Bila haya Bidada ana miaka 33 anataka nimwoe. Nimemcheck usoni yupo serious kabisa

30+ wadada single wanakuwa na stress kuliko kawaida, ila thanks God kuna watu kama Mzee wa Upako wakuwafariji
 
huna point yoyote kila mtu ana maamuzi yake binafsi kuhusiana na jambo flan. mimi nimekataa sioi mwanamke wa miaka 33 you cant convince me in any how. thats my decision. miaka 33 tayari ushakuwa jioni mama why nikuoe wakat umri wako umeenda hivyo? kuna ambao wanaweza kukuoa BUT AIN'T ME BABY. wewe subiria wazee wenzio na kama umekasirika pole sana ni mambo madogo hayo.so ningekuwa tayari kukuoa kwa huo umri ndo ningeonekana mtu mzima? wakati unaaacha goli wazi watu wajishindie tu ulidhani nini leo imefika fainali ndo unataka kuniangushia mimi ubingwa? ukizalishwa nyumbani nawe una matatizo kwa nini hubani miguu yako mpaka wakati wa ndoa? si usubiri uoelewe ndo uanze kutanua miguu?
Dude, cha kwanza nakutaarifu kuwa nipo kwenye ndoa. Kwa hiyo usichukulie kwamba ni povu natoa kwako.

Cha pili, even if I wasn't, I wouldn't be attracted to an overgrown baby who vents about women on social media.

Kama huwataki, why not just let them be instead of ranting on and on.

Overgrown baby.
 
When did yu get married mumie? coz if am not mistaken i think i know yu... Aint yu one of my best friends since years and years? Anyway... Lemme be what i am. I enjoy this. And be what you used to be. If yu re really married this time and you know the meaning of marriage then stick on your husband.dont play around with us bad boys...

Dude, cha kwanza nakutaarifu kuwa nipo kwenye ndoa. Kwa hiyo usichukulie kwamba ni povu natoa kwako.

Cha pili, even if I wasn't, I wouldn't be attracted to an overgrown baby who vents about women on social media.

Kama huwataki, why not just let them be instead of ranting on and on.

Overgrown baby.
 
Hawa ilikuaje hebu nipe story maana nawasikia sikia tu. Huyo mwenzie yupo wapi siku hizi?

Vidogo vyenye umri gan ? Usije tangazwa mtaani maana havina staha... Si umeona lulu na kanumba kitoto kidogo kinabeba kg 80+
 
Hawa ilikuaje hebu nipe story maana nawasikia sikia tu. Huyo mwenzie yupo wapi siku hizi?
Mwingine yupo kaburini.. Mwingine yupo segelea... Nikimaanisha alianza kuona mikuyenge ya wakubwa toka akiwa mtoto... Hvyo ukienda na Kibamia chako kwa vitoto vya miaka hii utaumbuka mr gudume
 
Mmh miaka co kigezo unaweza ukaoa binti wamiaka 23 kumbeee ametumika zaid ya wamiaka 30 ujampnda ndmna wasema ivooo true love hayaangaliii umriii
 
Ndio umri ushakwenda sasa afanyeje, kuolewa ni ndoto ya kila mwanamke hata kama kafikisha zaidi ya 30 akipata wa kumuoa anaolewa.

Wacha kukatisha watu tamaa bana. Pia nikwambie mkuu sio kila mwanamke mwenye umri mkubwa kwamba katumika sana na kwamba hafai kwa ndoa nalikataa hilo gudume.
That is true umrii co kigezo cha mtu kutumika sana waweza kuta miaka 23 ametumika zaid ya kikongwee
 
You said you are 40 yrs old? And that is how you think?
Ooh Lord. Tumekosea wapi kulea vijana wetu?
 
maneno meengi familia nyingi zinazaa mwisho watoto wawili.
miaka hiyo ana kuzalia hata watoto watatu uoga wa nini?.
 
wacha nionekane mbaguzi,mjinga,mshamba n.k SIOI MIMI MSICHANA WA MIAKA 33. ujana wake kala wapi uzee aje kumalizia kwangu? najua mpo humu na mmechukia na kuona nawaharibia soko. nawaasa vijana msidanganyike kabisa. unataka uoe msichana yupo mida ya jioni? saa 12 saa moja jioni? hapana. nyie tukaneni tu ila huyu dada hakuolewa sababu alikuwa anapenda sana kula bata.anasema alikuwa napenda kutumia ujana sasa umri ndo umefika. hakuwa akitaka kubanwa banwa. so watu walikuwa wanamgonga wanaenda kuoa kwingine. leo hii mimi ndo nichukue moja kwa moja??????????????????????????????????????? aaaahh.. wapi. huo utakuwa unyanyasi mkubwa kwangu. wakati wapo watoto wadogo tu ambao umri wao si haba bado unaita. sishawishiki....
Ila umeshapiga hata kidogo kwa huyo dada
 
Ukisema wanini wenzio wanasema watampata lini?? Wengine tuko over 30 lakini application zinakosa pakuziweka!! Wewe sema humpendi tuu, mpe uhuru dada wa watu wengine wamsogeze, mwambie ukweli akujue aachane na wewe!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom