Binadamu wa kwanza kuzaliwa na kuua

Steven mushi mushi

JF-Expert Member
Jul 25, 2016
533
737
3f0a8d625e7eb4cf29100f87e9066697.jpg

Ukiachana na wanasayansi wanaotudanganya kila kukicha juu ya chimbuko la binadamu neno la Mungu linatueleza kwa kinagaubaga chimbuko la binadamu pamoja na viumbe hai wengine namna walivyoumbwa na mwenyezi Mungu kwa hiyo viumbe hai vyote na visivyo hai vimeumbwa na mwenyezi Mungu.

Hebu leo basi tuangalie juu ya binadamu wa kwanza kabisa kuzaliwa na kuua. kadiri ya kitabu cha mwanzo (Bibilia) katika agano la kale baada ya Adam na mkewe Hawa kula tunda la kati walilokatazwa na Mungu, Mungu aliwatoa katika bustani ya Eden na kuwaamuru wakazae ili waijaze dunia.

Katika kitabu cha mwanzo kinaeleza baada ya Adam na Hawa kufukuzwa kwenye bustani ya Eden, Adam akamjua mkewe na wakapata mtoto wa kwanza KAINI na baadaye wakazaa mtoto mwingine kwa jina HABILI ambao hawa ndo wana wa kwanza wa Adam na Hawa na hawa Kaini na Habili walitunza imani yao kwa Mungu wakamtolea sadaka.

Habili alitoa sadaka yake kwa Mungu katika wanyama bora wa kundi lake akiwa na hali ya unyenyekevu na imani naye Mungu akampokea. Tabia ya Kaini ilikuwa ya kiburi bila ya kumcha Mungu, kwa hiyo Mungu alimkataa (mwanzo 4:1-5, soma ebr 11:4, 1yoh 3:12). Tabia na maisha ya watoaji wa sadaka ina maana kuliko vitu wanavyovitoa, kwa hiyo Mungu alimwambia Kaini kuwa akitaka Mungu ampokee angepaswa kushinda dhambi iliyokuwa ikitaka kumwangamiza. Dhambi hiyo ilikuwa kama mnyama wa mwitu ajikunjaye na kuotea mlangoni ili aweze kumshambulia mtu akitoka nje (mwanzo 4:6-7). Kaini hakushinda dhambi yake na katika hasira na wivu alimuua nduguye Habili.

Tendo lake la kutwaa uzima na ndugu yake ilidai kisasi kwa Mungu aliyetoa uhai ule, kwa hiyo Mungu alimfukuza Kaini aende mbali na mahali walipoishi watu wengine. Ingawa Kaini alidumu katika hali ya kutotubu Mungu katika huruma yake kubwa alimlinda asiuwawe kwa kisasi (mwanzo 4:8-16). Kwa hiyo katika maandiko matakatifu KAINI ndiye binadamu wa kwanza kuzaliwa na kuua baada ya kumuua nduguye HABILI.

God bless you
 
Uachane na wanasayansi udili na neno la mungu ambalo limeeleza kinagaubaga .
Unaonyesha ni jinsi gani ulivyo kilaza wa kufikiri
 
Huu uongo umeutoa wapi?...Mungu gani sadistic anaekula sadaka ya kumchomea mnyama?

Yaani mnataka kutuaminisha Mungu ana njaa kali ya kula kamnyama alikokaumba eti ndio sadaka?

Hebu acheni kumshusha mungu kiasi hicho...mungu hana njaa ya kula wanyama...Mungu sio jini asubiri mchinjie mnyama.

Yaani wanadamu tuna-imagine vitu,tunamsingizia mungu vitu vingi,Na siku anatokea anakana huu uongo wote sijui mtasemaje.

Vitu vyote binadamu anavyoongelea about God ni fabrications mostly,inaweza isiwe vyote ila sio vyote vya kweli ya kwelini,hapa kwenye fabrication ndio tatizo
 
3f0a8d625e7eb4cf29100f87e9066697.jpg

Ukiachana na wanasayansi wanaotudanganya kila kukicha juu ya chimbuko la binadamu neno la Mungu linatueleza kwa kinagaubaga chimbuko la binadamu pamoja na viumbe hai wengine namna walivyoumbwa na mwenyezi Mungu kwa hiyo viumbe hai vyote na visivyo hai vimeumbwa na mwenyezi Mungu.

Hebu leo basi tuangalie juu ya binadamu wa kwanza kabisa kuzaliwa na kuua. kadiri ya kitabu cha mwanzo (Bibilia) katika agano la kale baada ya Adam na mkewe Hawa kula tunda la kati walilokatazwa na Mungu, Mungu aliwatoa katika bustani ya Eden na kuwaamuru wakazae ili waijaze dunia.

Katika kitabu cha mwanzo kinaeleza baada ya Adam na Hawa kufukuzwa kwenye bustani ya Eden, Adam akamjua mkewe na wakapata mtoto wa kwanza KAINI na baadaye wakazaa mtoto mwingine kwa jina HABILI ambao hawa ndo wana wa kwanza wa Adam na Hawa na hawa Kaini na Habili walitunza imani yao kwa Mungu wakamtolea sadaka.

Habili alitoa sadaka yake kwa Mungu katika wanyama bora wa kundi lake akiwa na hali ya unyenyekevu na imani naye Mungu akampokea. Tabia ya Kaini ilikuwa ya kiburi bila ya kumcha Mungu, kwa hiyo Mungu alimkataa (mwanzo 4:1-5, soma ebr 11:4, 1yoh 3:12). Tabia na maisha ya watoaji wa sadaka ina maana kuliko vitu wanavyovitoa, kwa hiyo Mungu alimwambia Kaini kuwa akitaka Mungu ampokee angepaswa kushinda dhambi iliyokuwa ikitaka kumwangamiza. Dhambi hiyo ilikuwa kama mnyama wa mwitu ajikunjaye na kuotea mlangoni ili aweze kumshambulia mtu akitoka nje (mwanzo 4:6-7). Kaini hakushinda dhambi yake na katika hasira na wivu alimuua nduguye Habili.

Tendo lake la kutwaa uzima na ndugu yake ilidai kisasi kwa Mungu aliyetoa uhai ule, kwa hiyo Mungu alimfukuza Kaini aende mbali na mahali walipoishi watu wengine. Ingawa Kaini alidumu katika hali ya kutotubu Mungu katika huruma yake kubwa alimlinda asiuwawe kwa kisasi (mwanzo 4:8-16). Kwa hiyo katika maandiko matakatifu KAINI ndiye binadamu wa kwanza kuzaliwa na kuua baada ya kumuua nduguye HABILI.

God bless you

HAKUNA NA HAKUJAWAHI NA HAKUTAKUJA KUWA NA MUNGU!.HAKUNA MUNGU MWENYE DOUBLE STANDARDS,Kwamba atoe adhabu wakati anajua kabisa kwamba hawa watakosa na anajua hilo hata kabla hajawaumba

.....Free ideas....
 
3f0a8d625e7eb4cf29100f87e9066697.jpg

Ukiachana na wanasayansi wanaotudanganya kila kukicha juu ya chimbuko la binadamu neno la Mungu linatueleza kwa kinagaubaga chimbuko la binadamu pamoja na viumbe hai wengine namna walivyoumbwa na mwenyezi Mungu kwa hiyo viumbe hai vyote na visivyo hai vimeumbwa na mwenyezi Mungu.

Hebu leo basi tuangalie juu ya binadamu wa kwanza kabisa kuzaliwa na kuua. kadiri ya kitabu cha mwanzo (Bibilia) katika agano la kale baada ya Adam na mkewe Hawa kula tunda la kati walilokatazwa na Mungu, Mungu aliwatoa katika bustani ya Eden na kuwaamuru wakazae ili waijaze dunia.

Katika kitabu cha mwanzo kinaeleza baada ya Adam na Hawa kufukuzwa kwenye bustani ya Eden, Adam akamjua mkewe na wakapata mtoto wa kwanza KAINI na baadaye wakazaa mtoto mwingine kwa jina HABILI ambao hawa ndo wana wa kwanza wa Adam na Hawa na hawa Kaini na Habili walitunza imani yao kwa Mungu wakamtolea sadaka.

Habili alitoa sadaka yake kwa Mungu katika wanyama bora wa kundi lake akiwa na hali ya unyenyekevu na imani naye Mungu akampokea. Tabia ya Kaini ilikuwa ya kiburi bila ya kumcha Mungu, kwa hiyo Mungu alimkataa (mwanzo 4:1-5, soma ebr 11:4, 1yoh 3:12). Tabia na maisha ya watoaji wa sadaka ina maana kuliko vitu wanavyovitoa, kwa hiyo Mungu alimwambia Kaini kuwa akitaka Mungu ampokee angepaswa kushinda dhambi iliyokuwa ikitaka kumwangamiza. Dhambi hiyo ilikuwa kama mnyama wa mwitu ajikunjaye na kuotea mlangoni ili aweze kumshambulia mtu akitoka nje (mwanzo 4:6-7). Kaini hakushinda dhambi yake na katika hasira na wivu alimuua nduguye Habili.

Tendo lake la kutwaa uzima na ndugu yake ilidai kisasi kwa Mungu aliyetoa uhai ule, kwa hiyo Mungu alimfukuza Kaini aende mbali na mahali walipoishi watu wengine. Ingawa Kaini alidumu katika hali ya kutotubu Mungu katika huruma yake kubwa alimlinda asiuwawe kwa kisasi (mwanzo 4:8-16). Kwa hiyo katika maandiko matakatifu KAINI ndiye binadamu wa kwanza kuzaliwa na kuua baada ya kumuua nduguye HABILI.

God bless you

Ngoja nikueleze kitu kimoja ambacho ulikuwa hukijui labda na pia itategemea na akili na uwezo wako wa kufkiri. Ni hivi.

MUNGU ; Alipowaumba ADAM NA MKEWE aliwapa watoto wawili asubuhi na wawili jioni, kwa upeo wako ulivyo mdogo unaweza kuuliza mtu atazaaje asubuhi na jioni...?. Kwa MUNGU hilo ni jambo dogo tu kumbuka pia watu wa zamani si kama tulivyo sisi walikuwa tofauti sana na staki niende sana huko acha ni-stick kwenye mada yako.

Watoto waliozaliwa asubuhi ilikuwa hawaruhusiwi kuoana, isipokuwa wale wa jioni ndio ruksa kuoana nikimaanisha kwamba ; Asubuhi walipatikana mtoto we kike na wa kiume ambao hawakutakiwa kuoana na jioni hivyohivyo wawili, sasa huyu wa kiume wa asubuhi alitakiwa kumuoa wa kike wa jioni na vice-versa, hivyo kulikuwa na KABIL NA HABIL.

HABIL alikuwa ni mwenye sura nzuri ila dadake alikuwa ni mwenye sura mbaya na KABIL alikuwa na sura mbaya ila dada'ke alikuwa ni mzuri wa sura.

HABIL akamwambia itabidi nimuoe dada'ko na wee umuoe dada'ngu HABIL anamwambia KABIL mwenye sura mbaya KABIL akakataa katakata siwezi kukupa dada'ngu ana sura nzuri kisha unipe dada'ko mwenye sura mbaya. Huyu ntamuoa mwenyewe na wee muoe dada'ko mwenye sura mbaya.

HABIL akamwambia sheria haituruhusu mutants hivyo ni HARAM tutatenda dhambi, KABIL hakutaka kuelewa hata kidogo na ugomvi ukaanzia hapo ndipo KABIL akafkia hatua ya kumuua nduguye sababu ilikuwa ni mwanamke, sasa wee hukutueleza sababu ya Luis ilikuwa ni nini labda...?.

Ahsanta.
 
Huyu kijana kalewa dini ndio maana anaandika upumbavu

Mkuu hizi dini zina profound effect on people...ukicheck ni naive move ya mwanadamu kutafuta msaada wa asichokijua,ni uoga na mahangaiko..

Tatizo ni pale anapotumia speculations kumuelezea huyu Mungu,Mungu mwenyewe in actual sense hajaongea chochote from the begining to this day..stori za Musa kuongea na Mungu ni vitu vya kutilia mashaka,zina ukweli?Source wa hii stori ni nani,Musa?Ni mwanadamu huyu,ana mapungufu yote ya kibinadamu.
 
3f0a8d625e7eb4cf29100f87e9066697.jpg

Ukiachana na wanasayansi wanaotudanganya kila kukicha juu ya chimbuko la binadamu neno la Mungu linatueleza kwa kinagaubaga chimbuko la binadamu pamoja na viumbe hai wengine namna walivyoumbwa na mwenyezi Mungu kwa hiyo viumbe hai vyote na visivyo hai vimeumbwa na mwenyezi Mungu.

Hebu leo basi tuangalie juu ya binadamu wa kwanza kabisa kuzaliwa na kuua. kadiri ya kitabu cha mwanzo (Bibilia) katika agano la kale baada ya Adam na mkewe Hawa kula tunda la kati walilokatazwa na Mungu, Mungu aliwatoa katika bustani ya Eden na kuwaamuru wakazae ili waijaze dunia.

Katika kitabu cha mwanzo kinaeleza baada ya Adam na Hawa kufukuzwa kwenye bustani ya Eden, Adam akamjua mkewe na wakapata mtoto wa kwanza KAINI na baadaye wakazaa mtoto mwingine kwa jina HABILI ambao hawa ndo wana wa kwanza wa Adam na Hawa na hawa Kaini na Habili walitunza imani yao kwa Mungu wakamtolea sadaka.

Habili alitoa sadaka yake kwa Mungu katika wanyama bora wa kundi lake akiwa na hali ya unyenyekevu na imani naye Mungu akampokea. Tabia ya Kaini ilikuwa ya kiburi bila ya kumcha Mungu, kwa hiyo Mungu alimkataa (mwanzo 4:1-5, soma ebr 11:4, 1yoh 3:12).

Tabia na maisha ya watoaji wa sadaka ina maana kuliko vitu wanavyovitoa, kwa hiyo Mungu alimwambia Kaini kuwa akitaka Mungu ampokee angepaswa kushinda dhambi iliyokuwa ikitaka kumwangamiza. Dhambi hiyo ilikuwa kama mnyama wa mwitu ajikunjaye na kuotea mlangoni ili aweze kumshambulia mtu akitoka nje (mwanzo 4:6-7). Kaini hakushinda dhambi yake na katika hasira na wivu alimuua nduguye Habili.

Tendo lake la kutwaa uzima na ndugu yake ilidai kisasi kwa Mungu aliyetoa uhai ule, kwa hiyo Mungu alimfukuza Kaini aende mbali na mahali walipoishi watu wengine. Ingawa Kaini alidumu katika hali ya kutotubu Mungu katika huruma yake kubwa alimlinda asiuwawe kwa kisasi (mwanzo 4:8-16). Kwa hiyo katika maandiko matakatifu KAINI ndiye binadamu wa kwanza kuzaliwa na kuua baada ya kumuua nduguye HABILI.

God bless you

Kama watoto wa Adam na Eva walikuwa wanaume na ni wawili tu, na mmoja kuuawa, na kubaki na wanaume wawili na mwanamke mmoja. Na huyo mwanamme aliyeuwa kupelekwa mbali. Sasa watu wengine wa mfano wao walitokea wapi? Na umesemaja muuaji alienda kwenye watu wengine, je inakuwaje hawa ndio wawe wa kwanza? Yawezekana maana ya neno Dunia kwenye Biblia ni tofauti na tunavyolitumia leo. Yawezekana wao dunia ni ile sehemu yz bustani ya Eden tu ambayo sijui kama ilikuwa kama inavyoelezwa kwenye Biblia.

Halafu hiyo picha uliotuwekea tutaamini vipi uhalisia wake?!
 
Ngoja nikueleze kitu kimoja ambacho ulikuwa hukijui labda na pia itategemea na akili na uwezo wako wa kufkiri. Ni hivi.

MUNGU ; Alipowaumba ADAM NA MKEWE aliwapa watoto wawili asubuhi na wawili jioni, kwa upeo wako ulivyo mdogo unaweza kuuliza mtu atazaaje asubuhi na jioni...?. Kwa MUNGU hilo ni jambo dogo tu kumbuka pia watu wa zamani si kama tulivyo sisi walikuwa tofauti sana na staki niende sana huko acha ni-stick kwenye mada yako.

Watoto waliozaliwa asubuhi ilikuwa hawaruhusiwi kuoana, isipokuwa wale wa jioni ndio ruksa kuoana nikimaanisha kwamba ; Asubuhi walipatikana mtoto we kike na wa kiume ambao hawakutakiwa kuoana na jioni hivyohivyo wawili, sasa huyu wa kiume wa asubuhi alitakiwa kumuoa wa kike wa jioni na vice-versa, hivyo kulikuwa na KABIL NA HABIL.

HABIL alikuwa ni mwenye sura nzuri ila dadake alikuwa ni mwenye sura mbaya na KABIL alikuwa na sura mbaya ila dada'ke alikuwa ni mzuri wa sura.

HABIL akamwambia itabidi nimuoe dada'ko na wee umuoe dada'ngu HABIL anamwambia KABIL mwenye sura mbaya KABIL akakataa katakata siwezi kukupa dada'ngu ana sura nzuri kisha unipe dada'ko mwenye sura mbaya. Huyu ntamuoa mwenyewe na wee muoe dada'ko mwenye sura mbaya.

HABIL akamwambia sheria haituruhusu mutants hivyo ni HARAM tutatenda dhambi, KABIL hakutaka kuelewa hata kidogo na ugomvi ukaanzia hapo ndipo KABIL akafkia hatua ya kumuua nduguye sababu ilikuwa ni mwanamke, sasa wee hukutueleza sababu ya Luis ilikuwa ni nini labda...?.

Ahsanta.
Wewe ndo boga la mwisho
 
Duh ! Kwa majibu yaliyotolewa hapa, inaonyesha dhahiri watu wanaomwamini Mwenyezi Mungu idadi inazidi kuporomoka kwa kasi. Hatari kubwa hii.
Ni kweli mkuu just imagine watu nimewapa na reference kabisa waisome lakini majibu wanayotoa yanashangaza Kama si kustaajabisha
 
Back
Top Bottom