Binadamu wa kwanza kuzaliwa na kuua

Human walikuwepo before Adam huji historia ndio maana bible ina makosa ya kiuandishi zaidi ya 1,000 kuna kitabu kinachoelezea watu kabla ya Adam na Ile Mijitu mikubwa iliyoitwa nefili ambayo mingi haikufa baada ya gharika ya nuhu maji yaliwafika magotini tu... na ndio walimsaidia Nuhu kujenga safina... majamaa yalikuwa magiant haswa na yalizaliwa kwa mchanganyiko wa binadamu na Malaika walioitwa Watcher baada ya mapenzi walizaliwa hao nefili hakika hujui Story zao Huyo Kain alipomuua Abel alienda nchi inayoitwa Nod akatanga tanga na akaoa huko huko watu waliokuwepo nje ya bustani ya eden hilo nalo hulitambui... Pole Sana... Adamu hakuwa mtu wa Kwanza bali aliwekwa aishi bustanini hiyo ya Eden... Tafuta jinsi vitabu vya biblia vilivyokusanywa na walioviandika na vilivyo wekwa kwenye biblia na visivyowekwa kwenye biblia... ndio utajua kuwa Adam was not a first man in this word and Cain sio mtu wa kwanza kucomit mauaji
 
Dah..... Kudadadeki.... Sijui walipata wapi madem..... Au waliwatafuna dada zao? Nauliza tu
 
Kwa wale ambao walikuwa hawafahamu huyo ndo kaini binadamu wa kwanza kuzaliwa na kuua
Aliwekewa Alama na Mungu ili watu wa NODI wasimdhuri.Haya kumbe Adam na Hawa si watu wa kwanza kuumbwa bali walikwepo wengine tayari kule nchi ya NODI.
 
Adamu na Hawa waliumbiwa Uarabuni kule Iraq na bustani ya Eden ipo Iraq.Kwa maana hiyo wanadamu wote chimbuko Lao ni Waarabu.Sasa ni lini na kwa sababu gani yakatokea mabadiliko (evolution )tukapata Waafrika,Wachina,Wazungu na indigenous (wenyeji) yaani Waarabu.Na kwa nini hiyo evulution sasa imesimama na mataifa mengine mapya hayazaliwi tena.
 
Adamu na Hawa waliumbiwa Uarabuni kule Iraq na bustani ya Eden ipo Iraq.Kwa maana hiyo wanadamu wote chimbuko Lao ni Waarabu.Sasa ni lini na kwa sababu gani yakatokea mabadiliko (evolution )tukapata Waafrika,Wachina,Wazungu na indigenous (wenyeji) yaani Waarabu.Na kwa nini hiyo evulution sasa imesimama na mataifa mengine mapya hayazaliwi tena.

Hiyo biblia inavyosema watu wameanzia Iraq ni uongo tu...hamna la kweli hapo!
 
Hiyo biblia inavyosema watu wameanzia Iraq ni uongo tu...hamna la kweli hapo!
kwanini iwe uongo wakati hata hao wa mwanzo kama babake abraham,wanaonekana mwanzo iraq?,hata mji wa babeli si uko iraq,ule mtumbwi nuhu alitumia kukimbia mafuriko ya mto frat ulioko iraq nao ulipelekwa na maji mpaka juu ya vilele vya mlima mmoja kule uturuki,jamii nzima kwa mjibu wa bible inaonekana kuanzia iraq,hata lugha aliyoongea abraham na hata yesu asili yake ni iraq pia
 
mbaya zaidi mungu wake alimwahidi kuwa atakaemuua KAINI ,atapewa adhabu mara saba,


lameki babake na Noah,ndiye aliemuua kaini,na adhabu mpaka leo hajapewa

Huyo baba Noah atakomaje...??
na kwa vile una uhakika kuwa hajapewa adhabu basi naomba siku akipewa tu unijulishe mwenzio
........ mbona atakiona... au hakusoma maandiko?
Au ndo shetani kaamua kumkosanisha na Mungu?
 
Wabongo tumekuwa watu wa ajabu kwa kuamini kila kitu tumeletewa na wazungu na ninaamini hata leo akitokea mzungu halafu aseme wao ndo walileta waafrika kuna waafrika wengi watakaomsapoti yaani tupo pabaya mno kwa kuendelea kujazwa ujinga na hawa wazungu na kuwaamini inashangaza eti mtu kusema kuwa hakuna mungu eti ni imagination tu yaani daah poleni sana waafrika
Mbona akili imekuganda ivo mkuu sasa hao kina kaini na habili una hata undugu nao wala si wafrika wenzio leo unalalama watu wanawafata wazungu na kuwaamini mbona ww unafata imani zao? au unadhani chimbuko la hao finction characters ni afrika?

Umeacha vingapi vya asili yako? Ningekuona wa maana kama ungeleza mila za kwenu huko, Wazungu sio kwamba wanasikilizwa ivo science ni Majaribio na ushahidi na pia science ni dynamic sio static kama dini na sio porojo na imigination kama dini hizo mnazozipigia debe
 
Adamu na Hawa waliumbiwa Uarabuni kule Iraq na bustani ya Eden ipo Iraq.Kwa maana hiyo wanadamu wote chimbuko Lao ni Waarabu.Sasa ni lini na kwa sababu gani yakatokea mabadiliko (evolution )tukapata Waafrika,Wachina,Wazungu na indigenous (wenyeji) yaani Waarabu.Na kwa nini hiyo evulution sasa imesimama na mataifa mengine mapya hayazaliwi tena.
Mkuu chimbuko la mwanadamu sio mwarabu bali ni mwafrika kama utakuwa umechunguza mwafrika ndio bold na binadamu imara sio kingozi,mwili mpaka akili wengine ni kama wametokea ktk jamii ya kiafrika ,Mabadiliko ya rangi ni mazingira ya eneo alipo kama atapaishi kwa muda mrefu sana changes lazma zitokee kwa vizazi vyake yani evolution sasa je kwanini sasa hawatokei watu wa race zingine?

Ndugu Evolution process ni too slow yani inaweza take up ata miaka 1000 mpaka buku mbili ili kunotice changes mwanadamu anaishi let say karne hawezi notes evolution ambayo ina take up thousand yrs kutokea.

Zamani sana watu walikuwa giant na minywele mingi leo watu ni dwarf hiii ni mfano na watu kuwa na maumbile madogo imeletwa na technology binadamy hashughulishe kivile mwili wake mbadala wake ka design machines zinazo msaidia
 
yn hii ni hadithi mpya kabisa kuwahi kuickia tangu nilipoliona jua, kweli hizi ni safari saba za Sindibadi Baharia

Kuishi kwingi ni kuona na kuskia mengi. Ukiendelea kuishi utaweza kuskia na kuona mengi tu mazuri mazuri.

Hiyo ndio raha ya kuishi coz maiti hapati hivi vitu.
 
Kumbuka hawa hawakuuana wakiwa watoto bali watu wazima kwa hiyo kwa kipindi wao wanakua na binadamu walikuwa wanazidi kuongezeka kupitia kwa wazazi wao yaani Adam na Hawa na hata ukisoma maandiko matakatifu yanaeleza kwamba Adam na Hawa waliendelea kuzaa watoto wengine na kadri walivyokuwa wanazaa ndivyo kizazi kilizidi kukua kwa hiyo walikuwa na watoto wengine ukiacha Kaini na Habili ila mm nilichomaanisha ni kuwa binadamu wa kwanza kuzaliwa ni Kaini na baadaye nduguye Habili akazaliwa na ni huyuhuyu Kaini aliyekuwa binadamu wa kwanza kuua baada ya kumuua nduguye Habili na kuhusu alitengwa ili asiuliwe na akina nani ni kuwa kipindi yeye na nduguye kaini wanakua pia watu walikuwa wanaongezeka kupitia adam na hawa na kipindi kaini anamuua ndugu yake tayari watu walikuwa wameshaongezeka. Kwa Maelezo zaidi soma kitabu cha mwanzo kimeelezea kila kitu kwa undani
Mkuu naomba tuelimishane.

Mwanzo 4:25 inasema Adamu akamjua mkewe tena na kujaliwa maana, na kabla ya hapo tunaona Kaini alishaenda nchi nyingine iliyopo mbele ya hedeni na kumjua mkewe na kuanzisha kizazi chake.
Screenshot_2016-08-05-15-21-35.png
 
Huu uongo umeutoa wapi?...Mungu gani sadistic anaekula sadaka ya kumchomea mnyama?

Yaani mnataka kutuaminisha Mungu ana njaa kali ya kula kamnyama alikokaumba eti ndio sadaka?

Hebu acheni kumshusha mungu kiasi hicho...mungu hana njaa ya kula wanyama...Mungu sio jini asubiri mchinjie mnyama.

Yaani wanadamu tuna-imagine vitu,tunamsingizia mungu vitu vingi,Na siku anatokea anakana huu uongo wote sijui mtasemaje.

Vitu vyote binadamu anavyoongelea about God ni fabrications mostly,inaweza isiwe vyote ila sio vyote vya kweli ya kwelini,hapa kwenye fabrication ndio tatizo
Mimi nilidhani hii sadaka, ni kwa ajili ya kuwapa binadamu wengine wenye shida wakati huo, kama hiyo nyama alikua anampa Mungu ale huu ni uongo kweupe.
 
Nianze kushukuru kwa ufafanuzi wako huo mzuri ila nianze hivi, Adam na Hawa walikuwa na watoto 3 , Cain, Abel pamoja na Seth aliyezaliwa baada ya Abel kuuawa. Cain alifukuzwa pale alipokuwa anaishi na akaenda mbele zaidi, ila alikuwa na hofu kuwa watu wakimwona watamuua ndio maana akawekewa alama usoni. Swali wale watu Cain aliiogopa watumwua ni akina nani na walitoka wapi? Naomba kuwakilisha.
Haha mtoa post anakimbia hili swali naona hata hapo juu kuna mkuu ameuliza amelipotezea
Mtopa mada Tafadhali tunaomba majibu ya hilo swali !!!!
 
Wataalamu wa historia(Archaeologist mbona hawasemi kabisa dunia iliumbwa mwaka gani na mabaki ya watu na wanyama wa kale (fossils)ya Adam na Hawa, Kaini na Habili pamoja na mifugo yao inapatikana wapi na hayo mabaki yana umri gani.

Na wakati Mungu anaumba dunia yeye mwenyewe Mungu alikuwa yupo kwenye kitu gani na materials ya kuumbia dunia alikuwa anatoa wapi.Ni dhahiri kuwa taarifa za maandiko matakatifu yanatoka kwenye biblia na quran kwa njia ya simulizi (oral traditions).

Moja ya disadvantage ya oral traditions ni kupotoshwa kwa taarifa. Kwa hiyo utata wa maandiko matakatifu ya biblia na quran umegubikwa na giza la wanahistoria kutofanyia uchunguzi mabaki ya Adam na Hawa pamoja na watoto wao Kaini na Habili na mifugo yao.

Kutokana na sababu hizo inakuwa vigumu kuthibitisha uwepo wa watu hawa na mabadiliko yao (evulution )
 
Ngoja nikueleze kitu kimoja ambacho ulikuwa hukijui labda na pia itategemea na akili na uwezo wako wa kufkiri. Ni hivi.

MUNGU ; Alipowaumba ADAM NA MKEWE aliwapa watoto wawili asubuhi na wawili jioni, kwa upeo wako ulivyo mdogo unaweza kuuliza mtu atazaaje asubuhi na jioni...?. Kwa MUNGU hilo ni jambo dogo tu kumbuka pia watu wa zamani si kama tulivyo sisi walikuwa tofauti sana na staki niende sana huko acha ni-stick kwenye mada yako.

Watoto waliozaliwa asubuhi ilikuwa hawaruhusiwi kuoana, isipokuwa wale wa jioni ndio ruksa kuoana nikimaanisha kwamba ; Asubuhi walipatikana mtoto we kike na wa kiume ambao hawakutakiwa kuoana na jioni hivyohivyo wawili, sasa huyu wa kiume wa asubuhi alitakiwa kumuoa wa kike wa jioni na vice-versa, hivyo kulikuwa na KABIL NA HABIL.

HABIL alikuwa ni mwenye sura nzuri ila dadake alikuwa ni mwenye sura mbaya na KABIL alikuwa na sura mbaya ila dada'ke alikuwa ni mzuri wa sura.

HABIL akamwambia itabidi nimuoe dada'ko na wee umuoe dada'ngu HABIL anamwambia KABIL mwenye sura mbaya KABIL akakataa katakata siwezi kukupa dada'ngu ana sura nzuri kisha unipe dada'ko mwenye sura mbaya. Huyu ntamuoa mwenyewe na wee muoe dada'ko mwenye sura mbaya.

HABIL akamwambia sheria haituruhusu mutants hivyo ni HARAM tutatenda dhambi, KABIL hakutaka kuelewa hata kidogo na ugomvi ukaanzia hapo ndipo KABIL akafkia hatua ya kumuua nduguye sababu ilikuwa ni mwanamke, sasa wee hukutueleza sababu ya Luis ilikuwa ni nini labda...?.

Ahsanta.
Mkuu hebu elezea vizuri haka ka story kana utamu flani hivi
 
3f0a8d625e7eb4cf29100f87e9066697.jpg

Ukiachana na wanasayansi wanaotudanganya kila kukicha juu ya chimbuko la binadamu neno la Mungu linatueleza kwa kinagaubaga chimbuko la binadamu pamoja na viumbe hai wengine namna walivyoumbwa na mwenyezi Mungu kwa hiyo viumbe hai vyote na visivyo hai vimeumbwa na mwenyezi Mungu.

Hebu leo basi tuangalie juu ya binadamu wa kwanza kabisa kuzaliwa na kuua. kadiri ya kitabu cha mwanzo (Bibilia) katika agano la kale baada ya Adam na mkewe Hawa kula tunda la kati walilokatazwa na Mungu, Mungu aliwatoa katika bustani ya Eden na kuwaamuru wakazae ili waijaze dunia.

Katika kitabu cha mwanzo kinaeleza baada ya Adam na Hawa kufukuzwa kwenye bustani ya Eden, Adam akamjua mkewe na wakapata mtoto wa kwanza KAINI na baadaye wakazaa mtoto mwingine kwa jina HABILI ambao hawa ndo wana wa kwanza wa Adam na Hawa na hawa Kaini na Habili walitunza imani yao kwa Mungu wakamtolea sadaka.

Habili alitoa sadaka yake kwa Mungu katika wanyama bora wa kundi lake akiwa na hali ya unyenyekevu na imani naye Mungu akampokea. Tabia ya Kaini ilikuwa ya kiburi bila ya kumcha Mungu, kwa hiyo Mungu alimkataa (mwanzo 4:1-5, soma ebr 11:4, 1yoh 3:12). Tabia na maisha ya watoaji wa sadaka ina maana kuliko vitu wanavyovitoa, kwa hiyo Mungu alimwambia Kaini kuwa akitaka Mungu ampokee angepaswa kushinda dhambi iliyokuwa ikitaka kumwangamiza. Dhambi hiyo ilikuwa kama mnyama wa mwitu ajikunjaye na kuotea mlangoni ili aweze kumshambulia mtu akitoka nje (mwanzo 4:6-7). Kaini hakushinda dhambi yake na katika hasira na wivu alimuua nduguye Habili.

Tendo lake la kutwaa uzima na ndugu yake ilidai kisasi kwa Mungu aliyetoa uhai ule, kwa hiyo Mungu alimfukuza Kaini aende mbali na mahali walipoishi watu wengine. Ingawa Kaini alidumu katika hali ya kutotubu Mungu katika huruma yake kubwa alimlinda asiuwawe kwa kisasi (mwanzo 4:8-16). Kwa hiyo katika maandiko matakatifu KAINI ndiye binadamu wa kwanza kuzaliwa na kuua baada ya kumuua nduguye HABILI.

God bless you
Sura 11za kitabu cha mwanzo sio matukio ya kihistoria Bali simulizi la kikuhani lenye lengo la kueleza asili ya binadam na dhambi.
 
Back
Top Bottom