Bila Lissu Bungeni tungeburuzwa sana

ccm wabunge wake wote hata ukiwauliza hivi kwanini uligombea ubunge watakwambia nilifuatwa na watu wakanitaka nigombee niwe mbunge wao. Lakini huwa hawajiulizi ili kiwe nini ukigombea? Ndiyo maana hata wakiwa wabunge hata huwa hawajui ni cha kufanya kwa muda gani. Wanafikia hata kusema ukiongea sana uchaguzi ujao utakatwa jina kwenye vikao vya juu. Hao ndiyo wabunge wa CCM na hata wale wanaowatetea nao wako hivyo hivyo.

Kuna hoja kama hizi za kitaalamu Waheshimiwa wa CCM hujifanya wapo nje ya bunge kikazi, ngoja ifike zamu ya kujadili mambo ya kijamii kama afya na elimu upne wanavyotiririka.
 
Taifa linawashukuru kwa kutupa mtu asiye na chembe ya uwoga, unafki na mpambanaji wa kweli. Tumeona kazi yake iliyo tukuka bungeni na nje ya bunge. 2015 tuongezeeni zaidi wabungeni kama huyu Tundu Lisu.
 
Wallah Singida zamani ilikuwa inasifika sana kwa kutoa mabinti wazuri wazuri kwa matumizi binafsi ila behind the scene tuna vichwa pia! Viva semeji zangu njoja tuchanganye damu tutoe new breed!
 
Mbavu kidogo ziachie mkuu kwa cheko....duh

Mkuu sijakumbana nawe mda mrefu hadi nikapatwa na mashaka kwamba ulishaitwa peponi kwa majukumu mengine!
Avatar yako inanifurahisha sana,hata kama siku hiyo sikuwa na ratiba ya kutabasama najikuta navunja kanuni!
 
Wallah Singida zamani ilikuwa inasifika sana kwa kutoa mabinti wazuri wazuri kwa matumizi binafsi ila behind the scene tuna vichwa pia! Viva semeji zangu njoja tuchanganye damu tutoe new breed!

Jamiiforums kunamambo, nimecheka mpaka basi!!
 
Nimekukubari Lisu wewe ni jembe nchi hii, sasa kati ya wewe na mwanasheria mkuu nani alistahili kuwa mwanasheria mkuu wa selikari? Yaani amebanwa vya kutosha, unafikiri amelala anamuoota Mh Tundu!!!
 
Wallah Singida zamani ilikuwa inasifika sana kwa kutoa mabinti wazuri wazuri kwa matumizi binafsi ila behind the scene tuna vichwa pia! Viva semeji zangu njoja tuchanganye damu tutoe new breed!

Kuna watoto wakali sana kule mkuu..nakubaliana na ww
 
Yaani ni Mungu tu ndiye aliyetuletea huyu mtu vinginevyo tungekwisha. Asante Mungu
 
Who are hackers..je hackers should be set free with their practices? Nchi gani duniani inakubali hackers? Were is snowden na mardon brandley and julian assange? Do thisman understand what is child porn? Can you view it online or were? To know the law is not to know IT!

is this man or animal?
 
AG niligundua hana kitu baada ya mh mnyika kurekebisha grammer kwa kuweka unlawful and badala ya of, ndio nikakubali AG ni tupu kabisa.
 
Nawapa pongezi mkoa wa singida, mlindeni lisu kwa namna yeyote! Binafsi nauheshimu mkoa wa singida kwa ajili ya tundu lisu, ni mzalendo wa kweli, mtetezi wa wanyonge, muadilifu. Hongereni singida mashariki! Rai yangu kwenu, fanyeni muwezalo mturudishie mtu huyu bungeni. Pia rai yangu kwa cdm, endeleeni kutuletea watu kama kina lisu mwezi oktoba, kwa kushaur tu kuna mwanaharakati wa cdm aitwaye markus albanus, tunaomba naye mshawishini agombee ubunge ili akamsaidie lisu na kina mnyika na mdee pia!
 
Lisu should learn something on matters of IT security

Huyu jamaa ----- wa issues your blind because of his legal knowledge....hajui what are whistle blowers au ponographic practices...lisu leo kachemka

Who are hackers..je hackers should be set free with their practices? Nchi gani duniani inakubali hackers? Were is snowden na mardon brandley and julian assange? Do thisman understand what is child porn? Can you view it online or were? To know the law is not to know IT!

Kwa kutetea sinema za ngono?

Hamjamuelewa Lissu,kuhusu pornograph kasema kwa jinsi sheria ilivyo hakuna mtu atakayekamatwa na kosa na wasitegemee kumfunga mtu kwa vile pornography chafu hazijawa defined.Nyie mnaongea nadharia Lissu yupo kwenye uhalisia.Kwa upande wangu naona Lissu ndo alikuwa mwenye nia njema.Ila kwa Vile hamna Chema kutoka Nazareth basi watu wanampinga tu.Tutaona mtakapoanza kupractice kama kuna mtu atatiwa hatiani.
 
Kweli ndugu mimi yamenitoka....unaona mtu anasema SIKATI TAMAA kama ndugu yangu Mnyika, ingawa dogo naye baadae kaamua kuendelea kupambana....wamenifurahisha hawa jamaa
Mi huwa nawashangaa watu wanaombeza Mnyika kuwa hana digrii.Mnyika ni kweli.hajagraduate lkn kile kichwa kinakosa tu ushahidi wa cheti lkn kichwani ni zaidi ya hao waliograduate
 
Hakika singida mashariki, waliitendea haki nchi yetu, waliutendea haki mkoa wao, pia wamewatendea haki wanyonge wa taifa letu! Lisu anastahiki kuenziwa na sio kubezwa! Shikamoni singida!
 
Back
Top Bottom