Binti akiri kutembea na wanaume 5,000

Miaka 26 x 365 = siku 9,490
Amefanya mapenzi na wanaume 5,000. Kwa wastani toka siku ya kwanza azaliwe kila baada ya siku 1.9 amefanya mapenzi na mwanaume 1(kama sijakosea)
Huyu kiboko...

be realistic and assume she started at 15. sex parties are also a possible explanation, 1 woman getting banged by 7+ men, u'll easily reach thousands if done continously


Toa maoni yako...........View attachment 56231
professional wh0re.
 
Inabidi muamini jamani kuna wanawake wanaachia vibaya,inafikia mahali hawezi kupata usingizi mpaka mkononi awe ameshikilia ze-dudu au angalau umuwekee puani tu asikie harufu yake.
huyu exceptional case! anataka umaarufu

Mungu amrehemu na yeye anatarajia kulea watoto baadae?
ungesema hivi angekuwa ni mwanaume aliyegonga wadada 5k?
 
muongo hyo kwan ni ngum kuweka record labda tukague register book kama anayo ndio 2tapata ukweli
 
ha ha ha ha! Madam..kuna binti wa waziri fulani hivi anamiliki bendi ya muziki nilimuuliza ana wanaume wangapi akanambia mbaka muda huo alikua nao 62 na alinihesabia..

huyo waziri ni Prof kutoka kanda ya ziwa simsikii sikuhizi na bendi yake imefulia..umenchekesha

kwani anatoka kanda ya ziwa au tbr?
 
hiyo mbunye yake itakuwa imechakaa kama tambala la deki!wanaomla wanamla gizani,wakiiona kabla ya tendo watatoka nduki!haaaa!haaaa!haaa
 
Kama angekuwa Tanzania; Wahaya wangekuwa wamepita 2000, , Wachaga 1000, Wangoni 1000, Wasukuma 500, Wazaramo, 400. Idadi iliyobaki wengineo
 
Jamani tuache kukurupuka.
1. Mdada alisema hakuwani kumrudia mtu zaidi ya mara mbili.
2. Hakuwa anakaa katika mji mmoja zaidi ya siku moja.
3. Watu elfu tano (5000) ni tangu akiwa na miaka 13 (ana miaka 26). Kimahesabu 26-13=13. 13*365=4745. Hivyo miaka 13 in siku 4745 kwa hiyo ukitoa na siku mto umefurika utakuta kwa siku alikuwa angalau anat*mbw@ na wanaume wawili tu. Ni watu wachache sana. Hebu ongeeni na machangu wa Dar halafu waaambie wanat*mbw@ na wanaume wangapi kwa usiku mmoja tu.
4. Mdada nimempenda sana maisha mafupi sana haya, You a supposed to maximise your pleasure. Kwa wanywaji wa pombe (eg beer) unachupa ngapi tangu umeanza kunywa?
5. Think loud and outside the Box.

Bazazi ni Bazazi!
 
inawezekana kunawanawake niwachafu na wanapepo wa ngono inawezekana nilishawahi ona mmoja kwa siku anawatano kuanzia kunapokucha saa1 hadi 4, 4 hadi 7, 8hadi 10, 12 hadi 3 usiku na nakuwa na mwingine wakati wa usiku mpaka asubuhi. na hii ilikuwa kama ratiba yake kila mwanaume alikuwa anazamisha na yeye hakuwa na haya alikuwa anaona fahari kabisa
 
Miaka 26 x 365 = siku 9,490
Amefanya mapenzi na wanaume 5,000. Kwa wastani toka siku ya kwanza azaliwe kila baada ya siku 1.9 amefanya mapenzi na mwanaume 1(kama sijakosea).Huyu kiboko...
Amesemaa alianza kutembea nao akiwa na umri wa miaka 16 na sasa ana miaka 26, i.e. hao 5000 ni kwa miaka 10, ambao ni wanaume 500 kwa mwaka. Kwa hivyo hawafiki hata wanaume wawili kwa siku. Ni kidogo sana kwa mtu anayechangamkia uroda kama yeye.
 
attachment.php
 
FL1,

Hili jambo linawezekana kabisa. Pana wakati hawa wacheza ngono walikuja hapa Warsaw ili kuvunja record ya kutembea na wanaume wengi kwa mpigo. Alishinda dada wa Kipolish kama sikosei ila idadi nimeisahau.

Wakatoliki waliandamana sana kupinga hicho kitendo kabla ya hiyo siku. Ila jamaa wana hela nzito sana hawa na waliiweka serikali chini na zoezi likaendelea.


Nikki Lee, 25, beds with 5000 men in 9 years & keeps details in notebook.

Nikki Lee, 25, beds with 5000 men in 9 years & keeps details in notebook - What's On Xiamen
1,2,3,4,5,6,7,8,9,10,11,12,13,15,16,17,18,19,20,21...........5000 napata ugumu kuamini.. Erotica wapi wewe ?

MASAHIHISHO: Record inashikiliwa na Mdada mmoja aitwaye Lisa Sparks au Lisa Sparkxxx aliyetesa na wanaume 919 kwa siku moja (masaa 24).

http://en.wikipedia.org/wiki/Lisa_Sparxxx
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom