Bilioni 19.7 kukarabati uwanja wa Uhuru

awamu ya kutakatisha pesa hii.....

Amaan wamekarabati kwa bil 30,
mkapa kwa bil 30,
leo uhuru bil 20

huyu mama hata haoni aibu.....kwel bora unyimwe vyote sio akili
 
Zoezi la utiaji saini mkataba wa kukarabati uwanja wa Uhuru uliopo Dar es Salaam baina ya serikali na mkandarasi kutoka China.

Ukarabati huu unatarajiwa kufanyika kwa muda wa miezi 12 na utagharimu kiasi cha shilingi bilioni 19.7.
Hii nchi inaonyesha Kuna fedha za Bure🥺
 
Back
Top Bottom