Binti afia gesti,Kinondoni!!!

Binti mmoja leo jioni amekutwa amefariki ndani ya moja ya vyumba vya gesti moja iitwayo Mkomboni maeneo ya kinondoni mkwajuni,tukio hilo lilitokea baada ya wahudumu wa gesti hiyo kuona mwanaume ambaye aliingia na huyo binti anachelewa kurudi,toka aliposema anaenda kumchukulia chakula mpenzi wake,ndipo walipokutana na maiti hiyo ikiwa imelala kitandani,na mkoba wake ukiwa hauna kitu zaidi ya kitambulisho cha chuo,sikufanikiwa kujua ni wa chuo gani wala jina lake marehemu.maiti imechukuliwa na polisi kwa uchunguzi zaidi.View attachment 23721

Wanavyuo ndio wateja wakubwa wa Guest House!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
RIP

But ningependa kuwaasa kizazi cha sasa (wale ambao bado mnatongozwa) Si kila mtongozaji anania njema na wewe.........wengine vibaka, wengine washirikina wametumwa nyweke ya mwanamke ili wapate utajiri, wengine maserial kilaz so be careful
Mjukuu hivi kuna umri ukifika hutongozwi tena?
 
RIP!!! Asante MJ1 one kwa ushauri mzuri sana!!
Jamani jamani. Mi naongeza likizo tu!!
 
Can't think of the motive behind....but surely sio wizi!
 
Msiwe na haki kupita kiasi!!!!!!!

yes, no body should judge her, kwa kuwa hata majority ya watu humu bado mko kwenye game hii, it could happen to anyone, hata nyie wanaume pia.
 
Au uaikute ni boyfriend wake wa zamani alimkataa akamwita waongee demu akasisitiza yeye hamwitaji tena jamaa akaona ammalize kabisa. maskini RIP mrembo
 
Duh!!
hii kitu imeniacha nywele zimesimama.........Inauma sana!
RIP mwanachuo.
Enyi watongozwaji, kuweni makini, watongozaji hawana maana hawa!!
heri yangu mimi niliyetongoza zamani, sasa sihitaji kutongoza tena, naulizia tu!
 
Binti mmoja leo jioni amekutwa amefariki ndani ya moja ya vyumba vya gesti moja iitwayo Mkomboni maeneo ya kinondoni mkwajuni,tukio hilo lilitokea baada ya wahudumu wa gesti hiyo kuona mwanaume ambaye aliingia na huyo binti anachelewa kurudi...........

Natumai ulimaanisha jana jioni....
 
Poor girl! Kuna sababu ya kuwa na sheria ya kuwalazimisha wenye kuendesha public business kuwa na security camera hii itawezesha kutrace back nani waliingia ktka maeneo hayo na kutoka. Na kama hiyo guest haikuware-gister hao wateja basi nayo ipate fundisho (kisheria). Kina dada pole pole jamani nowadays kuna mapepo ya kila aina.

Incident kama hiyo ilitokea years back pale Arusha Eland Hotels. Ktk issue hiyo jamaa alikwenda na mwanamke tena yasemekana huyo mwanamke alitokea DAR akauwawa kikatili jamaa akatoka kwenda kunywa chai (kabla aliwazuia wahudumu wasifanye usafi) to-date sijua hata kama alikamatwa!
 
Mjukuu hivi kuna umri ukifika hutongozwi tena?
Asee Kimey, we subiri bana, ukishatoka House na kuingia Home utajua tu!!
Wakubwa hawatongozani. Ishia hapo hapo. then Upgrade status yako fasta.
 
wakome nao hawa watoto wa shule baada ya kwenda kusoma kutwqa wanafanya uzinifu...usikute kanunuliwa blackberry halafu jamaa limefuma message za facebook..sijui lavu yoo sijui nini ...aisee nakuchomoa roho
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom