Good Guy
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 3,809
- 1,406
Juz niliposikia JK anakwea pipa kwa mara nyingine nikakumbuka kipindi cha uchaguzi alipokua Urambo Mashariki na Magharibi akiwanadi wagombea wake Sitta na Kapuya alisema kwa mbwembwe kwamba anawashangaa wanaobeza safari zake za nje akisema "Ninapokwenda nje naenda kwa malengo siendi tu. Siwezi kukaa tu ikulu jijini dar es salaam kuangalia 'uzuri' wa mke wangu Salma... Hapana lazima nikutane na watu huko huko walipo!" duh kabla ya kuendelea hivi hali ya uchumi ilivyo na mengine yote unaweza kuitisha umati wa wa2 unawaeleza kuhusu mke wako kweli?kama haitosh akaendelea
"...hivi ningekaa pale ikulu nikamwambia 'mama salma umependeza' huenda wengine 'mngeshakufa kwa njaa' bila mimi kwenda nje wajapan wangejuaje..."
kha aise i was speechless and wondered how tha heck people were able to tolerate even one more word tena kwa furaha na vigeregere! Yuko zake sasa hivi ana make posho 2 huku walala hoi tuna sota na umeme na bora viongozi wetu