yf kisa hili gongeo langu!
Angenifaa sn huyu!
 
Miaka 26 x 365 = siku 9,490
Amefanya mapenzi na wanaume 5,000. Kwa wastani toka siku ya kwanza azaliwe kila baada ya siku 1.9 amefanya mapenzi na mwanaume 1(kama sijakosea)
Huyu kiboko...
Hesabu zako zinaonyesha amefanya ngono tangu mwaka wa kwanza aliozaliwa...! Hadi shule ya vidudu.. duh!
 
Jee sisi wanaume ni wanawake wangapi tumetembea nao?kuna jamaa live alikua anagonga 3 kwa siku,wakipangana dar- chalinze wanafika
 
Toa maoni yako...........View attachment 56231


Inawezekana kabisa! Kwa hesabu ukiondowa siku 6 za hedhi kila mwaka anabakiwa na siku kama 2592. Kwa idadi ya wawili kila siku bado anadaiwa watu kama 180 hivi.
Tuwe wakweli, wale dada zetu wanaojiuza tujalie wako kwenye umri huo wa kuanzia miaka 17 hadi hiyo 26 hawafanyi biashara kama hiyo?
 
Haiwezekani kabisa anatafuta umaarufu tu!!
NATA labda alijumlisha na wale aliowahi kucheza nao baba na mama utotoni........ na hizi familia zetu kuhama hama inategemea kipindi cha utoto wake walihama hama mitaa mingapi, kama ukijulisha watoto aliowahi kuchea=za nao michezo ya baba na mama basi anaweza kupata nusu ya idadi hiyo, na baada ya kuvunja ungo akatembea na nusu yake.......... je hawezi kufikisha idadi hiyo?
 
Last edited by a moderator:
katika huu msafara wa mamba na kenge walikuwepo bila shaka
Nimeishia kucheka peke yangu tu......haya maandamano huwa wanatembea kimya kimya hakuna anyemsemesha mwenzie na wala hawafahamiani
 
HIZI RANGI ZINA LAANA...............YANGA..............CCM

url
 
huyu anapepo la ngono. pili kwa hili wala siajabu ila bongo watu hawaweki record lakini ninaimani kunwatu walishazidi kwa huyu ndani ya muda kama huu kwa mfano wale wa uwanja wa fisi si balaa zaidi ya huyu?
 
NATA labda alijumlisha na wale aliowahi kucheza nao baba na mama utotoni........ na hizi familia zetu kuhama hama inategemea kipindi cha utoto wake walihama hama mitaa mingapi, kama ukijulisha watoto aliowahi kuchea=za nao michezo ya baba na mama basi anaweza kupata nusu ya idadi hiyo, na baada ya kuvunja ungo akatembea na nusu yake.......... je hawezi kufikisha idadi hiyo?

Haiwezekani hata kidogo!
5000? au alitamka 50 wandishi wetu wamekuza.
Hata ahame mitaa kila siku hawezi fikisha idadi hiyo.

Kwanza wa TZ wengi especially wanawake wabovu wa mahesabu.
 
Back
Top Bottom