Bingwa Wa msimu huu anapata kiasi Gani Kutoka Mdhamini mkuu Wa Ligi ya NBC?

Linguistic

JF-Expert Member
Mar 16, 2021
3,671
8,238
Wakuu Habari ya Jumapili.
.
Naomba Kujua kwamba ni Kiasi Gani Bingwa Wa Msimu Huu atakipata Kutoka Kwa Mdhamini Mkuu Wa Ligi.
.
Nimeamgalia Hivi orodha ya fedha atakayoipta Yanga kama Atakuwa Bingwa Wa Msimu Huu sioni fedha atakayoipta Kutoka NBC.

Screenshot_20220522-104322.jpg
 
Wakuu Habari ya Jumapili.
.
Naomba Kujua kwamba ni Kiasi Gani Bingwa Wa Msimu Huu atakipata Kutoka Kwa Mdhamini Mkuu Wa Ligi.
.
Nimeamgalia Hivi orodha ya fedha atakayoipta Yanga kama Atakuwa Bingwa Wa Msimu Huu sioni fedha atakayoipta Kutoka NBC.

View attachment 2234031
Wataweka wazi hivi karibuni kuna wachawi wazee wa moto wanaweza kutuma chuma ulete wakaziiba
 
Natamani kuona kiasi kikubwa cha huu mkwanja kikipelekwa kwenye ujenzi wa uwanja wa timu, badala ya kutumia pesa zote kwenye matumizi yasiyo na manufaa ya muda mrefu kwa timu. Mfano kufanya usajili wa 10%, kupeleka timu nje ya nchi wakati wa Pre season, nk.
 
Nasikia Bingwa mwaka anakula m.500 Kutoka Nbc
 
Natamani kuona kiasi kikubwa cha huu mkwanja kikipelekwa kwenye ujenzi wa uwanja wa timu, badala ya kutumia pesa zote kwenye matumizi yasiyo na manufaa ya muda mrefu kwa timu. Mfano kufanya usajili wa 10%, kupeleka timu nje ya nchi wakati wa Pre season, nk.
Uko sawa kabisa naungana nawe 100%. Japo sidhani kama tamanio hili na viongozi wetu wanalo.
 
Hizi timu mbili za simba na Yanga viongozi wake wana ujinga mwingi sana. Mara nyingi huwekeza kwenye mafanikio ya kutwaa ubingwa wa ligi kuu!
Ukija kwenye uwekezaji wa viwanja vyao vya michezo, hostel, vyombo vya habari kwa ajili ya kujitangaza, nk unakuta wanapiga piga tu chenga!

Haiwezekani timu ndogo kama Ihefu, Geita Gold, Gwambina, Namungo, Mtibwa Sugar, Ruvu Shooting, nk. Achilia mbali Azam! Zinamiliki viwanja vyao. Lakini Simba na Yanga tangu zianzishwe miaka ya 1930's, mpaka leo hawana viwanja vya kueleweka! Jambo hili halikubaliki hata kidogo.
 
Mkuu Uetezi wako ungeanzia Kwa kuwaneemesha walizoziingiza Kwanza.
.
Maana bila ya wao mgao huo usingefika Jangwani ni maoni ya kutetea wachezaji wetu NAO wanufaike na baadae wawe na maisha mazuri kama TIMU zilivyo ⚽👍🏼
 
Hizi timu mbili za simba na Yanga viongozi wake wana ujinga mwingi sana. Mara nyingi huwekeza kwenye mafanikio ya kutwaa ubingwa wa ligi kuu!
Ukija kwenye uwekezaji wa viwanja vyao vya michezo, hostel, vyombo vya habari kwa ajili ya kujitangaza, nk unakuta wanapiga piga tu chenga!

Haiwezekani timu ndogo kama Ihefu, Geita Gold, Gwambina, Namungo, Mtibwa Sugar, Ruvu Shooting, nk. Achilia mbali Azam! Zinamiliki viwanja vyao. Lakini Simba na Yanga tangu zianzishwe miaka ya 1930's, mpaka leo hawana viwanja vya kueleweka! Jambo hili halikubaliki hata kidogo.
Kaka, simba na yanga ni miradi ya watu hiyo, ndo maana unaona hazipigi hatua kimaendeleo.
Kuna watu wanazitegemea hizo timu kuendesha maisha yao ya kila siku, wengine kuendeleza biashara zao n.k.
Zikiwa na viwanja vyao wale wanao wakodishia viwanja vya kufanyia mazoezi watakosa pesa, kumbuka wanalipia viwanja hivyo kila siku wanapovitumia.
Pia zikiwa na viwanja vyao vya kuchezea mechi kuna baadhi ya vikundi vitakosa mapato.
Hivyo wapo wanaopiga vita timu hizo zisiwe na viwanja kwa maslahi yao binafsi.
 
Hizi timu mbili za simba na Yanga viongozi wake wana ujinga mwingi sana. Mara nyingi huwekeza kwenye mafanikio ya kutwaa ubingwa wa ligi kuu!
Ukija kwenye uwekezaji wa viwanja vyao vya michezo, hostel, vyombo vya habari kwa ajili ya kujitangaza, nk unakuta wanapiga piga tu chenga!

Haiwezekani timu ndogo kama Ihefu, Geita Gold, Gwambina, Namungo, Mtibwa Sugar, Ruvu Shooting, nk. Achilia mbali Azam! Zinamiliki viwanja vyao. Lakini Simba na Yanga tangu zianzishwe miaka ya 1930's, mpaka leo hawana viwanja vya kueleweka! Jambo hili halikubaliki hata kidogo.
Hizi timu zimejaa waganga njaa wengi.
 
Back
Top Bottom